Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Kama unajitoa ufahamu muda wote
Kuwa ignored hakuepukiki
 
Daah sijui kwanini huwa sipendi kublock wala kuignore mtu yeyote kwenye mtandao wowote wa kijamii. Wanaonikwaza huwa naamua kuishi nao hivyo hivyo tu kibishibishi.
 
Akina kivuruge hawana Raha. Nimechagua kutomuignore mtu Kwani unaweza kufanya hivyo kumbe kiumbe huyo ana kasoro. Mfano mdogo ni ushabiki dhidi ya Corona, ukipewa taarifa kila siku maabara ya Taifa zinaingia sample ngapi utashangaa , ngoja tunyamaze majuha waendee kushabikia uongo.
 
Huu ujumbe murua wahuni wa upinzani wanaupita kama hawauoni

Ni ajabu wanashangilia kuwablock watu, uoga tu

Basi bakini peke yenu tuone mtafika wapi
 
Wale jamaa wanaboa sana.
Kitu akifanya mwanaCCM hata kama ametukana au amemnajisi mtu wataunga mkono na kukisifia
Wewe ulikemea sugu alipoonyesha dole la kati bungeni?
 
Ni ubunifu mzuri lakini kwa upande wa siasa si mzuri. Hii maana yake wale wasiotaka hoja za upande mwingine watakuwa wanapigana makufuli na mwisho itaua msisimko wa mijadala. Raha ya mjadala wowote ni uhakika wa kupata hoja kinzani au mawazo tofauti hata kama huyapendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…