Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Sirro amerukwa na akili, kiongozi wa Polisi hawezi kuropoka namna ile
sirro ni mzima tu ila tatizo mda mwingi anakuwa kalewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sirro amerukwa na akili, kiongozi wa Polisi hawezi kuropoka namna ile
."Chinua Achebe once said " Chase the Fox first, before you warn your hen going on Bushes "...Polisi mara nyingi wamelalamikiwa kuonea raia wakati mwingine hata kupoka Haki za Raia. Polisi lazima wajiulize nini chanzo cha Mambo haya.Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Language ipi na weweTatizo ni " language" !
Kwani hilo linalofokewa halina akili? Kama halijielewi litajibeba!Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.
Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu,kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa raia na kadhalika.
Lakini kama video hii inavyoonekana, IGP aliibuka baadae kupinga maagizo yale,kuyabeza,kumfokea Rais na kumkejeli.
Haya yote yanaibua maswali muhimu sana kwa watanzania.Je,Taifa lina Rais mwenye mamlaka?Kuna watu nchini wameamua kuwa Marais?Rais tulienae ni Rais dhaifu sana?Kuna kundi Serikalini linampinga Rais?Kwa nini Rais hafukuzi hawa wateule wake wanaomdharau?Ni nini hatima ya Taifa hili kama mambo yataendelea kuwa hivi?
Lakini pia katika mazishi ya Polisi waliouawa na Bwana Hamza tulimsikia IGP akitoa kauli za ajabu,zenye utata mwingi,zisizo za kisheria,za kugandamiza na kadhalika.
IGP alisikika akilaumu ndugu wa marehemu kana kwamba ndugu hawa walishirikiana na Bwana Hamza katika kufanya uhalifu ule.Lakini pia IGP alisikika akiwaambia wananchi kuwa wakizubaa zubaa watakuwa wanachezea risasi za Polisi na kadhalika.
My take:
Haya yote yanathibitisha kuwa Taifa lipo chini ya mgogoro mkubwa wa viongozi wasio na uwezo wala hekima za kuongoza na muda wowote ule kuanzia sasa hivi Taifa litatumbukia katika migogoro ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Kwa maoni yangu haya ni matokeo ya kuongozwa na chama kilichopora chaguzi na ambacho hakina kibali cha wananchi kwani kupora chaguzi husababisha watu wenye uwezo wa kuongoza kuwekwa kando katika kuliongoza Taifa.
View attachment 1914139
Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.

Siro achezeshwa gwaride kama mwanasesere, kama ilivyokuwa enzi zile za Joyce wowo, huyu aliwekwa hapo kupokea amri baada ya IGP Mangu aliyekuwa anajitambua kukataa upuuziKwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.
Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu,kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa raia na kadhalika.
Lakini kama video hii inavyoonekana, IGP aliibuka baadae kupinga maagizo yale,kuyabeza,kumfokea Rais na kumkejeli.
Haya yote yanaibua maswali muhimu sana kwa watanzania.Je,Taifa lina Rais mwenye mamlaka?Kuna watu nchini wameamua kuwa Marais?Rais tulienae ni Rais dhaifu sana?Kuna kundi Serikalini linampinga Rais?Kwa nini Rais hafukuzi hawa wateule wake wanaomdharau?Ni nini hatima ya Taifa hili kama mambo yataendelea kuwa hivi?
Lakini pia katika mazishi ya Polisi waliouawa na Bwana Hamza tulimsikia IGP akitoa kauli za ajabu,zenye utata mwingi,zisizo za kisheria,za kugandamiza na kadhalika.
IGP alisikika akilaumu ndugu wa marehemu kana kwamba ndugu hawa walishirikiana na Bwana Hamza katika kufanya uhalifu ule.Lakini pia IGP alisikika akiwaambia wananchi kuwa wakizubaa zubaa watakuwa wanachezea risasi za Polisi na kadhalika.
My take:
Haya yote yanathibitisha kuwa Taifa lipo chini ya mgogoro mkubwa wa viongozi wasio na uwezo wala hekima za kuongoza na muda wowote ule kuanzia sasa hivi Taifa litatumbukia katika migogoro ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Kwa maoni yangu haya ni matokeo ya kuongozwa na chama kilichopora chaguzi na ambacho hakina kibali cha wananchi kwani kupora chaguzi husababisha watu wenye uwezo wa kuongoza kuwekwa kando katika kuliongoza Taifa.
View attachment 1914139
Polisi wakitenda Haki kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama.Wanatakiwa kujiepusha na shughuli zinazohatarisha usalama wa raia na Mali zao. Wananchi Kuwasema Polisi ni kuwakosoa na wanatakiwa wajirekebishe na siyo kuanzisha mabishano yasiyojenga.Watz bhana... IGP alikuwa anawaambia wananchi kuwa mara zote huwasema polisi.