"IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

Umemuuelezea vema kabisa, see also post #3 . asante sana

Hakumtaja samia ambaye anabariki upuuzi, wala hajaisema CCM inayoongoza huu upuuzi wala, bunge ambalo ni kikundi cha mchiriku....... anawashambulia mawakili, tena bila kuwataja nani walishiriki...
MKuu ww ungekua yeye ungeweza kumshambulia rais kuwa ni kilaza? Naye ana maisha mengine nje ya haya.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye maswali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, kisha majibu utayatoa wewe mwenyewe!.

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo!, hili ni bandiko la swali na sio bandiko la statement!. "IGA ya DPW I
imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!. Swali ni Je Bunge letu nalo pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted?!. Umuhimu wa angalizo hili ni mimi mwenzenu huko nyuma niliwahi kuandika makala fulani kuulizia jambo fulani, Mhe. Mbunge kilaza mmoja, akaisoma makala yangu bila kuiona ile alama ya kuuliza na kunituhumu kuwa nimetoa statement fulani, Spika ikambidi kuniita Dodoma mbele ya kamati, nilipowaonyesha ile alama ya kuuliza, kesi ile iliishia pale, hivyo sitaki tena kuandika kitu kisha nikaitwa kujieleza ndio maana natoa angalizo kabla.

Mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu bado umeshika kasi, huku ukijadiliwa kwenye fronts mbili kuu, front ya kwanza ni mijadala ya kisiasa, kwa wanasiasa mbalimbali kujitokeza kutoa hoja zao za kisiasa kwa kuita waandishi wa habari.

Front ya pili ni mijadala ya kisheria kwa wanasheria mbalimbali kujitokeza kutoa maoni yao ya kisheria, wakiongozwa na maoni ya Chama cha Wakili Tannganyika, TLS, wakiwemo wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama Prof. Issa Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, Jaji Sinde Warioba, Tundu Lissu na wanasheria mbalimbali

Wale wenye fedha zao, wataita waandishi ukumbi wa hoteli fulani na kuwakirimu waandishi wa habari, na wale wenzangu na mimi, akina Apeche Alolo, ama watawaita waandishi majumbani mwao, au kutoa maoni yao kupitia Club House.

Tangu sakata hili la IGA ya DPW liibuke, mimi msimamo wangu ni ule ule haujawahi kuyumba kwa tumeshindwa kuiendesha Bandari yetu kwa ufanisi, hivyo hakuna ubaya wowote kusaidiwa!.

Nikasisitiza kitu kilichohitajika ni uelimishaji umma na ushirikishwaji wa Watanzania, mambo ambayo hayakufanyika watu wakaona tuu MoU zinasainiwa Dubai wakati wa Expo Dubai ile February 2022, IGA ikasainiwa kimya kimya October 2022, kisha kuletwa Bungeni kuridhiwa June 2023!.

Juzi Ijumaa, Jukwaa la Wahariri wakawaalika wahusika wakuu wa IGA ile wakiongozwa na Waziri husika, akiandamana na wanasheria kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali, ndipo nami kwavile pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, nikashuhudia ukilaza wa ajabu kabisa kwenye tasnia yetu ya sheria!. Hii IGA imechambuliwa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama TLS, na Prof. Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, ikakutwa ina matatizo lukuki, halafu wanatuletea wanasheria vilaza tuu waliofeli LST, hivyo wala sio mawakili, kutuongozea majadiliano ya hii IGA, wanaibuka na kusema hii IGA ni nzuri na haina matatizo yoyote!, kweli?!.

Kule nyuma niliwahi kuuliza
sasa ndio naanza kupata majibu, inawezekana kabisa Tanzania tuko hapa tulipo kwasababu ya wanasheria wa type hii, serikali yetu inaonekana ni serikali ya ajabu kwasababu ya wanasheria wa type hii!, na Bunge letu inaonekana ni Bunge la ajabu kwasababu ya wabunge wa type hii!.

Wakati wa kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar ile mwaka 1984, kulikomuondoa Abdul Jumbe aliyekuwa rais wa Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na Idris Abdul Wakili, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema, "Wanasheria ni watu wabaya sana" sikumbuki alimaliziaje, ila kwenye hili sakata la IGA ya DPW, mimi naungana na Baba wa taifa kwa kusema "Wanasheria Vilaza ni Watu Wabaya Sana", ndio wametufikisha hapa kwenye hili la hii IGA ya DPW!.

  1. Naomba nianze na Serikali yetu inajua kabisa kuwa Bandari ina falls kwenye sheria hii iliwazaje kuruhusu hii IGA yenye vipengele vinavyokwenda kinyume cha sheria zetu?.
  2. Sheria ikiishapitishwa ni ipo, kupitisha jambo lolote linanalokwenda kinyume cha sheria iliyopo, jambo hilo ni illegality, hivyo hii IGA hapo ilipo it's illegal!.
  3. Jambo ambalo lingepaswa kufanyika ni kwa serikali yetu kubadili kwanza sheria zetu kisha ndio kuipitisha hii IGA!.
  4. Kwenye hii IGA, serikali yetu imeingia makubaliano na Dubai, ambayo sio sovereign, kukitokea mgogoro wa kushitaki kimataifa, Tanzania tunaweza kushitakiwa kwa international instruments, kwasababu Tanzania ni member wa Geneva Convention, lakini kama DPW ndio watatukosea, Tanzania tutawashitaki wapi wakati Dubai sio member wa Geneva Convention, member kule ni UAE!. Kwenye ile IGA, hakuna popote UAE, imetoa Power of Attorney kwa Dubai!, hivyo Tanzania kama nchi, tumeingia mkataba na an entity which has no capacity to contract a treaty!. DPW wangesainiana tuu na TPA na kumalizana juu kwa juu!.
  5. Ile 2017 wakati tunapitisha sheria hii, mimi niliuliza humu humu kuwa Tanzania tutaweza?.
  6. Sasa nije kwa Bunge letu Tukufu, kwanye mikataba ya kimataifa, international treaties, the role of Bunge ni kuridhia tuu, yaani ratification, kui ratify ili kui domesticate kuwa sehemu ya sheria zetu.
  7. Hiki ndicho Bunge letu Tukufu limekifanya kwenye hii IGA!. Sasa uliita Bunge letu hili ni Bunge la vilaza, utakuwa unalionea?.
  8. Lilichofanya Bunge letu ni ku rubber stamp tuu hii IGA!, ukiliita Bunge letu Tukufu ni Bunge rubber stamp utakuwa unalionea?!.
  9. Kwa mujibu wa sheria hii, the role of Bunge sio ratification na ku rubber stamp, the role of Bunge ni ku revives na kutoa mapendekezo!.
  10. Kabla waheshimiwa wabunge wetu kujadili mkataba huu, sisi washauri wa bure tuliwashauri kabla!. Kwa vile walifanya kinyume, tuna haki ya kuwabalasa!.
  11. Hii sio mara ya kwanza kwa Bunge letu kupitisha vitu vya ajabu ajabu kitutusa!. Kwenye ule mgogoro wa CAG, Prof.Assad, Bunge letu lilipitisha Azimio batili, nikawaambia Azimio lile ni batili, Bunge wakakomaa wakapitisha kwa mbwembwe!.
  12. Baada ya kupitisha nikawaeleza kuwa ni lazima waipokee ripoti ya CAG wasipoipokea Bunge linavunjwa!.
  13. Ndipo lile Azimio lao batili wakaliondoa kimya kimya na wakaipokea Ripoti ya CAG kimya kimya!. Sasa Bunge la aina hii ukiliita Bunge full of vilazaz kwa lugha ya rafiki yangu Le Mutuz (RIP) Bunge la mbululaz!, tutakuwa tunawaonea waheshimiwa wabunge wetu?.
  14. Nimalizie kwa wanasheria wetu na wanasheria wenzangu. Prof. Shivji anasema hii IGA ina matatizo, TLS wanaainisha kabisa vifungu, halafu wewe mwanasheria kinda, unaibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo, with all illegality nilio ainisha hapa, bado unathubutu kuibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo?.
  15. Leo nimeandika makala kwenye gazeti la Nipashe, kwa kutoa rai kwa serikali, kuzijibu kisheria hoja za kisheria na tuufunge huu mjadala
Hitimisho
Uzalendo wa kweli ni nia ya dhati kuisaidia nchi yako, kumsaidia rais wako, kuisaidia serikali yako, unapona jambo halijakaa vizuri, unakosoa na kushauri the right thing to do. Mimi nimekosoa na pia nimeshauri. Nimalizie kwa lile swali la msingi la bandiko hili kuwa hii IGA ya DPW imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!. Swali ni Je Bunge letu nalo pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted?!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Tatizo kubwa ulilo nalo ni kuwa huna msimamo, hausimamii haki, unasimamia maslahi yako na sifa. Ukweli ni kitu muhimu, sikatai kuwa unayo elimu. na intelligence lakini uneshindwa kuitumia vizuri. Nimeona unavyoongea una uwezo mkubwa, lakini Kwa nini umechagua weakness.
 
Wao wameanza kujizungusha huko kwa machifu na kuwataka watuloge sisi tunaoonyesha makosa ya huu mkataba (kutukumbusha kuwa kuna chifu mangungo wa Msovero aliwahi kuuza nchi na watu).

Wao wanasema wameshasaini, sisi tukae kimya. Wamejisahau kuwa wao ni wawakilishi wetu sisi lakini sisi si wawalilishi wao.

Hawajui kuwa tunaweza kuamua kujiwakilishq wenyewe. TUKIAMUA
 
Wakili Pascal Mayalla umeitendea haki fani yako, kwa bandiko hili,

Dominica njema
 
Mtu aliyesoma anielekeze jamaa anapinga au ana support, maana vichwa vya habari vya Paschal havijawahi eleweka.
 
Kawaida yangu huwa sishambulii Mtu Bali hoja yake. Ukija vizuri nakusifu ukija vibaya nakudunda. Japokuwa wewe ni kama mvua za vuli hujulikani utanyesha wapi, lakini Kwa hili bandiko na yale mawili ya Jana umeitendea haki taaluma ya sheria.
Kuna kitu kimoja umekisahau kwenye bandiko lako japo unaweza kusema mhusika umemjumuisha kwenye neno "Serikali". Lakini ungemtenganisha na serikali ingependeza Kwa sababu yeye ana kofia mbili ya Mkuu wa Serikali na Mkuu wa nchi. Swali lako la Tatu lingekuwa Je, tuna Rais wa ajabu?
Maana ukiangalia katika hili yeye ndiye binafsi aliyempa mamlaka ya Kisheria Waziri wake Mbarawa kusaini Kwa niaba ya serikali na nchi ya Tanzania. Anafanya hayo huku akiona wenzake wametoa madaraka Kwa Kakampuni tu badala ya Mtu mwenye mamlaka serikalini. Yaani kampuni ya DPW imekaa kama serikali wakati wa kusaini IGA (hata kama imepiwa power) na ikifika wakati wa HGA hao hao DPW watasimama kama kampuni. Yaani kisoka tunasema DPW ni kocha mchezaji. Mchezaji wa timu A (TPA) akigombana na mchezaji mwenzake (DPW) atatakiwa kulalamikia Kwa kocha wake (Serikali ya Tanzania) ambaye kabla ya yote atatakiwa Kwanza kumuita kocha mwenzake (DPW) ili wawasuluhishe Wachezaji wao. Ukiweka Serikali ya Tanzania iwe mzazi na TPA awe Mtoto na DPW atakuwa Mzazi na Mtoto Kwa wakati mmoja. Wewe uliona wapi ukilaza wa Aina hii?
 
Mungu ametupa NCHI Nzuri mno DUNIANI nzuri sana.

Lakini Bahatimbaya kabisa Tumekuwa na LAANA ya Raslimali.

Hakuna kitu, hakuna wizara, haKuna SEKTA tunayoweza KUJIVUNIA kwa Miaka 60 ya Uhuru.

TUMEJAA UBABAISHAJI.
Hakuna tuwezacho zaidi ya Rushwa, Wizi, Uhujumu uchumi, ubadhirifu wa mali za umma, kujilimbikizia Mali na uchawa.
 
KILA TAASISI KAMA NI URAIS, MAHAKAMA, SERIKALI , POLISI N.K KAMA KUNA UDHAIFU WANAUONESHA HUU WOTE NI KUTOKANA NA KATIBA. KWA KATIBA YA SASA VIONGOZI WOTE NA TAASISI ZOTE LAZIMA KUPOKEA NA KUTII MAAGIZO TOKA KWA RAIS YAWE YA HAKI AU YAWE YASIYOHAKI. DAWA NI KATIBA MPYA TENA ITAKAYOWAPA WANANCHI MAMLAKA KUMPITA YEYOTE HATA RAIS. NASIHI KATIBA IJAYO IITWE KATIBA YA KIDEMOKRASIA NA MAMLAKA YA WANANCHI WA JAMHURI YA TANZANIA.
 
Tatizo kubwa ulilo nalo ni kuwa huna msimamo, hausimamii haki, unasimamia maslahi yako na sifa. Ukweli ni kitu muhimu, sikatai kuwa unayo elimu. na intelligence lakini uneshindwa kuitumia vizuri. Nimeona unavyoongea una uwezo mkubwa, lakini Kwa nini umechagua weakness.
Leo Paskali amendika mambo mazito na muhimu sana. Bandiko ninja kizalendo mno. Pengine una chuki naye tu binafsi. Japo siku hizi ukisikia Prof Shivji kashambuliwa, Dr Slaa kashambuliwa, Prof Tibaijuka kashambuliwa, Lossu kashambukiwa, Jaji Warioba Kashambuliwa, Butiku kashambuliwa, Mwambukuzi kashambuliwa, Mbowe kashambuliwa, Nshala Kashambukiwa n.k., basi ujue wamegonga mahali ambapo watetezi wa Waarabu hawakutaka kusikia
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye maswali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, kisha majibu utayatoa wewe mwenyewe!.

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo!, hili ni bandiko la swali na sio bandiko la statement!. "IGA ya DPW I
imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!. Swali ni Je Bunge letu nalo pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted?!. Umuhimu wa angalizo hili ni mimi mwenzenu huko nyuma niliwahi kuandika makala fulani kuulizia jambo fulani, Mhe. Mbunge kilaza mmoja, akaisoma makala yangu bila kuiona ile alama ya kuuliza na kunituhumu kuwa nimetoa statement fulani, Spika ikambidi kuniita Dodoma mbele ya kamati, nilipowaonyesha ile alama ya kuuliza, kesi ile iliishia pale, hivyo sitaki tena kuandika kitu kisha nikaitwa kujieleza ndio maana natoa angalizo kabla.

Mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu bado umeshika kasi, huku ukijadiliwa kwenye fronts mbili kuu, front ya kwanza ni mijadala ya kisiasa, kwa wanasiasa mbalimbali kujitokeza kutoa hoja zao za kisiasa kwa kuita waandishi wa habari.

Front ya pili ni mijadala ya kisheria kwa wanasheria mbalimbali kujitokeza kutoa maoni yao ya kisheria, wakiongozwa na maoni ya Chama cha Wakili Tannganyika, TLS, wakiwemo wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama Prof. Issa Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, Jaji Sinde Warioba, Tundu Lissu na wanasheria mbalimbali

Wale wenye fedha zao, wataita waandishi ukumbi wa hoteli fulani na kuwakirimu waandishi wa habari, na wale wenzangu na mimi, akina Apeche Alolo, ama watawaita waandishi majumbani mwao, au kutoa maoni yao kupitia Club House.

Tangu sakata hili la IGA ya DPW liibuke, mimi msimamo wangu ni ule ule haujawahi kuyumba kwa tumeshindwa kuiendesha Bandari yetu kwa ufanisi, hivyo hakuna ubaya wowote kusaidiwa!.

Nikasisitiza kitu kilichohitajika ni uelimishaji umma na ushirikishwaji wa Watanzania, mambo ambayo hayakufanyika watu wakaona tuu MoU zinasainiwa Dubai wakati wa Expo Dubai ile February 2022, IGA ikasainiwa kimya kimya October 2022, kisha kuletwa Bungeni kuridhiwa June 2023!.

Juzi Ijumaa, Jukwaa la Wahariri wakawaalika wahusika wakuu wa IGA ile wakiongozwa na Waziri husika, akiandamana na wanasheria kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali, ndipo nami kwavile pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, nikashuhudia ukilaza wa ajabu kabisa kwenye tasnia yetu ya sheria!. Hii IGA imechambuliwa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama TLS, na Prof. Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, ikakutwa ina matatizo lukuki, halafu wanatuletea wanasheria vilaza tuu waliofeli LST, hivyo wala sio mawakili, kutuongozea majadiliano ya hii IGA, wanaibuka na kusema hii IGA ni nzuri na haina matatizo yoyote!, kweli?!.

Kule nyuma niliwahi kuuliza
sasa ndio naanza kupata majibu, inawezekana kabisa Tanzania tuko hapa tulipo kwasababu ya wanasheria wa type hii, serikali yetu inaonekana ni serikali ya ajabu kwasababu ya wanasheria wa type hii!, na Bunge letu inaonekana ni Bunge la ajabu kwasababu ya wabunge wa type hii!.

Wakati wa kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar ile mwaka 1984, kulikomuondoa Abdul Jumbe aliyekuwa rais wa Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na Idris Abdul Wakili, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema, "Wanasheria ni watu wabaya sana" sikumbuki alimaliziaje, ila kwenye hili sakata la IGA ya DPW, mimi naungana na Baba wa taifa kwa kusema "Wanasheria Vilaza ni Watu Wabaya Sana", ndio wametufikisha hapa kwenye hili la hii IGA ya DPW!.

  1. Naomba nianze na Serikali yetu inajua kabisa kuwa Bandari ina falls kwenye sheria hii iliwazaje kuruhusu hii IGA yenye vipengele vinavyokwenda kinyume cha sheria zetu?.
  2. Sheria ikiishapitishwa ni ipo, kupitisha jambo lolote linanalokwenda kinyume cha sheria iliyopo, jambo hilo ni illegality, hivyo hii IGA hapo ilipo it's illegal!.
  3. Jambo ambalo lingepaswa kufanyika ni kwa serikali yetu kubadili kwanza sheria zetu kisha ndio kuipitisha hii IGA!.
  4. Kwenye hii IGA, serikali yetu imeingia makubaliano na Dubai, ambayo sio sovereign, kukitokea mgogoro wa kushitaki kimataifa, Tanzania tunaweza kushitakiwa kwa international instruments, kwasababu Tanzania ni member wa Geneva Convention, lakini kama DPW ndio watatukosea, Tanzania tutawashitaki wapi wakati Dubai sio member wa Geneva Convention, member kule ni UAE!. Kwenye ile IGA, hakuna popote UAE, imetoa Power of Attorney kwa Dubai!, hivyo Tanzania kama nchi, tumeingia mkataba na an entity which has no capacity to contract a treaty!. DPW wangesainiana tuu na TPA na kumalizana juu kwa juu!.
  5. Ile 2017 wakati tunapitisha sheria hii, mimi niliuliza humu humu kuwa Tanzania tutaweza?.
  6. Sasa nije kwa Bunge letu Tukufu, kwanye mikataba ya kimataifa, international treaties, the role of Bunge ni kuridhia tuu, yaani ratification, kui ratify ili kui domesticate kuwa sehemu ya sheria zetu.
  7. Hiki ndicho Bunge letu Tukufu limekifanya kwenye hii IGA!. Sasa uliita Bunge letu hili ni Bunge la vilaza, utakuwa unalionea?.
  8. Lilichofanya Bunge letu ni ku rubber stamp tuu hii IGA!, ukiliita Bunge letu Tukufu ni Bunge rubber stamp utakuwa unalionea?!.
  9. Kwa mujibu wa sheria hii, the role of Bunge sio ratification na ku rubber stamp, the role of Bunge ni ku revives na kutoa mapendekezo!.
  10. Kabla waheshimiwa wabunge wetu kujadili mkataba huu, sisi washauri wa bure tuliwashauri kabla!. Kwa vile walifanya kinyume, tuna haki ya kuwabalasa!.
  11. Hii sio mara ya kwanza kwa Bunge letu kupitisha vitu vya ajabu ajabu kitutusa!. Kwenye ule mgogoro wa CAG, Prof.Assad, Bunge letu lilipitisha Azimio batili, nikawaambia Azimio lile ni batili, Bunge wakakomaa wakapitisha kwa mbwembwe!.
  12. Baada ya kupitisha nikawaeleza kuwa ni lazima waipokee ripoti ya CAG wasipoipokea Bunge linavunjwa!.
  13. Ndipo lile Azimio lao batili wakaliondoa kimya kimya na wakaipokea Ripoti ya CAG kimya kimya!. Sasa Bunge la aina hii ukiliita Bunge full of vilazaz kwa lugha ya rafiki yangu Le Mutuz (RIP) Bunge la mbululaz!, tutakuwa tunawaonea waheshimiwa wabunge wetu?.
  14. Nimalizie kwa wanasheria wetu na wanasheria wenzangu. Prof. Shivji anasema hii IGA ina matatizo, TLS wanaainisha kabisa vifungu, halafu wewe mwanasheria kinda, unaibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo, with all illegality nilio ainisha hapa, bado unathubutu kuibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo?.
  15. Leo nimeandika makala kwenye gazeti la Nipashe, kwa kutoa rai kwa serikali, kuzijibu kisheria hoja za kisheria na tuufunge huu mjadala
Hitimisho
Uzalendo wa kweli ni nia ya dhati kuisaidia nchi yako, kumsaidia rais wako, kuisaidia serikali yako, unapona jambo halijakaa vizuri, unakosoa na kushauri the right thing to do. Mimi nimekosoa na pia nimeshauri. Nimalizie kwa lile swali la msingi la bandiko hili kuwa hii IGA ya DPW imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!. Swali ni Je Bunge letu nalo pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted?!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Mayala, mara zote mabandiko yako niyauelimishaji jamii lakini cha ajabu serikali ya CCM huweka pamba kwenye masikio na bunge la CCM ndiyo usiseme limekuwa ni bunge la vibweka wanadhani wanaakili kuliko watanzania wote hata waliopewa dhamana Nadhani wanateuliwa kwa ujasiri wao wa kuongea na sio vinginevyo. Taifa limefika hapa tulipo kwasababu ya jamii kujitoa ufahamu, (unyumbu). Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives, (conflict of interest) or fear of their leaders, (amygdala), by Ipyana Haraba. The aftermath of this behavior is lack of individual decision making and the end result will be disaster or uncertainty inherent
 
Andiko zuri sana.Nawaza hata kama viongozi wetu wanawaza kwa kufikiria matumbo yao ni tumbo gani hilo lisiloshiba?Siku ya mwisho wataondoka Sana Sana nasuti moja vyote walivyokusanya wataviacha.Nenda Loliondo uone Masai mzaliwa anachokipata akikatiza eneo la mwarabu.Sasa Leo bandari zote Tanganyika apewe mtu mmoja tukitaka lolote tumwombe ruhusa mwekezaji.Je Uhuru Nyerere alioupigania si utakuwa umeporwa?
 
Tumewahi kujiuliza migogoro hii ya DP WORLD kwa wenzetu imetoka na nini? Jee huku kutumia nguvu kwa hawa viongozi na machawa wao wanaowatumia kutetea mkataba huu kunatokana na nini?
Jibu la haraka linalokuja ni RUSHWA ndio inayoleta upofu huu. Nasi kama nchi tukizembea tuu, rushwa itashinda na vizazi vitaumia.
20230716_073734.jpg
20230716_073739.jpg
20230716_073845.jpg
 
Back
Top Bottom