Natumaini kwamba PAC wako proactive to the extent that watakuwa walifanya random check kwa hivi vituo kujua hali halisi, otherwise hii danadana inayoendelea wengine wanaitumia kuweka mitambo iliyoripotiwa haipo.Anafunika Aibu zawakifama.
Lisilo wezekana kwa watu waadilifu,kwa wana ccm linawezekana[/QUOTE]Hoja yako ni ya msingi sana kiongozi. Kwanza tujiulize ni vituo vingapi vya polisi vina angalau desktop 4 ambazo wanatumia hata moderm tuu kupata Internet? Ikiwa kuandika tuu maelezo ni kwa mkono, tena kwa karatasi za kubangaiza, sembuse hii issue sensitive ya machine za fingerprints? Aliyekuja na hili wazo kwa level ya vituo vya wilaya ni jipu. Bora wangeanza kwa RPC, then selected district polisi stations. Halafu hii ya kusingizia Internet ya TTCL haitasaidia coz walipaswa walijue kabla. Huwezi kupoteza billions halafu uje na excuse ya aina hiyo.
For 5 yrs nafanya kazi in rural areas as long as maeneo husika yana mawasiliano ya simu sijawahi kushindwa ku access Internet, including sending of big files. Kazi yangu bila kuwa online haendi but sijawahi kukwama. Huwa nashangaa sana nikienda wilayani maafisa wanakwambia email ulizonitumia last week sijaipata wakati mimi nimeituma nikiwa kwenye kata au kijijini.Mimi ni IT proffesional na sizdhani kama hizo biometric system ili zifanye kazi zinahitaji internet connection wala sio kweli Mangu anaongea mambo asiyo yajua. Only LOcal area network inahitajika kwenye hiyo system. Anajaribu kutetea uovu huyu Mangu
Mimi ni IT proffesional na sizdhani kama hizo biometric system ili zifanye kazi zinahitaji internet connection wala sio kweli Mangu anaongea mambo asiyo yajua. Only LOcal area network inahitajika kwenye hiyo system. Anajaribu kutetea uovu huyu Mangu
....Hao wazee hawajui mambo ya internet ndo maana wanaongea uongo unaowaacha uchi. Cha kufanya hao wanakamati wa PAC kama hawatahongwa waangalie taarifa ya lini kifaa kilifungwa na kuanza kufanya kazi. Pia si vibaya wakiangalia uchakavu wa kifaa. Kama kifaa kimefungwa mwaka uliopita ni rahisi kujua, ila kama kina wiki moja ama mbili utagundua kutokana na upya wake.
Ccm mwisho wenu ndio unakaribiaHaaa
Ilaa uyo jamaa ni muhuni asee
Hilo ni dili kabsa walipiga hela unaletaje vifaa vinahitaj internent alaf hata iyo internet hamna, umewezaj kulipa mabilion kwa lugumi, alaf huduma ya TTCL tuu inakushinda kuilipia!!!
Amekera sana uyo
Hapo sasa ndio ujue ndio nyumba inateketeaMbona kuna taarifa ya yule msemaji wa lugumi kuwa hivyo vifaa vimechelewa kufika kufwatia kampuni iliyopewa tenda kutokukamilisha kuzitengeneza!!? Sasa tuamini taarifa hipi kati ya msemaji na IGP?
Basi hapo nisawa nakuuziwa simu bila betri,kama kuna ukweli IGP ajiwajibishe maana kuwajibishwa inauma zaidMkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka.
Akizungumza mwishoni mwa wiki, IGP Mangu alisema anashangazwa na habari hizo na kueleza kuwa kampuni ya Lugumi ilitekeleza mradi wa kufunga mashine hizo kama ilivyokubaliana na serikali.
“Siyo kweli, watu wana ugomvi wao, lakini nakueleza wazi kwamba, tembelea vituo vyote tulivyokubaliana, utakuta mashine zipo. Inawezekana zingine hazifanyi kazi kwa sababu ya kukosekana kwa intaneti,” aliongeza mkuu huyo wa polisi.
Alipoulizwa mwenye jukumu la kufunga mtandao wa intaneti ni nani, IGP alijibu, “...ni TTCL (Kamuni ya Simu) ingawa sehemu nyingi ofisi zetu zimekatiwa huduma hiyo kwa kuwa jeshi halijalipa.”
Tukisema elimu ya tanzania ni hovyo ndiyo utaamini sasa kwa upeo wa vijana wetuRudi kasome tena IT. Mawasiliano ya Mwanza na kituo kikuu Dar yatafanyika kwa LAN?
Tatizo unataka kujikweza tu huna IT yoyote ulichosoma ni historia ya IT.
Mimi nilishasema na nitasema tena na tena: Hiki ni kipimo kwa rais wetu Magufuli yuko serious kiasi gani na kupiga vita ufisadi. Akicheza vibaya hapa atakuwa amefungulia mlango kwa kila mtu kumdharau na kufanya ufisadi huku akiona hamna haja ya kuogopa wakati kuna doble standard kwenye kutumbuana majibu!Ni kweli mkuu tena ni bora angekaa kimya angejijengea heshima kubwa, lakini kumbuka Magufuli anakumbuka fadhila kwa kazi aliyofanya kwenye kampeni anaweza kufumba macho akamlinda kama alivyopata kuwalinda, Mwakyembe, January na sasa kitwanga.
Mheshimiwa hiyo local area network LAN ni ya nini? Nafikiri wana centralized databank ambayo hupeleka information/data kutoka katika kila mashine au mashine zilizofungwa sehemu moja. Hiyo Internet ni kwa ajiri ya interconnection na au hata some control signals kutoka kwenye hiyo central system. Kama hiyo mashine ni moja au mbili hapo kituoni itafanya vipi kazi bila connection na central system. Pili kwa nini wanunue system ambayo wanajua hawana uwezo wa kuioperate? Maswali ni mengine kuliko majibuMimi ni IT proffesional na sizdhani kama hizo biometric system ili zifanye kazi zinahitaji internet connection wala sio kweli Mangu anaongea mambo asiyo yajua. Only LOcal area network inahitajika kwenye hiyo system. Anajaribu kutetea uovu huyu Mangu
[/QUOTE]Waongeze na swali hili mkuu " Polisi imewezaje
Kulipa 34b ilshindwe kulipa bill ya TTCL ambayo nadhani haifiki hata 1b?" Haya maajabu mengine ya dunia. Yaani unanunua gari half parking huna?
QUOTE="Mwabhleja, post: 15995019, member: 350393"]Swali La Ziada, Kwanini Jeshi La Polisi Linashindwa Kuwalipa TTCL Gharama Za Intaneti Hadi Wanakatiwa Huduma?