kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kwakweli hili suala la katibu jeshi la Polisi mmeshindwa kutenda haki kabisa
Mmeamua kumlinda masanja kwa kua kawapa mkwanja mrefu mkafunika kombe nyie mlaaniwe kabisa
Tanzania hatuna jeshi la polisi lenye weledi, ishu ndogo tu ya masanja na katibu wameshindwa kutenda haki wataweza nini
Yule kijana hakujiuwa kama tulivyoaminishwa kulikua na hila za shetani zilizofanywa na binadam kumtoa uhai ionekane kajiua
Mimi sijawahi kuona jeshi lisilo na haki kama hili jeshi la polisi hawa jamaa hawajui kutenda haki kabisa
Hivi ingewezekana vipi katibu azikwe tu bila uchunguzi bila kujuwa kama kweli alijiua kweli?Kwamba vipesa vya masanja ndo vimewafunga mkashindwa kutenda haki kwa wafiwa?
Tuna jeshi la polisi au tuna aibu ya taifa?Shame!!