Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

Wewe umeoa /umeolewa yaani single mothers ndoa zimewashinda then mnatoa ushauri
Je ushauri alioutoa unafaa au haufai?
Hivi huwa kuna wakati unawaza positively kweli? Kila comment uko negative tu🙆🙆🙆🙆🙆
 
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.

NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Mwanamke kuombaomba ni tabia ya kimalaya.
 
Kama kuna m

Kama kuna mahali huwa sipendi kusikia ni mtu kuchit sababu ya kutotimiziwa mahitaji ( kama sio unyumba)
Yaani unaipeleka ichakatwe ili upewe mahitaji?
Yaani ununue nguo na viatu kwa kutumia mbususu?

To yeye fafanua.
We ni rafiki yangu but kwenye kupindisha ukweli sina urafiki😂
 
Je ushauri alioutoa unafaa au haufai?
Hivi huwa kuna wakati unawaza positively kweli? Kila comment uko negative tu🙆🙆🙆🙆🙆
Nampuuzia napita
 
Back
Top Bottom