OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mtoto wa Mama mdogo analeta majangaWakuu uzi wangu ulindwe dhidi ya maharamia
Na kweli abinafsishe Urais wake,ahaaaaaaView attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.
Kula chuma hicho.
My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Safi sanaView attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.
Kula chuma hicho.
My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Aaaahaaaaa,katika vyote nimwcheka tu hapo,eti aubinafsishe Urais wakeSafi sana
Huu ujumbe umfikie yule mmakunduchi pamoja na serikali, chama na bunge.
Wanachi watanganyika wamekasirika 'wanahasira', na hawaogopi.
Na vyombo vya dola 'polisi na nk.' visiingie katika mtego kwa lengo la kutaka kumlinda mmakunduchi na kuzima sauti za wananchi - vitajikuta vinapambana na raia, mwisho tunageuka kama nchi flani ambako dola linapigana 'vita' na raia.
Dah hawa wanyakyusa wamenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2689428
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.
Kula chuma hicho.
My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Video ni tamu mno, inatuma ujumbe mwingi sana kwa mtu mwenye uwezo wa kuchambuaSamia watanganyika wamekukataa, hawakuamini tena, sasa pokea ujumbe toka kwao kwa kila njia.
Watu wenyewe ndugu zake Heche, akili wazitoe wapi kuendeleza mkoa wao tu wameshindwa iko haja ya kuwauza Kenya huko, wako busy kurogana tu kuuwana kwa mapanga wakifumaniana.Wananchi pigeni kelele weeeee lakini wanaowawakilisha washapitisha kilichobaki ni utekelezaji tu muda ukifika
Aahaaaaa,ni noma,huyo mama anayekuja mwishoni ametisha sanaDah hawa wanyakyusa wamenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyakyusa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Halafu anatokea watu anawaponda wakati wemejitoa muhanga
Sema huyo aliyecheza character ya BiMkubwa amenichekesha anavyochukua hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tz yangu Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shallom Tanzania [emoji1241]
RIP Magufuli,Licha ya madhaifu yake ila angwkuwepo asingetufikisha hapa tulipofika sasa.
Amefanya kosa litakalo muachia doa lisilofutika mpaka aingie kaburini.Video ni tamu mno, inatuma ujumbe mwingi sana kwa mtu mwenye uwezo wa kuchambua
Uwepo wa waagizaji wanawake ni ishara kwamba hata wanawake hawamuungi mkono
Waigizaji kuwa vijana nayo ni ishara kuwa vijana ndio kundi la kwanza lisilopenda upuuzi wa mtawala
We bwege ee?!!!🤣🤣🤣Video ni tamu mno, inatuma ujumbe mwingi sana kwa mtu mwenye uwezo wa kuchambua
Uwepo wa waagizaji wanawake ni ishara kwamba hata wanawake hawamuungi mkono
Waigizaji kuwa vijana nayo ni ishara kuwa vijana ndio kundi la kwanza lisilopenda upuuzi wa mtawala