Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Siwezi kupingana na hii cos the world is full of chaosNdo plot hiyo mkuu... Yaani inawezekana imetengenezwa scene ambayo itakufanya usiamini kwamba ni assassination plot.
Nakazia uchunguzi ufanyike
Aliyefanya hayo mauaji ni very professional... Huyo kacheza na akili za wapelelezi wetu ili wasije muwekea mashaka..Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula au la
Si nimeona humu thread imeandikwa polisi wamethibitisha uhusiano kati ya katibu na monica?afu gafla ikatoweka ile thread sijui imekuajeKama Kweli Monika alitembea na Huyo Jamaa, Jamaa Kauawa na
Kama Kweli Monika hakutembea na huyo Jamaa, Jamaa Kauawa pia.
Polisi Uchunguzi Uanze Kuhakikisha Madai Ya Marehemu kutembea na Mke wa Masanja. Mke wa Masanja atamke hadharani kuwa aliliwa au hakuliwa na Katibu na lini na Kwa sababu Gani waliachana.
Mimi Kirchhoff pia sitaki lipite hivi hivi.
Si nimeona humu thread imeandikwa polisi wamethibitisha uhusiano kati ya katibu na monica?afu gafla ikatoweka ile thread sijui imekuaje
Kama Kweli Monika alitembea na Huyo Jamaa, Jamaa Kauawa na
Kama Kweli Monika hakutembea na huyo Jamaa, Jamaa Kauawa pia.
Polisi Uchunguzi Uanze Kuhakikisha Madai Ya Marehemu kutembea na Mke wa Masanja. Mke wa Masanja atamke hadharani kuwa aliliwa au hakuliwa na Katibu na lini na Kwa sababu Gani waliachana.
Mimi Kirchhoff pia sitaki lipite hivi hivi.
Naona baada ya tukio hili umaarufu wa masanja utaongezeka maradufu na waaumin kujaa kanisani kwake.
Atakuwa ana hela kuwazidi na kama siyo hela, basi atakuwa ana kitu kingine cha pekee ambacho walio wengi hawana na hivyo anawzidi. Hajawahi kuwa jambazi na wala sijawahi kumsikia akitukana watu
Kumb kuna barua na hamsemi?? Watu mna siri sana.Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Hiyo habari inachanganya na pia sijapata majibu sahihi muda ndio rafiki wa kila kitu wacha niendelee kusubiri ntapata majibu sahihi...ila mwanzo nimeona kama maigizo fulani ambayo yana majibu yaliyofunikwa hayahitaji kazi ndogo kupata majibu...
Moja wapo ya kanuni ya free masons,"Usiue kama huna sababu ya kuua" Ila iwapo una sababu,unaruhusiwa kuua.
NaamMimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.
Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.
Something is wrong somewhere.
...Ngumu Sana Mtoto wa Kuume Kujiua Kwa Ajili ya Mke wa Mtu... Pamoja na Ujinga Wao!!![emoji848][emoji848][emoji848]Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.
Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.
Something is wrong somewhere.
...Ni Mbezi Gani, Mkuu??figganigga nakupigia
...Kuna Uwezeka Barua imeandikwa na Muuaji ili kukwepa Mkono wa Sheria!!Kifo cha yule dogo kimekaa kimkakati! Nimepitia page ya dogo sioni uwezekano wa kujiua kwasababu za kizembe vile.
Alafu inasemekana ujumbe alituma kwa mama yake, marafiki zake kabla hajajiondoa na ukisoma ujumbe wenyewe sioni kabisa uwezekano wa kuandikwa na yule dogo.
Polisi wafatilie kwa undani, kuna jambo halijakaa sawa kabisa! Isijekuwa dogo kaondoshwa sababu nyingine nje ya mapenzi ikiwemo biashara haramu.