Igizo fupi la wananchi uuzwaji wa bandari kwa DP World

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.

Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
 
Wananchi pigeni kelele weeeee lakini wanaowawakilisha washapitisha kilichobaki ni utekelezaji tu muda ukifika
 
Na
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Na kweli abinafsishe Urais wake,ahaaaaaa
 
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.
Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Safi sana

Huu ujumbe umfikie yule mmakunduchi pamoja na serikali, chama na bunge.

Wanachi watanganyika wamekasirika 'wanahasira', na hawaogopi.

Na vyombo vya dola 'polisi na nk.' visiingie katika mtego kwa lengo la kutaka kumlinda mmakunduchi na kuzima sauti za wananchi - vitajikuta vinapambana na raia, mwisho tunageuka kama nchi flani ambako dola linapigana 'vita' na raia.
 
Aaaahaaaaa,katika vyote nimwcheka tu hapo,eti aubinafsishe Urais wake
 
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.
Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Dah hawa wanyakyusa wamenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyakyusa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Halafu anatokea watu anawaponda wakati wemejitoa muhanga

Sema huyo aliyecheza character ya BiMkubwa amenichekesha anavyochukua hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tz yangu Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shallom Tanzania [emoji1241]
RIP Magufuli,Licha ya madhaifu yake ila angwkuwepo asingetufikisha hapa tulipofika sasa.
 
Samia watanganyika wamekukataa, hawakuamini tena, sasa pokea ujumbe toka kwao kwa kila njia.
Video ni tamu mno, inatuma ujumbe mwingi sana kwa mtu mwenye uwezo wa kuchambua

Uwepo wa waagizaji wanawake ni ishara kwamba hata wanawake hawamuungi mkono

Waigizaji kuwa vijana nayo ni ishara kuwa vijana ndio kundi la kwanza lisilopenda upuuzi wa mtawala
 
Wananchi pigeni kelele weeeee lakini wanaowawakilisha washapitisha kilichobaki ni utekelezaji tu muda ukifika
Watu wenyewe ndugu zake Heche, akili wazitoe wapi kuendeleza mkoa wao tu wameshindwa iko haja ya kuwauza Kenya huko, wako busy kurogana tu kuuwana kwa mapanga wakifumaniana.
 
Poor script.

Bado mtu nisiye na ABC za huu mkataba siwezi pata picha kupitia hili igizo
 
Dah hawa wanyakyusa wamenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyakyusa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Halafu anatokea watu anawaponda wakati wemejitoa muhanga

Sema huyo aliyecheza character ya BiMkubwa amenichekesha anavyochukua hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tz yangu Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shallom Tanzania [emoji1241]
RIP Magufuli,Licha ya madhaifu yake ila angwkuwepo asingetufikisha hapa tulipofika sasa.
Aahaaaaa,ni noma,huyo mama anayekuja mwishoni ametisha sana
 
Video ni tamu mno, inatuma ujumbe mwingi sana kwa mtu mwenye uwezo wa kuchambua

Uwepo wa waagizaji wanawake ni ishara kwamba hata wanawake hawamuungi mkono

Waigizaji kuwa vijana nayo ni ishara kuwa vijana ndio kundi la kwanza lisilopenda upuuzi wa mtawala
Amefanya kosa litakalo muachia doa lisilofutika mpaka aingie kaburini.
 
Video ni tamu mno, inatuma ujumbe mwingi sana kwa mtu mwenye uwezo wa kuchambua

Uwepo wa waagizaji wanawake ni ishara kwamba hata wanawake hawamuungi mkono

Waigizaji kuwa vijana nayo ni ishara kuwa vijana ndio kundi la kwanza lisilopenda upuuzi wa mtawala
We bwege ee?!!!🤣🤣🤣

Watu wanalia siku nzima misibani baada ya kukipwa itakuwa kuigiza hako kaigizo!!!!!! Wataachaje kuigiza ikiwa kilo kadhaa za mchele zimepelekwa nyumbani?!!!

Isitoshe, kwani chadema hakuna wanawake au vijana?!!!! Lini waliwahi kumuunga mkono?!!!
 
Mtamaliza nyimbo zote!
Mtaigiza maigizo yote!
Mtamaliza matusi yooote..........mama ataendelea kupiga kazi kwa ajili ya taifa lake pendwa la Tanzania kama ilivyopangwa!
 
Back
Top Bottom