Igizo fupi la wananchi uuzwaji wa bandari kwa DP World

View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.

Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Wanaakili sana hawa watu.

Aondoke yeye aje PUTIN.

nchi hii..
 
Bandari Day 22 July
 
Attachments

  • IMG-20230716-WA0843.jpg
    IMG-20230716-WA0843.jpg
    247.4 KB · Views: 2
Hamna hoja mmebakia kuunda unda vitu vya hovyo kupotosha umma.

#Mama yupo kazini kwaajili ya MAENDELEO YA TANZANIA.
 
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.

Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Sasa hayo majinga hata yanajua chochote zaidi ya kuwa wanatumiwa na wakwamishaji wa mipango mizuri ya maendeleo yanayoletwa na Raisetu. Hata hivyo wameshashindwa kilichobaki ni utekelezaji tu. hao wapumbavu wasubiri matokeo ili waje kuona aibu
 
View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.

Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.

Kula chuma hicho.

My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
@NALIA NGWENA muige okw .....Ni mtu. Was michezo Ila pia anafatilia Jambo la msingi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom