DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duh ndio yule mchungaji dodoma,kapigwa tukio
Bora umeandika hii comment. Huyu mchungaji wa Dodoma kuna madudu atakuwa anafanya. Na hapa kuna mambo yanayomkaanga mchungaji hayajaandikwa. Mojawapo ni kutaka kutoa mzigo bandarini kwa njia ya mkato, ndipo akakutana na tapeli huyu wa kihaya.
 
Chanzo au kiini hasa cha makubaliano kilichopelekea kutuma miamala ya fedha kam hiyo hasa ni Nini?

Chanzo kilianzia ujenzi wa nyumba kupitia Kampuni ya One 2 One Focus Limited. Kupitia hiyo kampuni ndipo alipopata wahanga wake. Anapeleleza wateja wa hiyo kampuni kazi wanazofanya na jinsi ya kuwaingia Kwa kutumia uongo au udhaifu wa mtu.
 
Hao wanaotapeliwa nao wapuuzi tu....yaani miamala mpaaka inafika kumi na zaidi na bado jitu linatuma tuu...khaa aisee tumetofaufiana sana....

Kweli unamwambia mtu hai ni matapeli anakuambia nimeongea na Rais anajua suala langu. Kwa kweli nimegundua watanzania wengi ni wabovu kwenye kuchanganua mambo.
 
Watanzania wapuuzi sana!

Sasa Rais Mwinyi atake mumtumie hela kwenye simu kweli? Hivi Rais gani hiyo anataka umtumie hela kwenye simu???

Endeleeni kuibiwa wajinga nyie. Hao ni matapeli tu na wameona nyie wajinga ndo mana wanaendelea kuwapiga!
Na huyo mtumaji alikua anataka kupata favour gani mpaka atume pesa zote hizo! Yaani kabisa rais aombe hela kwa individuals!
 
Hahahah mhe. rais ana BOT akuombe wewe utume pesa kwa mpesa sijui jamani mbonabujinga huu..

Bora Mkuu wewe umesema , Kuna mtu mpaka Sasa kashatoa milioni mia mbili kakopa na kukopa ili tu kuwatumia fedha zake.
 
Hivi mtu kama mimi sina relation yeyote na raisi Mwinyi unaniombaje million 4. Kuna namna hilo kundi analolitapeli ni aina flani ya watu.

Mkuu ni aina ya watu ambao zero kichwani. Kuna mhanga mmoja amelipia pesa za matibabu karibia milioni mia , baadae wakamuinguza kingi atume pesa sehemu, alivyotuma tu wakajibadilisha kuwa mapolisi wakamtishia kwa kosa la utakatishaji fedha.
 
😂😂😂.ulikuwa unatuma ILI UPEWE NINI?.
ujue vitu vingine unaweza ukacheka kama mazuri.
 
Ndio shida ya banana republics hazina mfumo , hapo utakuta waliokuwa wanatuma ni kwa ajili ya "connection" za ajira.

Ukiona nchi ambayo hakuna kazi zinazotolewa kwa merit bali kujuana ndio matokeo yake tunaona kama ule mkataba wa DP World.

Kwani ni wangapi wako humo ikulu waliunganishwa tu kwa njia zisizo rasmi?
 
Ndugu mbona unadai kitu kinachohitaji uelewa wako mwenyewe? Ikulu ikanushe nini kwa jambo linahitaji akili yako kujua nani ni msaidizi wa Rais, anaonekanaje, majukumu yake nk.. pili ukituma pesa kwa motive ya kufanya jambo kupitia njia haramu "rushwa" na wewe ni mhalifu! haihitaji kudai ikulu ikanushe..nenda Polisi! hata hilo unataka ufundishwe? Polisi ndio watakusaidia nini cha kufanya..

Tulia Mkuu, hili jambo lipo hapa JF muda Sana. Search Generali Mwamwega utapona posts ni nyingi. Halafu hili suala limefika mpaka kwa RCO wa Temeke na wapelelezi wengine ila wanakimbia na kuwaacha wahanga wanahangaika.

Shida yangu ni kwamba Ikulu ikanushe ili Hawa wanaotapeliwa wasije wakawa wengi ikaja kuleta shida huko mbeleni na taarifa rasmi ya Ikulu ikitoka Sasa hao wanaotapeliwa wakiendelea kutapeliwa itakuwa kuu yao wenyewe.

Tumepiga kelele hapa kuanzia kwa IGP, RPC Dodoma.
 
Mleta mada, weka wazi, mhanga alikua anatuma hizo hela zote kwa ajili gani?

Cc: PCCB
 
Bora umeandika hii comment. Huyu mchungaji wa Dodoma kuna madudu atakuwa anafanya. Na hapa kuna mambo yanayomkaanga mchungaji hayajaandikwa. Mojawapo ni kutaka kutoa mzigo bandarini kwa njia ya mkato, ndipo akakutana na tapeli huyu wa kihaya.

Kumbe unamjua huyo tapeli wa kihaya?. Anaitwa Egron Rweyemamu Hana huruma kwenye kupiga pesa , na sijui huwa anawalisha Nini wahanga wake huwambii kitu wapo tayari kufa.
 
Na huyo mtumaji alikua anataka kupata favour gani mpaka atume pesa zote hizo! Yaani kabisa rais aombe hela kwa individuals!

Kuna nyuzi za nyuma zinaelezea jinsi walivyo muingia. Walianza Kama kuomba msaada wa matibabu, baadae wakaja na issue ya gari, Sasa hapo kwenye gari ndipo shida kubwa ilipoanzia mpaka Leo.
 
Wote "mazi ga nyanza" ( kwa sauti ya hayati baba wa taifa)

Wote ni wabovu kweli, ila kutumia jina jeshi na Ikulu au Rais ni sahihi?. Tukiona ni kawaida kutapeli kwa kutumia jina la Rais kesho yatatokea maafa tutashindwa kuyazuia.
 
😂😂😂.ulikuwa unatuma ILI UPEWE NINI?.
ujue vitu vingine unaweza ukacheka kama mazuri.

Sijatuma Mimi, Mimi ni whistleblower tangia mwezi wa Tano napigiwa kelele hili jambo na Sasa limekuwa.
 
Pamoja na kwamba waliotapeliwa ni wajinga, lakini bado serikali inapaswa kuingiliwa kati. Kuwa mjinga hakukufanyi usiwe raia wa JMT.

Asante great thinker hii comment ndio niliyokuwa naisubiria. Kuwa mjinga na mpumbavu haitoi uhalali wa kutumia jina la Rais Tena kwenye namba ya Simu kutapeli watu. Yani unasajili namba kwa jina Mwinyi Hassan ili kutapeli watu wakati jina lako ni Egron Rweyemamu.

Kuna mhanga mmoja hapo kashakuwa mwehu tayari yeye kila akiamka anawaza atakopa wapo pesa atume kwa hao watu.
 
Ndio shida ya banana republics hazina mfumo , hapo utakuta waliokuwa wanatuma ni kwa ajili ya "connection" za ajira.

Ukiona nchi ambayo hakuna kazi zinazotolewa kwa merit bali kujuana ndio matokeo yake tunaona kama ule mkataba wa DP World.

Kwani ni wangapi wako humo ikulu waliunganishwa tu kwa njia zisizo rasmi?

Yani hao matapeli wametengeza serikali yao. Wana IGP, Wana Waziri Mkuu , Wana Kamishna wa Ardhi. So ukiingia kingi tu watakuendesha mpaka siku ya kufa kwako. Kuna Mzee mmoja wamemshikilia mpaka Leo, wamemaliza Hana kitu.
 
Back
Top Bottom