Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

Baba V siwezi kujaribu hiyo
yaani unataka mtu akafaidi hivyo, hapa lol.

Mwenyekiti naleta pingamizi la kutokuwa na imani na mimi.

Afu wewe unaweza dodoshea viagra kwa bahati nzuri kwenye chakula cha bwana harusi, ninavyokufahamu...!!, sikuamini amini ujue...
 
Last edited by a moderator:
tedo kwani siku ya harusi
ni nguvu ipi inatakiwa
unauliza kama vile hujui au mpaka kamati.

Nguvu gani...Fafanua tafadhali...Zipo nguvu za aina nyingi..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom