mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
naoa maskini mwenzangu sitaki stress😂Uwe makini utakapoamua kuoa😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naoa maskini mwenzangu sitaki stress😂Uwe makini utakapoamua kuoa😂😂😂😂
aisee, kwahiyo unanishaurije?Ndiyo utapata stress Mara mia aisee
Shida watu hawaishi katika hizi nadhalia, life imekua its all about opportunitiesNdoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.