Bora umeandika hii comment. Huyu mchungaji wa Dodoma kuna madudu atakuwa anafanya. Na hapa kuna mambo yanayomkaanga mchungaji hayajaandikwa. Mojawapo ni kutaka kutoa mzigo bandarini kwa njia ya mkato, ndipo akakutana na tapeli huyu wa kihaya.Duh ndio yule mchungaji dodoma,kapigwa tukio
Chanzo au kiini hasa cha makubaliano kilichopelekea kutuma miamala ya fedha kam hiyo hasa ni Nini?
Hao wanaotapeliwa nao wapuuzi tu....yaani miamala mpaaka inafika kumi na zaidi na bado jitu linatuma tuu...khaa aisee tumetofaufiana sana....
Na huyo mtumaji alikua anataka kupata favour gani mpaka atume pesa zote hizo! Yaani kabisa rais aombe hela kwa individuals!Watanzania wapuuzi sana!
Sasa Rais Mwinyi atake mumtumie hela kwenye simu kweli? Hivi Rais gani hiyo anataka umtumie hela kwenye simu???
Endeleeni kuibiwa wajinga nyie. Hao ni matapeli tu na wameona nyie wajinga ndo mana wanaendelea kuwapiga!
Wote "mazi ga nyanza" ( kwa sauti ya hayati baba wa taifa)Yaani mtu unatoa rushwa alafu unalalamika kuhusu uhalifu.
Hivi mtu kama mimi sina relation yeyote na raisi Mwinyi unaniombaje million 4. Kuna namna hilo kundi analolitapeli ni aina flani ya watu.
Ndugu mbona unadai kitu kinachohitaji uelewa wako mwenyewe? Ikulu ikanushe nini kwa jambo linahitaji akili yako kujua nani ni msaidizi wa Rais, anaonekanaje, majukumu yake nk.. pili ukituma pesa kwa motive ya kufanya jambo kupitia njia haramu "rushwa" na wewe ni mhalifu! haihitaji kudai ikulu ikanushe..nenda Polisi! hata hilo unataka ufundishwe? Polisi ndio watakusaidia nini cha kufanya..
Bora umeandika hii comment. Huyu mchungaji wa Dodoma kuna madudu atakuwa anafanya. Na hapa kuna mambo yanayomkaanga mchungaji hayajaandikwa. Mojawapo ni kutaka kutoa mzigo bandarini kwa njia ya mkato, ndipo akakutana na tapeli huyu wa kihaya.
Na huyo mtumaji alikua anataka kupata favour gani mpaka atume pesa zote hizo! Yaani kabisa rais aombe hela kwa individuals!
Wote "mazi ga nyanza" ( kwa sauti ya hayati baba wa taifa)
Pamoja na kwamba waliotapeliwa ni wajinga, lakini bado serikali inapaswa kuingiliwa kati. Kuwa mjinga hakukufanyi usiwe raia wa JMT.
Ndio shida ya banana republics hazina mfumo , hapo utakuta waliokuwa wanatuma ni kwa ajili ya "connection" za ajira.
Ukiona nchi ambayo hakuna kazi zinazotolewa kwa merit bali kujuana ndio matokeo yake tunaona kama ule mkataba wa DP World.
Kwani ni wangapi wako humo ikulu waliunganishwa tu kwa njia zisizo rasmi?