IGP kupinga agizo la Rais, kumfokea na kumkejeli Rais -- hii ni sawa?

Unajaribu kukosanisha viongozi wa serikali!!
Kamwe hutaweza. Jalibu kwanza kuwakosanisha wazazi wako.
 
Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Ndo ingesaidia nini mkuu!?Wahindi mbona wanachoma maiti hata hazijafanya chochote kibaya?
 
Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Ungekuwa umaefanya "maziko" ya kibaniani tu.Tungefurahi.😝😝😝😝
 
Wanamjibu hivyo kwakuwa wanajua wanambeba na hana la kufanya lolote lile yupo mikononi mwao mnadhani mtu akijibu jeuri si anajua udhaifu wako afanye fyo wamuachie wapinzani wafanye yao kama hatopata presha na kupelekwa hospitali
 
Mkuu uza duka, hizi siasa zimeshakushinda.

Mtu akiahakua IGP hata akiondolewa itakuwa ni hasara tu kwa walipa kodi maana anahudumiwa na kulindwa mpaka kifo huku wakihudumia IGP atakayekuwa kazini.

Hapa ndipo penye tatizo kati ya wanasiasa na wananchi.

Na ndio maana wanasiasa hata NEC wakisema uchaguzi urudiwe sasa hivi bila kujali gharama ndio furaha yenu ilimradi tu mpate madaraka.
 
Kibri cha bwana Siro kinatokana na ukweli kuwa bila polisi ccm haiko madarakani. mpaka leo hata vikao vya ndani vya vyama vya upinzani polisi wanavivuruga. IGP ndiye benefactor mkuu wa ccm.
 
Wanamjibu hivyo kwakuwa wanajua wanambeba na hana la kufanya lolote lile yupo mikononi mwao mnadhani mtu akijibu jeuri si anajua udhaifu wako afanye fyo wamuachie wapinzani wafanye yao kama hatopata presha na kupelekwa hospitali
 
IGP Sirro shikilia papo hapo.

"Manyang'au yanaruka na kukanyagana, yote yanasimama yanaruka kinyama"
Hatuna Polisi ..mtu wa kawaida Kama Hamza kawauwa Kama kuku fikiria waje well trained soldiers si watauwa kikosi kizima😂😂😂
 
Ninavyo kumbuka hizo kauli zilitolewa kwa wakati tofauti kabisa; hivyo usichonganishe kwani Mungu haendi
 
Ninavyo kumbuka hizo kauli zilitolewa kwa wakati tofauti kabisa; hivyo usichonganishe kwani Mungu haendi
Kwani Rais hawezi kutoa agizo leo halafu akafokewa au kupingwa au kukejeliwa baada ya wiki mbili?
 
Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Mwenzio Musiba, alitapika zaidi ya haya matapishi yako! Leo hii amebaki analia lia tu, na kuomba msaada!
 
Watz bhana... IGP alikuwa anawaambia wananchi kuwa mara zote huwasema polisi.
Polisi wamezaliwa na wazazi wao , kwa matendo ya polisi basi na wazazi wa mapolisi walizaa watoto hovyo hovyo, sasa Siro analaumuje wazazi wa Hamza.
 
Sirro ni wakati sasa wa kwenda kuungana na Muroto kulea wajukuu! Naambiwa unastaafu mwezi ujao ndio maana huna hofu tena
 
Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
Wakiendelea na tamaa za kudhulumu mali za watu watendelea kuuawa. Hamza katoa funzo zuri sana. Ni mfano wa kuigwa. Kilangila.
 
Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.

Jifunze kwa Wahindu namna ya kuteketeza maiti, au kwako ni kuukomoa mwili..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…