Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Wewe jamaa sio ndio ulileta Conversation za pm uliyotolewa maneno ya hovyo baada ya kutaka kuharibu uzi wa member mmoja nimemsahau jina akitaka ushauri wa watoto alioasili? Bado unaona umestarrabika na wewe?
Kwanza sikujua kama ni marufuku kuleta convo za pm, nishawahi kwenda pm mara mbili tu za yule mzee wa Switzerland. Nilijua si sawa kwenye uzi ule, kwahiyo unasema 'nilitaka kuharibu' uzi wake? Uzi ulopita alidai kazalisha wanawake watano na hana mpango nao, uzi ulofata akadai kaasili watoto wawili na hajaoa.
 
Wewe nini ilikuwa mbaya kwako pale? Mkuu kwenye hizi ID fake usitake kuwa unagombana na keyboard Kama jambo halikuhusu na halina madhara kwako na kwa wengine achana nalo ....huo ndio ustarabu

Uanaume sio ndevu tu na kojeleo mkuu
 
Soma hapa: Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums utabaini kuwa kuleta maongezi ya faragha hadharani ni kosa kubwa
 
Nje ya mada: Natazamia huko mbeleni pawe na special forum for verified users only. Nitaianzishia thread kuchanganua faida zake.

Hiyo ni idea nzuri ila nikifikiria kuhusu Forums kama za Premium Members na Great Thinkers zilivyokuwa zamani na sasa jinsi zilivyo sasa (Kama bado zipo / ipo) kudumu kwake hiyo forum itakuwa na changamoto sana

Maxence Melo access ya kwenye jukwaa la Great Thinker nilishaomba ila mpaka leo kimya

Tupatiwe taarifa tukiwa ignored tafadhali ili tujue kabisa.

Maxence Melo mtu atajua kuwa ID fulani imemuweka kwenye ignored list?
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuwatembezea rungu la ignore list MATAGA wote.
Jf haiwez kunoga wapuuzi kama hao wote ukiwa ignore

Kuna mtu anaitwa magonjwamtambuka anamajibu ya kimagonjwamagonjwa ila sitamani kumuignore

Nikili wazi kina memba humu ISIS (kila muda unakutana na neno wallah) NA MWENZAKE JAMBAZI NILIWA IGNORE WALIKUA WAMEZIDI UJINGA ILA BAADAE NIKA WA UNIGNORE KWASABABJ WOTE WALIISOMA NAMBA KUTOKA KWA YULEYULE WALIYEKUWA WANAMSIFIA
 
Wewe nini ilikuwa mbaya kwako pale? Mkuu kwenye hizi ID fake usitake kuwa unagombana na keyboard Kama jambo halikuhusu na halina madhara kwako na kwa wengine achana nalo ....huo ndio ustarabu

Uanaume sio ndevu tu na kojeleo mkuu
Kwani mimi nakuhusu nini, nina madhara gani kwako, kwanini unanilazimisha niachane na jambo lake? Ungekuwa unaishi ulichokiandika usingeniandikia hivi. Ni kwamba huwezi mind your own business katika mada za JF kwakuwa zipo tujadiliane, ndo maana hakuna thread unayoweza zuia comments.

Unaona jinsi ulivyorejea comments zangu mada ile... Rudia kusoma ulichoandika uone ulivyoshindwa kukitimiza.
 
Back
Top Bottom