Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Mi naamini kitu kimoja, wanawake wako vice versa haswa walioko kweny umri kuanzia 15-35....kuanzia 35 wanakuwaga waelewa hata ukimwoneshea interest wanaelewa, ila hawa wa huku chini ukimwoneshea interest bac ushampoteza anakuona kama fala hivi, kama Huna mambo ya kufanya, she will see you as a loser trying so hard to get her attention.Watu wamepinga
Kwa upande wangu, huyo jamaa nahic either she loves you too much or she is obsessed, na kumbuka dada angu obsession sio love, ni vitu viwili tofauti obsession inabadilika kuwa chuki kwa haraka sana.