Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Huduma anazostahiri kupewa mwanamke ndani ya ndoa ni kama zipi.Yeah wapo....lakini wanawake wengi hawahudumiwi ndani ya ndoa
Swali kutoka Kintinku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huduma anazostahiri kupewa mwanamke ndani ya ndoa ni kama zipi.Yeah wapo....lakini wanawake wengi hawahudumiwi ndani ya ndoa
To yeye, umewahi kuonja ndoa wewe?Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Kama ni hawa traffic wanaovua watu nguo, ni sawasawa acha yamfikeYupo,ni traffic lakini mkewe anapigwa miti na bdbd😥
Sawa MkuuFollow this link to join my WhatsApp group: MALEZI NDOA NA MAHUSIANO
Karibu tujadili mambo yote yanayohusu ndoa na malezi. Maswali yote yatajibiwa na mada zinafundishwa
Follow this link to join my WhatsApp group: MALEZI NDOA NA MAHUSIANO
Karibu tujadili mambo yote yanayohusu ndoa na malezi. Maswali yote yatajibiwa na mada zinafundishwa
HalooooNdoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Nimefuta.Futa comments zako bas zenye namba