Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Kwani mimi nakuhusu nini, nina madhara gani kwako, kwanini unanilazimisha niachane na jambo lake? Ungekuwa unaishi ulichokiandika usingeniandikia hivi. Ni kwamba huwezi mind your own business katika mada za JF kwakuwa zipo tujadiliane, ndo maana hakuna thread unayoweza zuia comments.

Unaona jinsi ulivyorejea comments zangu mada ile... Rudia kusoma ulichoandika uone ulivyoshindwa kukitimiza.

Punguza kinyongo mkuu...mie mwenyewe humu nilijua mtu akitoa thread huwa kweli kumbe kuna wengine furahisha genge! Lol...take easy!
 
Unaweza jaribu [emoji4]
Brother Maxence japo nje ya mada ila ombi langu ni kuwa imefikia wakati sasa muanzishe jukwaa la mambo ya Ujenzi na masuala yanayohusiana na vitu hivyo, sababu hii sekta ni pana sana kuichanganya kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko ni kuleta mkanganyiko. Asante sana na natumai ombi letu litashughulikiwa
 
Anyway, ni jambo Zuri kwani kuna watu wanaandika upuuzi kila mara.

Changamoto yake ni kwamba unaweza ku block watu wote ukabaki mwenyewe kama mfalme, lakini kumbe pia watu wote pia wameku block, kwa hiyo kila mmoja anabaki anajiona peke yake tu😀😀😀😀😀😀😀
 
Kuna mmoja wa Lumumba naanza kulipiga block

Acha kua na muoga..
Muntu jasiri hafanyi hayo.. raha ni kutobuloki watu.. ukibuloki hiyo ni kuonyesha udhaifu mkubwa na mengine mengi uliyonayo wewe nyuma ya kudonoa humu..

Eeeeeeh
Oktoba ipo karibu acha uoga.. uoga ni kuwa pia huna ubavu bali porojo tu. eeeeeh.. msibuloki watu.. hata hamuwafahamu munaogopa.. sasa hao viongozi wenu si ndio mnawafata walivyo nao.. eeeeh
 
Mie nahisi naongoza humu
Mkuu hicho kitufe kilikuwepo siku za nyuma, for some reasons akina Melo wakakiondoa. Leo naingia tu ni dk 3 Max ka-post. Haraka sana nika activate list yangu ambayo ni ndefu sana.

ninaendelea kuifanyia kazi kabla Max hajabadili mawazo. Nishafikia 27 hadi Jtatu nitakuwa pazuri tu.
 
Asante kwa maboresho hayo, pia ningependa kuona kama:
1. Mtu akini-ignore nipate notification kwamba " Wangari Maathai has ignored you".😎
2. Kwa vile kuna button za like, love, nk basi tuwekewe ile ya dislike, kama sikubaliani na mchango wa mtu nionyeshe hisia zangu kwa dislike👊

Vinginevyo hongereni sana kwa hili jukwaa maridhawa kabisa.
 
Haupo kwenye ban, kuhusu ku upload video suala hilo linaangaliwa
Naomba mlitazame na mnipe briefing..

Najua zamani video zilikuwa shida sababu ya server..Ila now naamini sio tatizo.
Na dunia inazidi kwenda kwenye video sharing
Kuliko text.. JF naomba iende na wakati
YouTube .tick tock na other apps lazima JF
Iweze kwenda na wakati
 
Back
Top Bottom