IGP kupinga agizo la Rais, kumfokea na kumkejeli Rais -- hii ni sawa?

Wasaga sumu nyie, inaonekana ndio mliomtuma Hamza akawaue polisi. By the way, kama ningekuwepo Rais mwili wa Hamza ungechomwa moto na kutekezwa kabisaa.
."Chinua Achebe once said " Chase the Fox first, before you warn your hen going on Bushes "...Polisi mara nyingi wamelalamikiwa kuonea raia wakati mwingine hata kupoka Haki za Raia. Polisi lazima wajiulize nini chanzo cha Mambo haya.
Kama Jeshi la polisi halitabadili mfumo wa utendaji kuna hatar mbele kukawa na Ulipaji visasi wa Raia..Hili Jina Police Force ni jina la fedheha juu ya binadamu na Ubinadam.
"Advice "U should chase the Fox first before you warn your hen wandering on Bushes!!
 
Vijana wa Chadema ni vijana wa hovyo na wapumbavu sana, Alichokiagiza mh Raisi na alichokiwa akikiongea IGP havina uhusiano hata kidogo,

Chadema mmejivisha ushetani kwa chuki na kuchukia watu bila sababu!

Wapuuzi watupu
 
Yaani hapa mimi nimebaki nacheka tu nikikumbuka jinsi Sirro alivyokuwa akitetemeka mbele ya Bashite, Mkuu wa Mkoa Dsm. Bashite alikuwa anaweza kumfokea Sirro kama mtoto mdogo na Sirro akaufyata na kuishia kupiga saluti. Lakini leo hii huyo huyo Sirro eti ana jeuri na ujasiri wa kumkomalia Rais! Kwa kweli dunia ni ya ajabu.
 
Hizi ni chuki za chadema kwasababu wamebanwa nitashangaa rais akiingia mkenge kuwasikiliza wahuni
 
Kwani hilo linalofokewa halina akili? Kama halijielewi litajibeba!
 
Acha kutunga uongo ndugu.Hizo tunahita unafanya siasa za kwenye mitalo.Wote tuna akili na tunaona.Huo upuuzi mpelekee mama yako
 
Watz acheni kuwa wambeya. Angalia na mazingira ya Kazi; huyo siyo mwanasiasa wa kupindisha maneno na kukubembeleza unavyotaka. Huyo ukijichanganya anakutungua ndiyo Kazi zao! Nilivyoenda zenji nilishangaa kuona askari wapole hadi wanakusaidia kubeba Mzigo! Nachotaka kusema kuchonga sana hakutafanya jeshi liogope eti lifanyekazi kwa ulegevu.
 
Siro achezeshwa gwaride kama mwanasesere, kama ilivyokuwa enzi zile za Joyce wowo, huyu aliwekwa hapo kupokea amri baada ya IGP Mangu aliyekuwa anajitambua kukataa upuuzi
 
Watz bhana... IGP alikuwa anawaambia wananchi kuwa mara zote huwasema polisi.
Polisi wakitenda Haki kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama.Wanatakiwa kujiepusha na shughuli zinazohatarisha usalama wa raia na Mali zao. Wananchi Kuwasema Polisi ni kuwakosoa na wanatakiwa wajirekebishe na siyo kuanzisha mabishano yasiyojenga.
Maboresho(Reform) ya Jeshi letu la POLICE na kulirejeshea hadhi na misingi yake ni jambo lisiloepukika.
Njia nzuri zaidi ya kusahihisha haya yote ni Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…