Ifikie hatua tuachiane nafasi

Watu wamepinga
Mi naamini kitu kimoja, wanawake wako vice versa haswa walioko kweny umri kuanzia 15-35....kuanzia 35 wanakuwaga waelewa hata ukimwoneshea interest wanaelewa, ila hawa wa huku chini ukimwoneshea interest bac ushampoteza anakuona kama fala hivi, kama Huna mambo ya kufanya, she will see you as a loser trying so hard to get her attention.
Kwa upande wangu, huyo jamaa nahic either she loves you too much or she is obsessed, na kumbuka dada angu obsession sio love, ni vitu viwili tofauti obsession inabadilika kuwa chuki kwa haraka sana.
 
Zambi izo aseee!!
 
We ni mkurya eeh?hivi ushajuaga utamu ule muda unaombwa msamaha unavyojifaragua Sasa mama mtu ,..Achana na sauti nzito ikuambie taratibu bby am sorry oooh
 
Mimi mawasiliano yakiwa yakusua sua nalala mbele sirudi nyuma,siwezi kuwa kwenye mahusiano halafu bado nikahisi kama nipo peke yangu,wengine tunapenda kero za kupigiwa simu,sms mara kwa mara ndio furaha yetu kwahiyo kila mmoja atafute msalaba wake aubebe mwenyewe
 
Usichokijua ni kwamba mtu kukufuatilia ni matokeo ya signals ambazo umekuwa ukiziproject kwake. Mimi binafsi kuna nyakati nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana ila ni baada ya kupigwa tukio na mpenzi wangu wa kwanza.

Nilikuwa sensitive sana na kuwa unrest kwa mwenendo wa wapenzi waliofuata kipindi ambacho walikuwa wakibadili response. Mfano kupunguza mawasiliano ghafla, kutokujali lazma utajiuliza kuna kitu hakipo sawa lazma ufuatilie. Mwisho unakuja kugundua kuna mtu kashaanza kujipachika kwenye penzi lenu.

Katika hali hiyo kufuatiliwa lazma na anayefuatiliwa hatapenda sababu atakuwa anaona kero au anabanwa banwa sababu ana mambo ya ajabu anafanya na hataki ajulikane.
 

Mpaka sasa umepitia mahusiano mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…