Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ngoja akuache wiki bila sms moja uone utakavyopagawa. Mtu akionyesha kukujali hata kwa sms tu, appreciate back, mpe ratiba yako ajue mda gani mnaweza kuongea..
..kuna namna mkiandika hivi ni kama sisi tunajigonga sana kweny(sie wenye mapenzi ya kukabana)
😊🙏
 
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini Kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwez kutaka kilakitu chake ukijue... Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli)

Sasa ndugu,dk 2 nyingi...mara video call...simu muda wote....mara hujibu sms Kwa wakati[emoji15] nyiee,tena Bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo(nimesema kidogo Kwa sababu tuna majukumu pia ivo isiwe too much) lakini si mwanaume...waweza Dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.

Haya sasa msije sema sijawaambia

waweza Dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.

Aiseee umenena vyema sana hapa upewe maua yako
 
Hapo inabidi uwe na uwezo wa lulet go haraka kama speed ya risasi ukiona mambo si mambo, plus uwe na uwezo wa kujiponya nafsi unapovunjwa moyo kwa speed hiyohiyo ya risasi
We dada umekwiva kwenye mahabat, darasa lako lifunguliwe wapi upige hela 😅
Watu wengi kinachowatesa ni huo uwezo wa kuachia maisha yaendelee bila watu fulani kwenye maisha yao. Na hii ni mateso makali mno.
 
Back
Top Bottom