Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

[emoji1787]Chautundu wako umemwacha anyanyasike[emoji26] analalamika nawe upo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Ndiyo mkuu Ili hata ukikwama mke anajua kuwa umekwama anaendelea kukupa nguvu ya kutafuta
Labda nikioa mke wa generation ya 1980s kurudi nyuma ila hawa wa 90s na 20s ukikwama jua na ndoa imekwama kwa 95%
 
Tamaa ikishawaka Haina kikomo,
Huwez kumchunga kiumbe mwnyw tamaa
 
Ni kweli mkuu....sema samaki mmoja tena!
Wote wataonekana wameoza. Ila wengine ni mazingira au malezi tu kwa sababu hat hivyo toka nizaliwe sijawahi ona wazazi wangu wakitoleana hata maneno machafu. .

Angalia sana jinsi unavyoish na watoto wako watatala kuishi kama wewe. .
 
Back
Top Bottom