IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Kwakweli hili suala la katibu jeshi la Polisi mmeshindwa kutenda haki kabisa

Mmeamua kumlinda masanja kwa kua kawapa mkwanja mrefu mkafunika kombe nyie mlaaniwe kabisa

Tanzania hatuna jeshi la polisi lenye weledi, ishu ndogo tu ya masanja na katibu wameshindwa kutenda haki wataweza nini

Yule kijana hakujiuwa kama tulivyoaminishwa kulikua na hila za shetani zilizofanywa na binadam kumtoa uhai ionekane kajiua

Mimi sijawahi kuona jeshi lisilo na haki kama hili jeshi la polisi hawa jamaa hawajui kutenda haki kabisa

Hivi ingewezekana vipi katibu azikwe tu bila uchunguzi bila kujuwa kama kweli alijiua kweli?Kwamba vipesa vya masanja ndo vimewafunga mkashindwa kutenda haki kwa wafiwa?

Tuna jeshi la polisi au tuna aibu ya taifa?Shame!!
 
dah wajomba hamtaki mada ipoe. ikianaza kusepa inarudishwa.. 😂😂😂 mtakaua kale kadada kwa pressure ya mtandao.
 
Hakuna ushahidi wa argument yako lakini pia ile sababu ya kujiua mwamba jeshi la police wamekuja na sababu ya kizembe sana.
 
Tumia neno Homicide hapo
 
Na hizi ndizo miongoni mwa tuzo za zina'a,hata vitabu vitukufu vinatuasa.
Iwe kauwawa na yeye mwenyewe au na watu wengine,kapata tuzo stahki.Tena kuna video zaonyesha aki ishamiri LIWATI,kama ndivyo kwanini tuumizwe na adui wa mwenyezi MUNGU?
 

angekuwa shekhe ndio akachunguzwa lakini mchungaji hachungizwi
 

ukiona msg zs azory au katiba mpya ujue manyumbu chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…