Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mbona ipo wazi.Kumb kuna barua na hamsemi?? Watu mna siri sana.
😃😃😃
Hujambo rafiki??
Sijambo rafiki. Umepotea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ipo wazi.Kumb kuna barua na hamsemi?? Watu mna siri sana.
😃😃😃
Hujambo rafiki??
Kama kweli ilikuwa planned kwenye case kama hii, watu Huwa wanawekeza uwezo wao wa juu zaidi kwenye akili zao, ilikuwa rahisi mno kumchafua yoyote just kuficha makorokoro. Akili mtu wanguTuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.
Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.
Something is wrong somewhere.
Haya ngoja tuone mwisho wake.Kama kweli ilikuwa planned kwenye case kama hii, watu Huwa wanawekeza uwezo wao wa juu zaidi kwenye akili zao, ilikuwa rahisi mno kumchafua yoyote just kuficha makorokoro. Akili mtu wangu
Mishe nyingi rafiki. We are moving!Mbona ipo wazi.
Sijambo rafiki. Umepotea.
Aiseeee !!!Salaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.
Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.
Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?
Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?
Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Pusi ni pusi mkuu [emoji1787]Makahaba hamuwaoni hadi mchezo na wake za watu wanaume wapumbavu waendelee kupungua tu duniani
Bhamulaa....Salaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.
Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.
Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?
Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?
Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Yaani hapo ndio utachokaMtu amfagilia mke wake tuamchukia?
Ha haa tumelogwa
Umeongea ukweli kabisa mkuu; hili jeshi la polisi la CCM (poliCCM) linataka kutuletea hekaya za Abunwasi wakati maisha ya ndugu zetu yakiteketea bila huruma. Maelezo yaliyotolewa na poliCCM kuhusu kifo cha katibu is a disgrace. Inawezekanaje hawa washenzy warahisishe kifo cha ndugu yetu kiasi hiki? Inauma sana.Salaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.
Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.
Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?
Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?
Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Polisi ipi? Hii hii ya akina nani hawa!Salaam Wakuu

Bado nasisitiza Polisi kawe ahamishwe na uchunguzi ufanyikeBarua ipo wapi jamani
Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula au la
Sasa nyie mbona mnajijibu wenyewe!Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Acha dharau basi jamaa, "polisi ya akina nani hawa!"?Polisi ipi? Hii hii ya akina nani hawa!
Of course with a very simple logic huyu kijana atakuwa 'amekomitwisha' suicide kuficha ushahidi. Katibu wa Kanisa? Na inaonekana ni best friend wa Masanja, tajiri mwenye Kanisa.
Kwa Nchi ilivyo sasa, siyo rahisi kihivyo polisi kuifanyia uchunguzi wa kina. Masanja ana pesa, na, palipo udhia wewe weka rupia tu. It's very sad indeed.
Kwa Nchi za wenzetu kesi kama hizi Polisi huzichunguza hadi mambo yanawekwa bayana na Jeshi linajijengea jina, kuaminika, na, umaarufu; lakini hapa kwetu, mmh! Masanja atakamuliwa hadi lote almradi watu wajenge maghorofa na kununua magari ya kifahari.
Kituo kidogo kama Kawe hakiwezi kufukia kesi iliyovuta hisia za wengi kiasi kile maana vyombo vingi vinachunguza. Hili linaweza kuja kurudi kwa sura nyingine in future!Bado nasisitiza Polisi kawe ahamishwe na uchunguzi ufanyike