labda jamaa ana dawa duh😪😥Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo kabisa, ukiachana na cheo Cha uongo Cha Generali ambacho ni kimoja tu kwa CDF.
Mpaka Sasa ameshatapeli watu wengi lakini hachukuliwi hatua yeyote. Maana Mimi najua Generali wa JWTZ ni mmoja inakuaje wawepo majenerali wawili?. Pia huyu Generali anatumia jina la Waziri Mkuu kuibia watu Magari pale bandarini. JWTZ ingilieni kati raia wanalizwa, wasaidieni.
Ushahidi na vithibitisho ninavyo, Kama JWTZ watakuwa tayari nitawapa ushirikiano Wani PM. Nipo tayari kutoa ushirikiano.
Kwani kum-pm mtu unachukuliaje?Unaona ni kama kuingia mbinguni?Unaijua kazi ya kupeleleza/kulitaka jambo fiche?Yaani viongozi wa jeshi waku pm?
Subiria huyo General tapeli aku pm mkamalizane huko
ukute hao hao unaowaomba msaada ndio wanashirikiana , afrika kwasasa inaongozwa na majambaziHabari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo kabisa, ukiachana na cheo Cha uongo Cha Generali ambacho ni kimoja tu kwa CDF.
Mpaka Sasa ameshatapeli watu wengi lakini hachukuliwi hatua yeyote. Maana Mimi najua Generali wa JWTZ ni mmoja inakuaje wawepo majenerali wawili?. Pia huyu Generali anatumia jina la Waziri Mkuu kuibia watu Magari pale bandarini. JWTZ ingilieni kati raia wanalizwa, wasaidieni.
Ushahidi na vithibitisho ninavyo, Kama JWTZ watakuwa tayari nitawapa ushirikiano Wani PM. Nipo tayari kutoa ushirikiano.
Jf ni jukwaa wazi, haikuwa na haja ya kuanzisha uzi bila kutoa ka ushahidi kadogo.Kwani kum-pm mtu unachukuliaje?Unaona ni kama kuingia mbinguni?Unaijua kazi ya kupeleleza/kulitaka jambo fiche?
Ukipenda kitonga mjini lazima utapeliwe kilaini pia.Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo kabisa, ukiachana na cheo Cha uongo Cha Generali ambacho ni kimoja tu kwa CDF.
Mpaka Sasa ameshatapeli watu wengi lakini hachukuliwi hatua yeyote. Maana Mimi najua Generali wa JWTZ ni mmoja inakuaje wawepo majenerali wawili?. Pia huyu Generali anatumia jina la Waziri Mkuu kuibia watu Magari pale bandarini. JWTZ ingilieni kati raia wanalizwa, wasaidieni.
Ushahidi na vithibitisho ninavyo, Kama JWTZ watakuwa tayari nitawapa ushirikiano Wani PM. Nipo tayari kutoa ushirikiano.
Tapeli sio mwizi,ni mtu mwenye akili anayetumia wajinga kuishi.Kazi ya polisi hiyo, wanawalea sana matapeli na kula nao. Acha tuanze kuwatia viberiti wenyewe.