"IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

Sijawahi kukupa like mkuu ila leo nimeitoa.kongole sana kwa bandiko hili la jumapili ya leo.

Nadhani Leo umeenda kifasihi zaidi ya uandishi.shida kubwa iliyopo kwa viongozi wetu ni kuendekeza tamaa na maslahi yao binafsi ndicho kilichotokea tangu mwanzo wa mchakato wa hiyo MoU,kuja IGA na inaenda HGA sasa.

Kwa akili za kawaida tu mtu mwenye akili timamu ukisoma hizo article za hiyo IGA unapata picha halisi ya viongozi tulionao kuwa ni sio vilaza tu Bali ni matutusa ya kupitiliza.

Serikali Haina watu wenye weledi ndio maana hawana hoja Wala utetezi wa kueleweka kuhusu hili la hao waarabu.
Mtu anaulizwa pungufu la mkataba yeye anataja faida zake utamuelewa huyo?
Serikali ina wanasheria vilaza tu na ndio maana wazee wakina mtikila waliyajua haya na wakawa wanashinda kesi dhidi ya serikali tu.

Wanasheria wajitokeze kesi zifunguliwe nyingi sisi raia hata kuchanga pesa tuko tayari hatutachoka ili hii serikali ya CCM tuipige chini wanashindwa kuheshimu wananchi wao hawa na wanajua hatuna Cha kuwafanya.

Mungu Yuko nasi na hili ndio jambo naona kaanza kutupa mwangaza wa kutokea.
Mtu anaulizwa pungufu la mkataba yeye anataja faida zake utamuelewa huyo? [emoji23]
 
Pascal Mayalla wanasheria kwasababu umeona hawana cha kukufanya ndio umewaita vilaza, lakini bunge lililowahi kukuita na kukuhoji unaliogopa huku ukijua fika nalo limejaa vilaza wa kutisha, kuanzia na Spika, akifuatiwa na kina Musukuma, serikali inayoongozwa na kilaza namba moja nayo umeogopa kuitaja kwasababu bado unategemea kupata chochote toka kwake..
Mimi nina maswali kwa kaka yangu Pascal Mayalla;

1. YEYE NI MWANASHERIA WA UPANDE UPI KATI YA PANDE ALIZOZITAJA?

2. Mwenzetu amewai itwa na bunge, achilia mbali kulitazama luningani. Alipoitwa, aliliona ni bunge la namna gani? La vilaza au la wajanja?

Ngali
 
Pascal Mayalla wanasheria kwasababu umeona hawana cha kukufanya ndio umewaita vilaza, lakini bunge lililowahi kukuita na kukuhoji unaliogopa huku ukijua fika nalo limejaa vilaza wa kutisha, kuanzia na Spika, akifuatiwa na kina Musukuma, serikali inayoongozwa na kilaza namba moja nayo umeogopa kuitaja kwasababu bado unategemea kupata chochote toka kwake..
Huja soma makala ya Pascal ukaielewa. Rudia kuisoma tena.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye maswali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, kisha majibu utayatoa wewe mwenyewe!.

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo!, hili ni bandiko la swali na sio bandiko la statement!. "Hii IGA ya DPW imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!". Swali ni Je Bunge letu nalo, lucha kushehenezwa na wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia, licha ya kuwa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu, nayo ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya ajabu hivi ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted or detected na ika sail through?!.

Umuhimu wa angalizo hili ni mimi mwenzenu huko nyuma niliwahi kuandika makala fulani kuulizia jambo fulani, Mhe. Mbunge kilaza mmoja, akaisoma makala yangu bila kuiona ile alama ya kuuliza na kunituhumu kuwa nimetoa statement fulani, akanishitaki kwa Spika, nikaitwa Dodoma kuhojiwa mbele ya kamati fulani!, nikaitika wito, nilipowaonyesha ile alama ya kuuliza, kesi ile iliishia pale!, hivyo sitaki tena kuandika kitu kisha nikaitwa kujieleza popote ndio maana natoa angalizo hili mapema kabisa, hapa sijatoa statement yoyote ni nimeuliza tuu maswali!.

Mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu bado umeshika kasi, huku ukijadiliwa kwenye fronts mbili kuu, front ya kwanza ni mijadala ya kisiasa, kwa wanasiasa mbalimbali kujitokeza kutoa hoja zao za kisiasa kwa kuita waandishi wa habari.

Front ya pili ni mijadala ya kisheria kwa wanasheria mbalimbali kujitokeza kutoa maoni yao ya kisheria, wakiongozwa na maoni ya Chama cha Wakili Tannganyika, TLS, wakiwemo wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama Prof. Issa Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, Jaji Sinde Warioba, Tundu Lissu na wanasheria mbalimbali

Wale wenye fedha zao, wataita waandishi ukumbi wa hoteli fulani na kuwakirimu waandishi wa habari, na wale wenzangu na mimi, akina Apeche Alolo, ama watawaita waandishi majumbani mwao, au kutoa maoni yao kupitia Club House.

Tangu sakata hili la IGA ya DPW liibuke, mimi msimamo wangu ni ule ule haujawahi kuyumba kwa tumeshindwa kuiendesha Bandari yetu kwa ufanisi, hivyo hakuna ubaya wowote kusaidiwa!.

Nikasisitiza kitu kilichohitajika ni uelimishaji umma na ushirikishwaji wa Watanzania, mambo ambayo hayakufanyika watu wakaona tuu MoU zinasainiwa Dubai wakati wa Expo Dubai ile February 2022, IGA ikasainiwa kimya kimya October 2022, kisha kuletwa Bungeni kuridhiwa June 2023!.

Juzi Ijumaa, Jukwaa la Wahariri wakawaalika wahusika wakuu wa IGA ile wakiongozwa na Waziri husika, akiandamana na wanasheria kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali, ndipo nami kwavile pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, nikashuhudia ukilaza wa ajabu kabisa kwenye tasnia yetu ya sheria!. Hii IGA imechambuliwa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama TLS, na Prof. Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, ikakutwa ina matatizo lukuki, halafu wanatuletea wanasheria vilaza tuu waliofeli LST, wala sio mawakili, kutuongozea timu za majadiliano ya hii IGA!, unatemea nini?. Wanasheria vilaza hawa wanapoibuka na kusema hii IGA ni safi, nzuri na haina matatizo yoyote!, hii no kuashiria TLS na wanasheria manguli wote wanaosema hii IGA ni matatizo, ndio vilaza?!...kweli?!.

Kule nyuma niliwahi kuuliza
sasa ndio naanza kupata majibu, inawezekana kabisa Tanzania tuko hapa tulipo kwasababu ya wanasheria wa type hii, serikali yetu inaonekana ni serikali ya ajabu kwasababu ya wanasheria wa type hii!, na Bunge letu inaonekana ni Bunge la ajabu kwasababu ya wabunge wa type hii!.

Wakati wa kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar ile mwaka 1984, kulikomuondoa Abdul Jumbe aliyekuwa rais wa Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na Idris Abdul Wakili, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema, "Wanasheria ni watu wabaya sana" sikumbuki alimaliziaje, ila kwenye hili sakata la IGA ya DPW, mimi naungana na Baba wa taifa kwa kusema "Wanasheria Vilaza ni Watu Wabaya Sana", ndio wametufikisha hapa kwenye hili la hii IGA ya DPW!.

  1. Naomba nianze na Serikali yetu inajua kabisa kuwa Bandari ina falls kwenye sheria hii iliwazaje kuruhusu hii IGA yenye vipengele vinavyokwenda kinyume cha sheria zetu?.
  2. Sheria ikiishapitishwa ni ipo, kupitisha jambo lolote linanalokwenda kinyume cha sheria iliyopo, jambo hilo ni illegality, hivyo hii IGA hapo ilipo it's illegal!.
  3. Jambo ambalo lingepaswa kufanyika ni kwa serikali yetu kubadili kwanza sheria zetu kisha ndio kuipitisha hii IGA!.
  4. Sheria hii kama itakuwa applicable retroactively kwa mikataba hii ya kinyonyaji iliyopo sasa, then Tanzania tutakuwa automatically tumevunja mikataba yote ya uwekezaji kwenye maliasili zetu!, hakuna tena kutishiwa kushitakiwa popote nje ya Tanzania, hakuna cha IICD wala cha MIGA, mambo yote sasa ni kwa sheria zetu za JMT. Huu ndio uzalendo, huu ndio uanamume, na kama hawataki kufuata sisi wenye mali tunachotaka, bora wafungashe, virago vyao na wakwende zao!.
  5. But hapa naomba tuambiane ukweli, jee sisi Tanzania, tunao uwezo huo?, can we stand?. Do we have the guts and the capacity to challenge them?. Nyerere alijaribu kwenye nationalization na matokeo tunayajua, jee Magufuli atasimama na hii Magufulification na Magufulinaization yenye kila dalili za pseudo dictatorship into full dictatorship, ambazo the rule of law sio issue sana kivile?,
  6. ikibidi kuzibadili sheria zetu ili zitufaidie sisi, then tunazibadili bila kujadiliana na yeyote na hata kama kuna atakayeathirika na mabadiliko haya, potelea pote, kwanza tubadili ndio tuje tukae mezani kutafuta a win win situation kwa kutumia sheria mpya!. Hili litawezekana?.
  7. Kwavile wengi humu ni vijana wadago, kwa sisi wazee wa umri wangu, tunakumbuka vita ya uhujumu uchumi ya Edward Sokoine, kwanza wahujumu uchumi walikamatwa wakatiwa ndani, kisha Bunge letu likatunga sheria ya uhujumu, kisha sasa tukaitumia sheria hiyo mpya kuwahukumu wahujumu hao, kuna watu wanajua what happened to Sokoine?.
  8. Kwa umasikini wetu huu, with a very poor intelligence, Tanzania do we have the ability and the capacity kum protect Magufuli ili ayatekeleze haya? Mtu asije akatafutiwa sababu akaondoshwa watu tukabaki tumeduwaa!.
  9. Baada ya Sokoine kuondoshwa, wanamume walitinga mahakamani, Mahakama Kuu ilitupilia mbali kesi zote, serikali ikashindwa vibaya, na kudaiwa fidia ya mabilioni na ikatamkwa wazi kuwa sheria hiyo ni batili!.
  10. Sasa tumetunga tena sheria nyingine batili!, Mtunga sheria mkuu wa sheria hii ni mwalimu wangu Prof. Kabudi aliyetufundisha kuhusu retroactive laws ni bad laws!.
  11. Tanzania tunafuata mtindo wa sheria wa nchi za Jumuiya ya Madola ambayo unataka sheria iwepo kwanza ndipo ukiivunja unakuwa umetenda kosa, ili kosa lifanyike, lakini kwanza sheria iwepo kutamka jambo fulani ni kosa. Lakini kama jambo fulani wakati linafanyika halikuwa kosa, lakini huwezi kutunga sheria na kutekekezwa retroactively.
  12. Naomba kuwaandaa kisaikolojia kuwa baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya ya madini na Rasilimali za Taifa zina vipengele batili, ama soon zitarudishwa Bungeni kufumuliwa, na kurekebishwa ama ikilazimishwa kutekelezwa kwa lazima, Tanzania tunakwenda kupigwa mwereka mahamani mapema asubuhi!.
  13. Lakini kama sheria hizi mpya, zitaanza kutumika kwa mikataba mipya itakayoingiwa kuanzia sasa, baada ya kuwepo kwa vipengele hivi, then Watanzania wenzangu, wala tusishangilie saana kivile, kwa sababu, tutaendelea kuibiwa kupitia mikataba mibovu iliyopo mpaka ama imalizike, ama tukae mezani ku renegotiate na wawekezaji hawa ambao baadhi yao ni wanyonyaji, wanaweza kabisa wakagoma ili kuhakikisha kuwa wame extract madini yetu yote, na gesi yote na Tanzania tukaachiwa tuu mashimo!.
  14. Ili sheria hii iwe na maana ni lazima ianze kutumika kuanzia sasa ilipopitishwa, ila kwa vile sheria huwa hazi act retroactively, kwa mikataba iliyofungwa kabla ya sheria hii, inakuwa haifungwi na mabadiliko haya, wanasheria mliopo humu tusaidieni, jee vipengele hivi vipya, havivunji mikataba iliyopo inayotaka usuluhishi kwanye vyombo vya kimataifa?.
  15. Jee nini hatma ya Tanzania kwenye mikataba ya kimataifa tulioridhia ikiwemo MIGA?.
  16. Nini hatima ya Tanzania katika uwekezaji kupitia FDI?, wenye fedha zao kweli watakuwa tayari to take such risks?.
  17. Jee tushangilie tuu, au pia tujiulize na the consequences, jee Tanzania tuna guts to stand the international pressures za mabeberu hawa, ama tunapitisha tuu sheria hizi kwa mbwembwe, lakini hatuna uwezo wala jeuri ya kuzitekeleza na ama soon kibano kikitufika, tutaufyata kwa kuzirejesha Bungeni kufumuliwa na kurekebishwa ili kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyopo!, na amini usiamini, hakuna mwekezaji yoyote wa kimataifa atakubali kuja kuwekeza kwenye nchi yenye sheria za ajabu kama hizi!.
  18. Ushauri wa The Best Way Forward ni Renegotiation to Reach A Win Win Situation
    Kupitisha sheria mpya kwa hati ya dharura bila ushirikishwa ni kosa, maadam tumeisha fanya kosa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Hivyo huu ni ushauri wangu wa the best way forward kwa situation iliyopo ni kukaa mezani na wawekezaji wote tuliosaini nao mikataba kabla ya sheria hii mpya kupitishwa, kuwapigia magoti, kuwaomba wakubali kupitia upya mikataba yao katika win win situation, sisi tupate na wao wapate, hii ya kulazimishana.
  19. Nawaombeni sana msishangilie na kumvimbishwa kichwa rais Magufuli kuwa tunaweza kila kitu, tuwalazimishe lazima wafuate tunachotaka sisi wenye mali, asiyetaka na afungashe, aondoke!, jee tunaweza?, tunayo jeuri hii?. Kuna watu kama Billy Gates au Dangote, akikohoa tuu, nchi zinatetemeka!, can we stand?.
  20. Kitakacho Tokea
    Kitakacho tokea ni ama baadhi ya vipengele vya sheria hizi mpya vitapuuzwa, ama ili kuepuka aibu ya kupitisha sheria mbovu kwa mbwembwe, serikali itapeleka kimya kimya, marekebisho ya baadhi ya vipengele vya sheria hii, kikiwepo hicho kipengele cha arbitration, kitaondolewa ili kurejesha confidence kwa wawekezaji. Kwenye hili, time will tell, kama Nyerere na Sokoine walikuwa ni wakali ukweli ukweli, lakini walishindwa, hivyo kwenye hili la sheria kutekelezwa kwa retroactively, naowaomba mimi niwe mkweli bayana wa nafsi yangu, Mwalimu wangu Prof. Kabudi na wanasheria wake, waliotunga sheria hii kwa mtindo wa zimamoto, wamemdanganya rais Magufuli kwa kumtungia sheria yenye vipengele vya ajabu, halafu rais aka assent, then sheria hii itashindwa kutekelezwa, hivyo soon watapeleka marekebisho Bungeni na kumrudia rais a assent marekebisho hayo, na hili likitokea, naombeni hoja za bandiko hili zizingatiwe, Tanzania tutaonekana ni nchi ya ajabu, tunatunga sheria za ajabu kwa mbwembwe, tunazipitisha kwa mbwembwe, rais wetu ana zi assent kwa mbwembwe, lakini katika utekelezaji ndipo tunajikuta kumbe Bunge letu, na serikali yetu, iliyosheheni wanasheria manguli tena wengine ni waalimu wetu wa sheria wa chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam ambao sisi tulipokuwa wanafunzi tukisomea sheria, waalimu hawa ndio waliotufundisha kuwa sheria yoyote inayotungwa kama ita act retroactively is a bad law, it's illegal, lakini leo, waalimu hawa hawa ndio wamegeuka wanasiasa na wao sasa ndio hawa wametunga illegal law, wakaipitisha, wakampelekea rais akaisaini ianze kutumika, huku wanajua fika retroactively law is illegal law kwenye jumuiya ya Madola, lakini bado wamepitisha, sasa siku ya kurejea Bungeni kuyarekebisha haya madudu yao ya kisheria, hizi sura zao wataziweka wapi?.
  21. Kwenye hii IGA, serikali yetu imeingia makubaliano na Dubai, ambayo sio sovereign, kukitokea mgogoro wa kushitaki kimataifa, Tanzania tunaweza kushitakiwa kwa international instruments, kwasababu Tanzania ni member wa Geneva Convention, lakini kama DPW ndio watatukosea, Tanzania tutawashitaki wapi wakati Dubai sio member wa Geneva Convention, member kule ni UAE!. Kwenye ile IGA, hakuna popote UAE, imetoa Power of Attorney kwa Dubai!, hivyo Tanzania kama nchi, tumeingia mkataba na an entity which has no capacity to contract a treaty!. DPW wangesainiana tuu na TPA na kumalizana juu kwa juu!.

  22. Ile 2017 wakati tunapitisha sheria hii, mimi niliuliza humu humu kuwa Tanzania tutaweza?.
  23. Sasa nije kwa Bunge letu Tukufu, kwanye mikataba ya kimataifa, international treaties, the role of Bunge ni kuridhia tuu, yaani ratification, kui ratify ili kui domesticate kuwa sehemu ya sheria zetu.
  24. Hiki ndicho Bunge letu Tukufu limekifanya kwenye hii IGA!. Sasa uliita Bunge letu hili ni Bunge la vilaza, utakuwa unalionea?.
  25. Lilichofanya Bunge letu ni ku rubber stamp tuu hii IGA!, ukiliita Bunge letu Tukufu ni Bunge rubber stamp utakuwa unalionea?!.
  26. Kwa mujibu wa sheria hii, the role of Bunge sio ratification na ku rubber stamp, the role of Bunge ni ku revives na kutoa mapendekezo!.
  27. Kabla waheshimiwa wabunge wetu kujadili mkataba huu, sisi washauri wa bure tuliwashauri kabla!. Kwa vile walifanya kinyume, tuna haki ya kuwabalasa!.
  28. Hii sio mara ya kwanza kwa Bunge letu kupitisha vitu vya ajabu ajabu kitutusa!. Kwenye ule mgogoro wa CAG, Prof.Assad, Bunge letu lilipitisha Azimio batili, nikawaambia Azimio lile ni batili, Bunge wakakomaa wakapitisha kwa mbwembwe!.
  29. Baada ya kupitisha nikawaeleza kuwa ni lazima waipokee ripoti ya CAG wasipoipokea Bunge linavunjwa!.
  30. Ndipo lile Azimio lao batili wakaliondoa kimya kimya na wakaipokea Ripoti ya CAG kimya kimya!. Sasa Bunge la aina hii ukiliita Bunge full of vilazaz kwa lugha ya rafiki yangu Le Mutuz (RIP) Bunge la mbululaz!, tutakuwa tunawaonea waheshimiwa wabunge wetu?.
Hitimisho
Nimalizie kwa wanasheria wetu na wanasheria wenzangu. Prof. Shivji anasema hii IGA ina matatizo, TLS wanaainisha kabisa vifungu, halafu wewe mwanasheria kinda, unaibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo, with all illegality nilio ainisha hapa, bado unathubutu kuibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo?.

Leo nimeandika makala kwenye gazeti la Nipashe, kwa kutoa rai kwa serikali, kuzijibu kisheria hoja za kisheria na tuufunge huu mjadala

Uzalendo wa kweli ni nia ya dhati kuisaidia nchi yako, kumsaidia rais wako, kuisaidia serikali yako, unapona jambo halijakaa vizuri, unakosoa na kushauri the right thing to do. Mimi nimekosoa na pia nimeshauri. Nimalizie kwa lile swali la msingi la bandiko hili kuwa hii IGA ya DPW imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!. Swali ni Je Bunge letu nalo pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted?!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Si umtaje tu Tulia Akson...mbona unaogopa!??
 
Pascal wewe hueleweki. Mimi huwa sikuamini! Ukiitwa kuteuliwa huwezi kuwa na msimamo......umesaka kuteuliwa muda mrefu. Kama ukatili wa magufuli wooote uliuunga mkono, hupashwi kuaminiwa. SAWA NA DR SLAA, SIWEZI KUMWAMINI KATU! HANA ANALOLISIMAMIA NI TUMBO. ANAPIGA KELEL SASA AKIPEWA UBALOZI ANGEUKA , MSIMWAMINI
Hapa nimemsoma pasco, nimeona rula imenyooka. Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe. Hata kama huko nyuma alikosea ila kwa hili andiko, kautendea haki uzalendo wake.
Tukija kwenye mada, tatizo ni kile kiti cha juu. kimeshikilia kila kona. sasa huku chini wakijua jambo limeanzia pale, wanaingiwa na hofu ya kupinga, hata kushauri ni woga, wanabaki ndio, ndio na kutetea ndio zao. Mtu anaona akitia mkono kivingine atakwenda na maji.
Pia sa100 mwenyewe kasababisha hili kwa kitendo cha kumtundika msalabani Ndugai na kuja front kutamba, kuwa:nikihisi upo kinyume changu nakutema.. (afadhali angesema, 'nikikuona')
Hii kauli ndio ilioharibu/paralise mifumo yote ya utendaji kwenye mihimili yote. Matokeo ndio haya.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye maswali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, kisha majibu utayatoa wewe mwenyewe!.

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo!, hili ni bandiko la swali na sio bandiko la statement!. "Hii IGA ya DPW imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!". Swali ni Je Bunge letu nalo, lucha kushehenezwa na wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia, licha ya kuwa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu, nayo ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya ajabu hivi ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted or detected na ika sail through?!.

Umuhimu wa angalizo hili ni mimi mwenzenu huko nyuma niliwahi kuandika makala fulani kuulizia jambo fulani, Mhe. Mbunge kilaza mmoja, akaisoma makala yangu bila kuiona ile alama ya kuuliza na kunituhumu kuwa nimetoa statement fulani, akanishitaki kwa Spika, nikaitwa Dodoma kuhojiwa mbele ya kamati fulani!, nikaitika wito, nilipowaonyesha ile alama ya kuuliza, kesi ile iliishia pale!, hivyo sitaki tena kuandika kitu kisha nikaitwa kujieleza popote ndio maana natoa angalizo hili mapema kabisa, hapa sijatoa statement yoyote ni nimeuliza tuu maswali!.

Mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu bado umeshika kasi, huku ukijadiliwa kwenye fronts mbili kuu, front ya kwanza ni mijadala ya kisiasa, kwa wanasiasa mbalimbali kujitokeza kutoa hoja zao za kisiasa kwa kuita waandishi wa habari.

Front ya pili ni mijadala ya kisheria kwa wanasheria mbalimbali kujitokeza kutoa maoni yao ya kisheria, wakiongozwa na maoni ya Chama cha Wakili Tannganyika, TLS, wakiwemo wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama Prof. Issa Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, Jaji Sinde Warioba, Tundu Lissu na wanasheria mbalimbali

Wale wenye fedha zao, wataita waandishi ukumbi wa hoteli fulani na kuwakirimu waandishi wa habari, na wale wenzangu na mimi, akina Apeche Alolo, ama watawaita waandishi majumbani mwao, au kutoa maoni yao kupitia Club House.

Tangu sakata hili la IGA ya DPW liibuke, mimi msimamo wangu ni ule ule haujawahi kuyumba kwa tumeshindwa kuiendesha Bandari yetu kwa ufanisi, hivyo hakuna ubaya wowote kusaidiwa!.

Nikasisitiza kitu kilichohitajika ni uelimishaji umma na ushirikishwaji wa Watanzania, mambo ambayo hayakufanyika watu wakaona tuu MoU zinasainiwa Dubai wakati wa Expo Dubai ile February 2022, IGA ikasainiwa kimya kimya October 2022, kisha kuletwa Bungeni kuridhiwa June 2023!.

Juzi Ijumaa, Jukwaa la Wahariri wakawaalika wahusika wakuu wa IGA ile wakiongozwa na Waziri husika, akiandamana na wanasheria kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali, ndipo nami kwavile pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, nikashuhudia ukilaza wa ajabu kabisa kwenye tasnia yetu ya sheria!. Hii IGA imechambuliwa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kama TLS, na Prof. Shivji, Dr. Rugemeleza Nshala, ikakutwa ina matatizo lukuki, halafu wanatuletea wanasheria vilaza tuu waliofeli LST, wala sio mawakili, kutuongozea timu za majadiliano ya hii IGA!, unatemea nini?. Wanasheria vilaza hawa wanapoibuka na kusema hii IGA ni safi, nzuri na haina matatizo yoyote!, hii no kuashiria TLS na wanasheria manguli wote wanaosema hii IGA ni matatizo, ndio vilaza?!...kweli?!.

Kule nyuma niliwahi kuuliza
sasa ndio naanza kupata majibu, inawezekana kabisa Tanzania tuko hapa tulipo kwasababu ya wanasheria wa type hii, serikali yetu inaonekana ni serikali ya ajabu kwasababu ya wanasheria wa type hii!, na Bunge letu inaonekana ni Bunge la ajabu kwasababu ya wabunge wa type hii!.

Wakati wa kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar ile mwaka 1984, kulikomuondoa Abdul Jumbe aliyekuwa rais wa Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na Idris Abdul Wakili, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema, "Wanasheria ni watu wabaya sana" sikumbuki alimaliziaje, ila kwenye hili sakata la IGA ya DPW, mimi naungana na Baba wa taifa kwa kusema "Wanasheria Vilaza ni Watu Wabaya Sana", ndio wametufikisha hapa kwenye hili la hii IGA ya DPW!.

  1. Naomba nianze na Serikali yetu inajua kabisa kuwa Bandari ina falls kwenye sheria hii iliwazaje kuruhusu hii IGA yenye vipengele vinavyokwenda kinyume cha sheria zetu?.
  2. Sheria ikiishapitishwa ni ipo, kupitisha jambo lolote linanalokwenda kinyume cha sheria iliyopo, jambo hilo ni illegality, hivyo hii IGA hapo ilipo it's illegal!.
  3. Jambo ambalo lingepaswa kufanyika ni kwa serikali yetu kubadili kwanza sheria zetu kisha ndio kuipitisha hii IGA!.
  4. Sheria hii kama itakuwa applicable retroactively kwa mikataba hii ya kinyonyaji iliyopo sasa, then Tanzania tutakuwa automatically tumevunja mikataba yote ya uwekezaji kwenye maliasili zetu!, hakuna tena kutishiwa kushitakiwa popote nje ya Tanzania, hakuna cha IICD wala cha MIGA, mambo yote sasa ni kwa sheria zetu za JMT. Huu ndio uzalendo, huu ndio uanamume, na kama hawataki kufuata sisi wenye mali tunachotaka, bora wafungashe, virago vyao na wakwende zao!.
  5. But hapa naomba tuambiane ukweli, jee sisi Tanzania, tunao uwezo huo?, can we stand?. Do we have the guts and the capacity to challenge them?. Nyerere alijaribu kwenye nationalization na matokeo tunayajua, jee Magufuli atasimama na hii Magufulification na Magufulinaization yenye kila dalili za pseudo dictatorship into full dictatorship, ambazo the rule of law sio issue sana kivile?,
  6. ikibidi kuzibadili sheria zetu ili zitufaidie sisi, then tunazibadili bila kujadiliana na yeyote na hata kama kuna atakayeathirika na mabadiliko haya, potelea pote, kwanza tubadili ndio tuje tukae mezani kutafuta a win win situation kwa kutumia sheria mpya!. Hili litawezekana?.
  7. Kwavile wengi humu ni vijana wadago, kwa sisi wazee wa umri wangu, tunakumbuka vita ya uhujumu uchumi ya Edward Sokoine, kwanza wahujumu uchumi walikamatwa wakatiwa ndani, kisha Bunge letu likatunga sheria ya uhujumu, kisha sasa tukaitumia sheria hiyo mpya kuwahukumu wahujumu hao, kuna watu wanajua what happened to Sokoine?.
  8. Kwa umasikini wetu huu, with a very poor intelligence, Tanzania do we have the ability and the capacity kum protect Magufuli ili ayatekeleze haya? Mtu asije akatafutiwa sababu akaondoshwa watu tukabaki tumeduwaa!.
  9. Baada ya Sokoine kuondoshwa, wanamume walitinga mahakamani, Mahakama Kuu ilitupilia mbali kesi zote, serikali ikashindwa vibaya, na kudaiwa fidia ya mabilioni na ikatamkwa wazi kuwa sheria hiyo ni batili!.
  10. Sasa tumetunga tena sheria nyingine batili!, Mtunga sheria mkuu wa sheria hii ni mwalimu wangu Prof. Kabudi aliyetufundisha kuhusu retroactive laws ni bad laws!.
  11. Tanzania tunafuata mtindo wa sheria wa nchi za Jumuiya ya Madola ambayo unataka sheria iwepo kwanza ndipo ukiivunja unakuwa umetenda kosa, ili kosa lifanyike, lakini kwanza sheria iwepo kutamka jambo fulani ni kosa. Lakini kama jambo fulani wakati linafanyika halikuwa kosa, lakini huwezi kutunga sheria na kutekekezwa retroactively.
  12. Naomba kuwaandaa kisaikolojia kuwa baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya ya madini na Rasilimali za Taifa zina vipengele batili, ama soon zitarudishwa Bungeni kufumuliwa, na kurekebishwa ama ikilazimishwa kutekelezwa kwa lazima, Tanzania tunakwenda kupigwa mwereka mahamani mapema asubuhi!.
  13. Lakini kama sheria hizi mpya, zitaanza kutumika kwa mikataba mipya itakayoingiwa kuanzia sasa, baada ya kuwepo kwa vipengele hivi, then Watanzania wenzangu, wala tusishangilie saana kivile, kwa sababu, tutaendelea kuibiwa kupitia mikataba mibovu iliyopo mpaka ama imalizike, ama tukae mezani ku renegotiate na wawekezaji hawa ambao baadhi yao ni wanyonyaji, wanaweza kabisa wakagoma ili kuhakikisha kuwa wame extract madini yetu yote, na gesi yote na Tanzania tukaachiwa tuu mashimo!.
  14. Ili sheria hii iwe na maana ni lazima ianze kutumika kuanzia sasa ilipopitishwa, ila kwa vile sheria huwa hazi act retroactively, kwa mikataba iliyofungwa kabla ya sheria hii, inakuwa haifungwi na mabadiliko haya, wanasheria mliopo humu tusaidieni, jee vipengele hivi vipya, havivunji mikataba iliyopo inayotaka usuluhishi kwanye vyombo vya kimataifa?.
  15. Jee nini hatma ya Tanzania kwenye mikataba ya kimataifa tulioridhia ikiwemo MIGA?.
  16. Nini hatima ya Tanzania katika uwekezaji kupitia FDI?, wenye fedha zao kweli watakuwa tayari to take such risks?.
  17. Jee tushangilie tuu, au pia tujiulize na the consequences, jee Tanzania tuna guts to stand the international pressures za mabeberu hawa, ama tunapitisha tuu sheria hizi kwa mbwembwe, lakini hatuna uwezo wala jeuri ya kuzitekeleza na ama soon kibano kikitufika, tutaufyata kwa kuzirejesha Bungeni kufumuliwa na kurekebishwa ili kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyopo!, na amini usiamini, hakuna mwekezaji yoyote wa kimataifa atakubali kuja kuwekeza kwenye nchi yenye sheria za ajabu kama hizi!.
  18. Ushauri wa The Best Way Forward ni Renegotiation to Reach A Win Win Situation
    Kupitisha sheria mpya kwa hati ya dharura bila ushirikishwa ni kosa, maadam tumeisha fanya kosa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Hivyo huu ni ushauri wangu wa the best way forward kwa situation iliyopo ni kukaa mezani na wawekezaji wote tuliosaini nao mikataba kabla ya sheria hii mpya kupitishwa, kuwapigia magoti, kuwaomba wakubali kupitia upya mikataba yao katika win win situation, sisi tupate na wao wapate, hii ya kulazimishana.
  19. Nawaombeni sana msishangilie na kumvimbishwa kichwa rais Magufuli kuwa tunaweza kila kitu, tuwalazimishe lazima wafuate tunachotaka sisi wenye mali, asiyetaka na afungashe, aondoke!, jee tunaweza?, tunayo jeuri hii?. Kuna watu kama Billy Gates au Dangote, akikohoa tuu, nchi zinatetemeka!, can we stand?.
  20. Kitakacho Tokea
    Kitakacho tokea ni ama baadhi ya vipengele vya sheria hizi mpya vitapuuzwa, ama ili kuepuka aibu ya kupitisha sheria mbovu kwa mbwembwe, serikali itapeleka kimya kimya, marekebisho ya baadhi ya vipengele vya sheria hii, kikiwepo hicho kipengele cha arbitration, kitaondolewa ili kurejesha confidence kwa wawekezaji. Kwenye hili, time will tell, kama Nyerere na Sokoine walikuwa ni wakali ukweli ukweli, lakini walishindwa, hivyo kwenye hili la sheria kutekelezwa kwa retroactively, naowaomba mimi niwe mkweli bayana wa nafsi yangu, Mwalimu wangu Prof. Kabudi na wanasheria wake, waliotunga sheria hii kwa mtindo wa zimamoto, wamemdanganya rais Magufuli kwa kumtungia sheria yenye vipengele vya ajabu, halafu rais aka assent, then sheria hii itashindwa kutekelezwa, hivyo soon watapeleka marekebisho Bungeni na kumrudia rais a assent marekebisho hayo, na hili likitokea, naombeni hoja za bandiko hili zizingatiwe, Tanzania tutaonekana ni nchi ya ajabu, tunatunga sheria za ajabu kwa mbwembwe, tunazipitisha kwa mbwembwe, rais wetu ana zi assent kwa mbwembwe, lakini katika utekelezaji ndipo tunajikuta kumbe Bunge letu, na serikali yetu, iliyosheheni wanasheria manguli tena wengine ni waalimu wetu wa sheria wa chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam ambao sisi tulipokuwa wanafunzi tukisomea sheria, waalimu hawa ndio waliotufundisha kuwa sheria yoyote inayotungwa kama ita act retroactively is a bad law, it's illegal, lakini leo, waalimu hawa hawa ndio wamegeuka wanasiasa na wao sasa ndio hawa wametunga illegal law, wakaipitisha, wakampelekea rais akaisaini ianze kutumika, huku wanajua fika retroactively law is illegal law kwenye jumuiya ya Madola, lakini bado wamepitisha, sasa siku ya kurejea Bungeni kuyarekebisha haya madudu yao ya kisheria, hizi sura zao wataziweka wapi?.
  21. Kwenye hii IGA, serikali yetu imeingia makubaliano na Dubai, ambayo sio sovereign, kukitokea mgogoro wa kushitaki kimataifa, Tanzania tunaweza kushitakiwa kwa international instruments, kwasababu Tanzania ni member wa Geneva Convention, lakini kama DPW ndio watatukosea, Tanzania tutawashitaki wapi wakati Dubai sio member wa Geneva Convention, member kule ni UAE!. Kwenye ile IGA, hakuna popote UAE, imetoa Power of Attorney kwa Dubai!, hivyo Tanzania kama nchi, tumeingia mkataba na an entity which has no capacity to contract a treaty!. DPW wangesainiana tuu na TPA na kumalizana juu kwa juu!.

  22. Ile 2017 wakati tunapitisha sheria hii, mimi niliuliza humu humu kuwa Tanzania tutaweza?.
  23. Sasa nije kwa Bunge letu Tukufu, kwanye mikataba ya kimataifa, international treaties, the role of Bunge ni kuridhia tuu, yaani ratification, kui ratify ili kui domesticate kuwa sehemu ya sheria zetu.
  24. Hiki ndicho Bunge letu Tukufu limekifanya kwenye hii IGA!. Sasa uliita Bunge letu hili ni Bunge la vilaza, utakuwa unalionea?.
  25. Lilichofanya Bunge letu ni ku rubber stamp tuu hii IGA!, ukiliita Bunge letu Tukufu ni Bunge rubber stamp utakuwa unalionea?!.
  26. Kwa mujibu wa sheria hii, the role of Bunge sio ratification na ku rubber stamp, the role of Bunge ni ku revives na kutoa mapendekezo!.
  27. Kabla waheshimiwa wabunge wetu kujadili mkataba huu, sisi washauri wa bure tuliwashauri kabla!. Kwa vile walifanya kinyume, tuna haki ya kuwabalasa!.
  28. Hii sio mara ya kwanza kwa Bunge letu kupitisha vitu vya ajabu ajabu kitutusa!. Kwenye ule mgogoro wa CAG, Prof.Assad, Bunge letu lilipitisha Azimio batili, nikawaambia Azimio lile ni batili, Bunge wakakomaa wakapitisha kwa mbwembwe!.
  29. Baada ya kupitisha nikawaeleza kuwa ni lazima waipokee ripoti ya CAG wasipoipokea Bunge linavunjwa!.
  30. Ndipo lile Azimio lao batili wakaliondoa kimya kimya na wakaipokea Ripoti ya CAG kimya kimya!. Sasa Bunge la aina hii ukiliita Bunge full of vilazaz kwa lugha ya rafiki yangu Le Mutuz (RIP) Bunge la mbululaz!, tutakuwa tunawaonea waheshimiwa wabunge wetu?.
Hitimisho
Nimalizie kwa wanasheria wetu na wanasheria wenzangu. Prof. Shivji anasema hii IGA ina matatizo, TLS wanaainisha kabisa vifungu, halafu wewe mwanasheria kinda, unaibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo, with all illegality nilio ainisha hapa, bado unathubutu kuibuka na kusema hii IGA ni safi na haina matatizo?.

Leo nimeandika makala kwenye gazeti la Nipashe, kwa kutoa rai kwa serikali, kuzijibu kisheria hoja za kisheria na tuufunge huu mjadala

Uzalendo wa kweli ni nia ya dhati kuisaidia nchi yako, kumsaidia rais wako, kuisaidia serikali yako, unapona jambo halijakaa vizuri, unakosoa na kushauri the right thing to do. Mimi nimekosoa na pia nimeshauri kuwa hata kama hii IGA ni tunabakwa, Mwanamke mgumba akibakwa, akapata ujauzito, atampenda mbakaji! Wajua Kuna Ndoa Halali, Batili na Batilifu?. Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji?. Wajua Ubakaji unaweza kuwa Halali?. IGA Batili Yaweza kuzaa HGA Halali?.

Nimalizie kwa lile swali la msingi la bandiko hili kuwa hii IGA ya DPW imetusaidia sana Watanzania kujitambua!, kumbe tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu wa kutosha!, lakini at the same time, pia tuna wanasheria vilaza wa ajabu sana!. Swali ni Je Bunge letu nalo pia ni Bunge la ajabu? na Serikali yetu pia ni Serikali ya Ajabu?, hii IGA ya DPW ilipita pita vipi kote huko ikiwa na vipengele so defective bila kuwa noted?!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Narudia tena... Mdogo mdogo tu utarud kweny akili yako kama mwanzo!!! NB; Unguli wa sheria ndan ya mfumo hauna tija, kikubwa ni namna gan upate madili tu!!!
 
Pascal wewe hueleweki. Mimi huwa sikuamini! Ukiitwa kuteuliwa huwezi kuwa na msimamo......umesaka kuteuliwa muda mrefu. Kama ukatili wa magufuli wooote uliuunga mkono, hupashwi kuaminiwa. SAWA NA DR SLAA, SIWEZI KUMWAMINI KATU! HANA ANALOLISIMAMIA NI TUMBO. ANAPIGA KELEL SASA AKIPEWA UBALOZI ANGEUKA , MSIMWAMINI
Kaweka hoja mezani

Succinctly…. Changia hoja Acha kuhangaika na teuzi

Unafiki utakuua
 
binafsi nimegundua viongozi wetu ni Vilaza waliotukuka sana , ndio maana nchi ina mkwamo wa maendeleo sababu kubwa tumeongozwa na watu wenye uwezo mdogo kiakili miaka mingi tu toka uhuru,
Harafu mbeleni, utasikia mtu kama Nape anachukua fomu za kugombea urais, na akapewa. any way ni haki yake au mfumo ni ovyo. ila akiteuliwa mtu kama ampendae mleta mada kule kisiwani Mwinyi aje kurithi kiti cha sa100, harafu Mwinyi akamteua Nape awe mgombea mwenza! Haya mie nayaona yaweza tokea
 
Sametimes kumbe akili huwa zinakurudia!
 
Watanzagiza mtakuja kufanikiwa siku mkiondokana na msemo
“raisi anadanganywa …”
raisi yoyote wa Tanzania hadanganywi hata siku moja huo msemo mnamsafisha moja kwa moja mhusika mkuu na kumpa go ahead ya kuzidi kuwadharau na kuwakebehi na kuwadhalilisha …
 
Back
Top Bottom