IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Huwezi tenganisha ukurya na wizi wanaoiba ng'ombe huko ni kabila gani
 
Asanti IGP kwa kueleza ukweli bila kificho kuhusu utendaji wa Dr.Samia Suluhu Hassan,
well done
 
Nilikuwa na jamaa hapa nikamuonyesha hii heading kabla sijafungua video. Nikamwambia nafungua hii video huyu police akiyataja hayo mambo kwa orodha nakupa hii simu. Lazima atabaki tu kusema kuna mambo kayafanya rais lakini hawezi yataja. Tumefungua wote na hakutaja hayo mambo. Jamaa kacheka kishenzi na akaniuliza ulijuaje.
 
Alishalamba zaidi ya 1.5B, unafikiri atasema nini zaidi ya kusifu na kuabudu
 
Kweli amekopa deni ambalo lilipaswa kukopwa kwa miaka 50. Mkuu wa Jeshi la Polisi badala uongelee mambo ya usalama wa raia na mali unatumika kutudanganya mchana kweupe. Sema mme badhiri mali saana mpaka mnateteana.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mwizi mkubwa huyo jambazi kubwa
 
Kwa ujambazi huu alioufanya lazima kila kitu kiwe Mama, Mama, Mama tu. Majambazi wakubwa hawa




Your browser is not able to display this video.
 
Uchawa huu ndicho chanzo cha polisi kuteka na kuwaua wapinzani.
 
Hawa majambazi wako busy kung'ang'ania madarakani ili waendelee kuitafuna nchi. Bashite na MAFISI wenzake wana biashara gani ya kuwawezesha kununua viwanja vya mabilioni ya pesa? Mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi ni muhimu mno kwa sasa.

"Hii ni list ya mwezi April 2025 ya transfer viwanja vinavyotakiwa kubadilishwa majina kwa wamiliki wapya. Yani mtu akininua kiwanja, huwa ardhi wanafanya transfer za hati, so hii ni listi ya April ya watu walionunua viwanja na wakapeleka application ardhi ili wapewe hati za majina yao".

"Bashite kanunua viwanja vya karibia dola laki 4, yani mwezi wa 4 2025 Bashite katoa 1billion cash kununua viwanja tu. Msaidizi wa mama yule Waziri Salum yeye katoa $130,000 kununua viwanja".




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…