Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Inashangaza sana kuona Samia anamuogopa Sirro hadi anamtunishia misuli jukwaani namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajaribu kukosanisha viongozi wa serikali!!Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.
Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu,kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa raia na kadhalika.
Lakini kama video hii inavyoonekana, IGP aliibuka baadae kupinga maagizo yale,kuyabeza,kumfokea Rais na kumkejeli.
Haya yote yanaibua maswali muhimu sana kwa watanzania.Je,Taifa lina Rais mwenye mamlaka?Kuna watu nchini wameamua kuwa Marais?Rais tulienae ni Rais dhaifu sana?Kuna kundi Serikalini linampinga Rais?Kwa nini Rais hafukuzi hawa wateule wake wanaomdharau?Ni nini hatima ya Taifa hili kama mambo yataendelea kuwa hivi?
Lakini pia katika mazishi ya Polisi waliouawa na Bwana Hamza tulimsikia IGP akitoa kauli za ajabu,zenye utata mwingi,zisizo za kisheria,za kugandamiza na kadhalika.
IGP alisikika akilaumu ndugu wa marehemu kana kwamba ndugu hawa walishirikiana na Bwana Hamza katika kufanya uhalifu ule.Lakini pia IGP alisikika akiwaambia wananchi kuwa wakizubaa zubaa watakuwa wanachezea risasi za Polisi na kadhalika.
My take:
Haya yote yanathibitisha kuwa Taifa lipo chini ya mgogoro mkubwa wa viongozi wasio na uwezo wala hekima za kuongoza na muda wowote ule kuanzia sasa hivi Taifa litatumbukia katika migogoro ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Kwa maoni yangu haya ni matokeo ya kuongozwa na chama kilichopora chaguzi na ambacho hakina kibali cha wananchi kwani kupora chaguzi husababisha watu wenye uwezo wa kuongoza kuwekwa kando katika kuliongoza Taifa.
View attachment 1914139
Ndo ingesaidia nini mkuu!?Wahindi mbona wanachoma maiti hata hazijafanya chochote kibaya?Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Ungekuwa umaefanya "maziko" ya kibaniani tu.Tungefurahi.😝😝😝😝Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Wanamjibu hivyo kwakuwa wanajua wanambeba na hana la kufanya lolote lile yupo mikononi mwao mnadhani mtu akijibu jeuri si anajua udhaifu wako afanye fyo wamuachie wapinzani wafanye yao kama hatopata presha na kupelekwa hospitaliKwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.
Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu,kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa raia na kadhalika.
Lakini kama video hii inavyoonekana, IGP aliibuka baadae kupinga maagizo yale,kuyabeza,kumfokea Rais na kumkejeli.
Haya yote yanaibua maswali muhimu sana kwa watanzania.Je,Taifa lina Rais mwenye mamlaka?Kuna watu nchini wameamua kuwa Marais?Rais tulienae ni Rais dhaifu sana?Kuna kundi Serikalini linampinga Rais?Kwa nini Rais hafukuzi hawa wateule wake wanaomdharau?Ni nini hatima ya Taifa hili kama mambo yataendelea kuwa hivi?
Lakini pia katika mazishi ya Polisi waliouawa na Bwana Hamza tulimsikia IGP akitoa kauli za ajabu,zenye utata mwingi,zisizo za kisheria,za kugandamiza na kadhalika.
IGP alisikika akilaumu ndugu wa marehemu kana kwamba ndugu hawa walishirikiana na Bwana Hamza katika kufanya uhalifu ule.Lakini pia IGP alisikika akiwaambia wananchi kuwa wakizubaa zubaa watakuwa wanachezea risasi za Polisi na kadhalika.
My take:
Haya yote yanathibitisha kuwa Taifa lipo chini ya mgogoro mkubwa wa viongozi wasio na uwezo wala hekima za kuongoza na muda wowote ule kuanzia sasa hivi Taifa litatumbukia katika migogoro ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Kwa maoni yangu haya ni matokeo ya kuongozwa na chama kilichopora chaguzi na ambacho hakina kibali cha wananchi kwani kupora chaguzi husababisha watu wenye uwezo wa kuongoza kuwekwa kando katika kuliongoza Taifa.
View attachment 1914139
Mkuu uza duka, hizi siasa zimeshakushinda.Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.

Hatuna Polisi ..mtu wa kawaida Kama Hamza kawauwa Kama kuku fikiria waje well trained soldiers si watauwa kikosi kizima😂😂😂IGP Sirro shikilia papo hapo.
"Manyang'au yanaruka na kukanyagana, yote yanasimama yanaruka kinyama"
Ninavyo kumbuka hizo kauli zilitolewa kwa wakati tofauti kabisa; hivyo usichonganishe kwani Mungu haendiKwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.
Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu,kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa raia na kadhalika.
Lakini kama video hii inavyoonekana, IGP aliibuka baadae kupinga maagizo yale,kuyabeza,kumfokea Rais na kumkejeli.
Haya yote yanaibua maswali muhimu sana kwa watanzania.Je,Taifa lina Rais mwenye mamlaka?Kuna watu nchini wameamua kuwa Marais?Rais tulienae ni Rais dhaifu sana?Kuna kundi Serikalini linampinga Rais?Kwa nini Rais hafukuzi hawa wateule wake wanaomdharau?Ni nini hatima ya Taifa hili kama mambo yataendelea kuwa hivi?
Lakini pia katika mazishi ya Polisi waliouawa na Bwana Hamza tulimsikia IGP akitoa kauli za ajabu,zenye utata mwingi,zisizo za kisheria,za kugandamiza na kadhalika.
IGP alisikika akilaumu ndugu wa marehemu kana kwamba ndugu hawa walishirikiana na Bwana Hamza katika kufanya uhalifu ule.Lakini pia IGP alisikika akiwaambia wananchi kuwa wakizubaa zubaa watakuwa wanachezea risasi za Polisi na kadhalika.
My take:
Haya yote yanathibitisha kuwa Taifa lipo chini ya mgogoro mkubwa wa viongozi wasio na uwezo wala hekima za kuongoza na muda wowote ule kuanzia sasa hivi Taifa litatumbukia katika migogoro ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Kwa maoni yangu haya ni matokeo ya kuongozwa na chama kilichopora chaguzi na ambacho hakina kibali cha wananchi kwani kupora chaguzi husababisha watu wenye uwezo wa kuongoza kuwekwa kando katika kuliongoza Taifa.
View attachment 1914139
Kwani Rais hawezi kutoa agizo leo halafu akafokewa au kupingwa au kukejeliwa baada ya wiki mbili?Ninavyo kumbuka hizo kauli zilitolewa kwa wakati tofauti kabisa; hivyo usichonganishe kwani Mungu haendi
Mwenzio Musiba, alitapika zaidi ya haya matapishi yako! Leo hii amebaki analia lia tu, na kuomba msaada!Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Polisi wamezaliwa na wazazi wao , kwa matendo ya polisi basi na wazazi wa mapolisi walizaa watoto hovyo hovyo, sasa Siro analaumuje wazazi wa Hamza.Watz bhana... IGP alikuwa anawaambia wananchi kuwa mara zote huwasema polisi.
Naona mchezaji mpya wa BUKU SABA umecharuka kweli!Unajaribu kukosanisha viongozi wa serikali!!
Kamwe hutaweza. Jalibu kwanza kuwakosanisha wazazi wako.
Wakiendelea na tamaa za kudhulumu mali za watu watendelea kuuawa. Hamza katoa funzo zuri sana. Ni mfano wa kuigwa. Kilangila.Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.