Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

japo ni jukumu zito ulonipa mie pamoja na boss wangu tutahakikisha tunafanya kazi kama mlivyokusudia.
 
Yaaaaap my akanana! Umepatia kila kitu bila shaka mambo yatakwenda safi!
Alaf Filipo unaonaje awe mlizi?

MWENYEKITI WA KAMATI:BABA V,MSAIDIZI WAKE MZABZAB!

KATIBU WA KAMATI: JUDGEMENT.MSAIDIZI WAKE NI DONN!

MTUNZA FEDHA: NDUKI,MSAIDIZI WAKE NI SLAVE!

MAJUKUMU:
MAPAMBO: Dena amsi &cacico

CHAKULA: Mamndenyi &Mwali

VINYWAJI: Nduki,Arushaone,Noahism,na Chilli

USAFIRI: Boflo,Nicas Mtei,Kaka kiiza,the secretary na The boss

STAREHE NA UPAPARAZI: Erickb52 na bishanga(kukusanya habari na matukio yatakayojiri)

FLOOR MANAGER: Asprin

flower girls:

- preta
-cielo
-smile
-arabela
-nicole
-paloma
-smile
hawa watakua mbele ya maharusi wakiongozwa na dada wa bi harus FIRST LADY na CHAMINGLADY!

imebidi kupanga mijukumu kabisa maana tuna muda mchache kufikia shughuli yenyewe,vipingamizi vilikua vingi!

KIPIPI utakua na jukuma la kuendesha maharusi!
EXCELLENT,KILITIME,GAZETI,CHARDAMS,CHIMBUVU na MTAMBUZI mtaendesha magari yatakayokuepo ya kubeba wazazi,ndugu,jamaa na marafiki!

mambo mengine kamati watamalizia:
asanteni na karibuni sana!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahaha
aiseee Mamndenyi usije ukaweka mkuyati kwenye chakula!

Kwa kunipa kamati ya chakula una maana nitoe huduma high table au nisimamie maakuli?
nitahakikisha maharusi hasa bw harusi amepata lishe yakutosha ili usije ukaibuka na
malalamiko ya ukosefu wa nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kwa sura yangu, ulinzi nitasimamia barabara na kwa umakini wa hali ya juu kabisa
 
Back
Top Bottom