Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ndo hivyo tu yaani [emoji17]
Nilikua nafanya tuu mfano kama alivyofanya mwalimu

Samahani Bia yetu naheshimu sana mawazo yako
Siwezi kukuignore

Screenshot_20200531-003811.jpg
 
Mngeweka nikiignore mtu, yeye azione mishe zangu zote hapa jf, ila mimi tu ndiyo nisizione zake! (jaribu kuelewa).
Nasema hivyo sababu najua member wengine ni wanoko hasa wenye id za kike!
 
Nilipigwa ban ya wiki kwa sababu ya member mmoja anayeonekana mungu-mtu humu JF. Jamaa ni mweupe kichwani halafu ana kauli mbaya. Naanza na huyo, nafatisha na watu kibao waongo na wenye matusi.

Kuna watu wanakera lakini tunaishi nao, mtu kama Bia yetu sikubaliani nae kabisa lakini sijawahi ona anatoa lugha chafu hata umkosee vipi.
 
Nilipigwa ban ya wiki kwa sababu ya member mmoja anayeonekana mungu-mtu humu JF. Jamaa ni mweupe kichwani afu ana kauli mbaya. Naanza na huyo, nafatisha na watu kibao waongo na wenye matusi.
Kuna watu wanakera lakini tunaishi nao, mtu kama Bia yetu sikubaliani nae kabisa lakini sijawahi ona anatoa lugha chafu ata umkosee vipi.
Wewe jamaa sio ndio ulileta Conversation za pm uliyotolewa maneno ya hovyo baada ya kutaka kuharibu uzi wa member mmoja nimemsahau jina akitaka ushauri wa watoto alioasili? Bado unaona umestarrabika na wewe?
 
Nimejikuta nacheka tu. Kuna watu wamepaniwa sana [emoji23]

Btw, ni maboresho mazuri na yenye tija. Itasaidia sana kuchuja new posts kutoka kwenye forums ambazo mtu hana interest nazo.

Nje ya mada: Natazamia huko mbeleni pawe na special forum for verified users only. Nitaianzishia thread kuchanganua faida zake.
 
Back
Top Bottom