IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Kama kweli ilikuwa planned kwenye case kama hii, watu Huwa wanawekeza uwezo wao wa juu zaidi kwenye akili zao, ilikuwa rahisi mno kumchafua yoyote just kuficha makorokoro. Akili mtu wangu
 

Hapo ndo unapokosea. Mwanadamu hajawahi tabirika.
 
Kama kweli ilikuwa planned kwenye case kama hii, watu Huwa wanawekeza uwezo wao wa juu zaidi kwenye akili zao, ilikuwa rahisi mno kumchafua yoyote just kuficha makorokoro. Akili mtu wangu
Haya ngoja tuone mwisho wake.
 
Aiseeee !!!
 
Kweli kwaundani kabisa kabisa hili nalo liangaliwe dogo ameondoka mapema sana
 
Ndiyo ashajitundika,itapita hiyo
Masanj atateua katibu mwingine
Kwenye NGO yake,kazi zitaendelea

Ova
 
Makahaba hamuwaoni hadi mchezo na wake za watu wanaume wapumbavu waendelee kupungua tu duniani
 
Alivyopotezwa Ben Saanane ,Azory Gwanda na wengine wengi enzi za mwendakuzimu mngekuwa mmeshadadia hivi hakika ungekuwa imeshajulikana ni Nani walifanya uhuni ule
 
Bhamulaa....
 
Umeongea ukweli kabisa mkuu; hili jeshi la polisi la CCM (poliCCM) linataka kutuletea hekaya za Abunwasi wakati maisha ya ndugu zetu yakiteketea bila huruma. Maelezo yaliyotolewa na poliCCM kuhusu kifo cha katibu is a disgrace. Inawezekanaje hawa washenzy warahisishe kifo cha ndugu yetu kiasi hiki? Inauma sana.
 
Polisi ipi? Hii hii ya akina nani hawa!
Of course with a very simple logic huyu kijana atakuwa 'amekomitwisha' suicide kuficha ushahidi. Katibu wa Kanisa? Na inaonekana ni best friend wa Masanja, tajiri mwenye Kanisa.
Kwa Nchi ilivyo sasa, siyo rahisi kihivyo polisi kuifanyia uchunguzi wa kina. Masanja ana pesa, na, palipo udhia wewe weka rupia tu. It's very sad indeed.
Kwa Nchi za wenzetu kesi kama hizi Polisi huzichunguza hadi mambo yanawekwa bayana na Jeshi linajijengea jina, kuaminika, na, umaarufu; lakini hapa kwetu, mmh! Masanja atakamuliwa hadi lote almradi watu wajenge maghorofa na kununua magari ya kifahari.
 
Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula au la
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Sasa nyie mbona mnajijibu wenyewe!

Si amechafua mke ili msiamini kwamba ni yeye, yaani mimi namchafua mke wangu, ili muamini kwamba kama ni mimi nisingemchafua, nadhani nimeeleweka.
 
Acha dharau basi jamaa, "polisi ya akina nani hawa!"?
 
Bado nasisitiza Polisi kawe ahamishwe na uchunguzi ufanyike
Kituo kidogo kama Kawe hakiwezi kufukia kesi iliyovuta hisia za wengi kiasi kile maana vyombo vingi vinachunguza. Hili linaweza kuja kurudi kwa sura nyingine in future!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…