IGP kupinga agizo la Rais, kumfokea na kumkejeli Rais -- hii ni sawa?

Unaona kabisa kuwa lina kiburi linavyojibu! Loh, kweli linamdharau, Jiwe asingelimjibu hivi/au kutoa comment ya hivi (kama siyo kumjibu).
LINAJIAMINI AU KWA RIDHAA YAKE WAMEPANGA AJIBU HIVYO
Lazima awe na kiburi. Bila polisi CCM isingekuwa madarakani. Amewasaidia hata kutengeneza tamthilia ya ugaidi kumuangamiza Mbowe. Kilangila.
 
Umeandika utopolo tupu! Mtabaki hivyo hivyo. Nakushauri leo Jumapili nenda kamsalimie Gaidi Mbowe Segerea kwanza.
 
Wajinga hufurahia kuanguka kwa mwingine,
Wenye busara siku zote hufikiri

Hii post ina ill-intention
ni kweli kabisa kwangu mm sijaona kosa la Siro
Siro amezungumzia upole wa maaskari mpaka wanavamiwa kibandani na silaha wanazo
Waandamanaji wa Nchi hii wanataka waandamane ti mradi fujo wakishinikiza Katiba wakati tunayo, wameshaona sasa kizuizi ni Siro
Rais anapowalaumu Polisi kwa kigezo cha kuharaisha upelelezi hajui kuwa una DPP ambaye yupo Wizara ya Sheria ya Palamagamba Kabudi
hii video ipo mbali sana Bw Behaviourist
 
Hivi ni kwanini Samia Suluhu anaogopa sana kuandika PDF ya kumpumzisha Sirro hili hali anafanya matendo kinyume na maagizo ya ofisi ya Rais??

Kutochukua hatua kwa rais juu ya mwenendo wa Sirro kunatia mashaka makubwa.
 
Huyu Sirro (Zero brain) ni garbage. Hajui anachokifanya.
 
hawa wakiparurana ni furaha kwetu maana wamesaidizana sana kuwadhulumu na kuwatendea mabaya raia
 
Hatuna Polisi ..mtu wa kawaida Kama Hamza kawauwa Kama kuku fikiria waje well trained soldiers si watauwa kikosi kizima[emoji23][emoji23][emoji23]
Polisi walianza kupambana na wahalifu/magaidi mwaka huu tangu mpate uhuru. [emoji28]

IGP kazia papo hapo [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…