DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kiongozi mbona unaenda mbali sana huyo kamripoti kwa MP utakaye muona maana hiyo ndo kazi yao kudeal na wanajeshi wenzao MP watamshughulikia
 
Pole sana Mkuu!
Japo Magenerali wako Wengi Sana Jeshini ILA Chief ni Mmoja tu CDF..

Kinachotakiwa Nena pale NGOME wasilisha Ushahidi wako wapelekee MP (Millitary Police) au MIO (Millitary Intelligence Office) washughulike na Huyo jamaa hakatizi atakamwatwa..

Kama ushahidi wote unao na Unaamini unajitosheleza Nenda upeleke Ushaihidi huo..

Au Sehemu Nyingine unaweza kuwasilisha Ushahidi huo Kambi ya Twalipo Watakusaidia
 
Kutapelewa ni matokeo ya kushindwa kutumia akili vizuri, watu wanatapeliwa na watu kwa kutumia neno la mungu, wanatapeliwa na waganga wa kienyeji wanatapeliwa na wanasiasa. Hao matapeli mbona husemi wachukuliwe hatua au huyo anaetumia jina la jenerali ana nini mpaka ashughulikiwe na hao wengine wasishughuliwe.
 
Jf ni jukwaa wazi, haikuwa na haja ya kuanzisha uzi bila kutoa ka ushahidi kadogo.
Humu tumefichua mengi na yametatuliwa.

Pm hata wewe unaweza kumwendea kwa id yoyote na ukajifanya kiongozi
Niliwahi kuleta ushahidi JF wakautoa
 
JF hawataki niweke ushahidi. Nina ushahidi mwingi.
 
Majenerali wako wengi sio mmoja,wanapishana tu ngazi.

Lakini hakuna utaratibu huo jeshini wa kushikwa mkono na jenerali kutoka ofisi ya rais.
Huyo anajiita Generali Yani cheo baada ya Luteni Generali. Maana anadai mwaka Jana alikuwa Luteni Generali ila akapandishwa cheo kuwa Generali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…