Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,324
Reaction score
13,967
Wakuu,

Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu fulani au kutoona content kutoka forum fulani au contents za thread fulani tu.

Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo.

ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote https://www.jamiiforums.com/account/ignored

MFANO katika PICHA:

Ukitaka kutoona mada za mdau fulani (kumradhi USSR nimekutumia kwa mfano), basi bonyeza jina lake utaona option ya IGNORE - bonyeza hapo.



Ukitembelea profile yako, eneo la IGNORE list utaona hivi:



Kama unataka kutoona contents za forum fulani, unaenda kwenye forum husika na utaona kuna hiyo button ya IGNORE; bonyeza na utaona hivi:





Aidha, unaweza kuchagua ku-IGNORE thread moja moja badala ya forum nzima ili uweze kupata kile kitu unataka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…