Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

Wewe umeoa /umeolewa yaani single mothers ndoa zimewashinda then mnatoa ushauri
Je ushauri alioutoa unafaa au haufai?
Hivi huwa kuna wakati unawaza positively kweli? Kila comment uko negative tu🙆🙆🙆🙆🙆
 
Mwanamke kuombaomba ni tabia ya kimalaya.
 
Kama kuna m
Kama kuna mahali huwa sipendi kusikia ni mtu kuchit sababu ya kutotimiziwa mahitaji ( kama sio unyumba)
Yaani unaipeleka ichakatwe ili upewe mahitaji?
Yaani ununue nguo na viatu kwa kutumia mbususu?

To yeye fafanua.
We ni rafiki yangu but kwenye kupindisha ukweli sina urafiki😂
 
Je ushauri alioutoa unafaa au haufai?
Hivi huwa kuna wakati unawaza positively kweli? Kila comment uko negative tu🙆🙆🙆🙆🙆
Nampuuzia napita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…