Igizo fupi la wananchi uuzwaji wa bandari kwa DP World

Igizo fupi la wananchi uuzwaji wa bandari kwa DP World

Wanyakyusa wabishi sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.

Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
KANU ILIANZA KIFO CHAKE KAMA CCM ILIVYOANZA KUUZA KILA KITU.
 
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.

Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtamaliza nyimbo zote!
Mtaigiza maigizo yote!
Mtamaliza matusi yooote..........mama ataendelea kupiga kazi kwa ajili ya taifa lake pendwa la Tanzania kama ilivyopangwa!
Unaikumbuka OIC?

Enzi ya Yule mzee wa awamu ya Pili?

Kelele zilipigwa na tuliondoka huko sasa kelele hizi tutaondaka ccm hadi Muungano.

Trust me!!
 
Unaikumbuka OIC?

Enzi ya Yule mzee wa awamu ya Pili?

Kelele zilipigwa na tuliondoka huko sasa kelele hizi tutaondaka ccm hadi Muungano.

Trust me!!
Oh, kumbe shida yenu ndipo ilipo 'hapo'?!!!! Mnaficha nini sasa?!!!! Safari hii ni tofauti........na ikiwa hivyo basi waondoke wooote!
 
Safi sana, aondoke aende kwa wajomba zake, na kile kiti chake Ikulu akibinafsishe ili kuongeza ufanisi pale ikulu, maana kwa akili zao ni kwamba wakishindwa kusimamia kitu badala ya kumpisha mwingine mwenye uwezo wao wanagawa bure kama zawadi milele kwa wajomba. Kwanini wasingeingia tu mkataba wa uwekezaji kama wa TICTS badala ya kugwa bure milele?
 
Kama tumeshafika huku basi safari si ndefu sana
 
Nachosema mimi tazama makundi mawili yanayokinzana utaona kuna dini mbili hutaki basi
It's not our interest. Mm naona kundi linalohoji madhaifu ya mkataba Kwa point of laws na kundi lingine likisifia mkataba Kwa hoja za maneno yasiyo na legal references na ndio ambalo linafikia kuongelea udini, jinsia nk huku mambo hayo hayapo ktk karatasi tulizo sainishwa na DP WORLD. Nakushauri nawe jikite ktk vipengele vya mkataba husika ktk kutoa opinions zako.
 
Back
Top Bottom