Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ni mwizi kala na wengi zikiwemo kamati za bunge na wachunguzi wa kila Aina, Lugumi katembeza Rushwa kubwa sana pia Kitwanga amemlipa Cash January amewaletea kikundi cha Uchakachuaji mikataba na kamati za Ufundi wapo busy kuhakikisha kuwa JIPU halitumbuliwi hata kama daktari atatokea India.Watu mnapiga tu mayowe hapa jf tangu lini mwizi akamchunguza mwizi mwenzake alafu usubiri jibu zuri kwa mwizi? Hii nchi shiida
Kuna tofauti kati ya "intranet" and "internet". Kinachotakiwa hapo ni "intranet"Mheshimiwa hiyo local area network LAN ni ya nini? Nafikiri wana centralized databank ambayo hupeleka information/data kutoka katika kila mashine au mashine zilizofungwa sehemu moja. Hiyo Internet ni kwa ajiri ya interconnection na au hata some control signals kutoka kwenye hiyo central system. Kama hiyo mashine ni moja au mbili hapo kituoni itafanya vipi kazi bila connection na central system. Pili kwa nini wanunue system ambayo wanajua hawana uwezo wa kuioperate? Maswali ni mengine kuliko majibu
Huyo alimsaidia sana Magufuli Kipindi cha kampeni huenda akajikausha kama alivyofanya kwa Mwakyembe na January na sasa kitwanga.Nahofia isije kuwa kama ya mama Kilango
mkuu Thamani ya mashine zenyewe ni ndogo lakini wao wamepiga pesa nyingi wakagawana kinachofuata ni kuzifunga chapchap kwenye vituo kisha wabunge watapewa Rushwa hata wakikuta mashine haipo au haifanyi kazi watasema ipo na inafanya kazi, Rushwa ni Adui wa haki tusitarajie jipya hapo.
Vifaa vitakuwa vinahamishwa chapchap kila wakisikia kamati ya Bunge inakwenda wanapeleka huko wakipita inahamishiwa kwingine haraka, pia wabunge wamepewa Rushwa hata wakikuta mashine mbovu au haipo watasema mashine zipo na ni nzima hii Sinema bado mbichi kabsa.Mbona kuna taarifa ya yule msemaji wa lugumi kuwa hivyo vifaa vimechelewa kufika kufwatia kampuni iliyopewa tenda kutokukamilisha kuzitengeneza!!? Sasa tuamini taarifa hipi kati ya msemaji na IGP?
Jamani nimeona hapa kuna watu wanajaribu kuonyesha wao ni wataalam wa IT. Mtu akishamiliki laptop akajua kucoonect modem na kupost vitu kwenye mitandao basi naye tayari anajiona ni mtaalam IT. Kuna tofauti kati ya "intranet" na "internet". Hapa watu msijitie kujua, hakuna ulazima wa internet ku centralise data zao, bali intranet inatosha.
....Vifaa vitakuwa vinahamishwa chapchap kila wakisikia kamati ya Bunge inakwenda wanapeleka huko wakipita inahamishiwa kwingine haraka, pia wabunge wamepewa Rushwa hata wakikuta mashine mbovu au haipo watasema mashine zipo na ni nzima hii Sinema bado mbichi kabsa.
Hata Kama wangepeleka Asikari wote kusomea hizo mashine isingefika hizo gharama kubali ukatae kuwa pesa nyingi imepigwa kupitia huo mladi wa kifisadi.Umebadili nyimbo toka hakuna mpaka thamani kubwa.
Umesahau kubadili chorus kuwa mikataba ya vifaa kama hivyo huhusisha mafunzo kwa watumiaji ambayo thamani yake inaweza kuwa kubwa sana kuliko kifaa.
Haya sasa kabadili chorus.
Tido, bado tatizo lipo kuwa walichonunua walijua mahitaji yake, iweje ununue mtambo then ujiulize utafanya vipi kazi? Tumekuwa wanunuzi kwa seller based requirements kwa faida ya watu binafsi (10%) na siyo need based. Hapo ndipo Mh Magufuli amekuwa akipiga kelele na akitumbua wanapiga kelele eti hafuati sheria. Wanaangalia zaidi personal gain na siyo value for money kwa taifa. Kwanini hawakungoja mpaka wawe na uhakika kuwa mashine zitafanyakazi? Wanaharakisha kununua kwa sababu kuna mkato na sikingine! Ebu Bunge liangalie mchakato ulivyokuwa kama hawatakuta ni maamuzi ya mkuu mmoja baada ya kuletewa brochures na wauzaji na kuona kuna mkato wake wa kutosha! Ni miradi mingi sana yenye natur ya aina hii. Kama ingekuwa ni local system kama ulivyoeleza wala tatizo la interconnection lisingekuwapo. Pili kuirazimisha ifanye kazi kinyume na mkataba ni kosa maana huenda ingekuwa cheap zaidi kama wangeamua kununua local system na siyo kulipa mapesa yote hayo kwa integrated system wakijua haitafanya kazi!Nijuavyo mimi hata kama hakuna internet kwa ajili ya kupeleka kwenye server, wangalau hiyo device ina memory ya kutunza taarifa kisha internet ikirudi itatuma hizo taarifa kwenye server kuu. Ni rahisi sana, waangalie history ya matumizi ya hiyo mashine waoanishe na tarehe rasmi toka mashine hiyo ilipofungwa kwa mujibu wa maelezo yao.
Halotel watamalizia sasaSasa wanawekaje vifaa vinavyohitaji internet kwenye vituo ambavyo havina internet?hapa ni jipu, aliyebuni mradi huo kabla ya kuhakikisha internet inapatikana ndio jipu lenyewe.
Mkuu ni 20% ya pesa imenunua vifaa ingine 80% imepigwa Yaani wamegawana na sasa wamechangishana wamewapa Rushwa kamati ya Bunge iwasafishe subirini kuona report ya Ajabu na kushangaza sana na huenda watu wakawachukia wabunge mpaka 2020Tido, bado tatizo lipo kuwa walichonunua walijua mahitaji yake, iweje ununue mtambo then ujiulize utafanya vipi kazi? Tumekuwa wanunuzi kwa seller based requirements kwa faida ya watu binafsi (10%) na siyo need based. Hapo ndipo Mh Magufuli amekuwa akipiga kelele na akitumbua wanapiga kelele eti hafuati sheria. Wanaangalia zaidi personal gain na siyo value for money kwa taifa. Kwanini hawakungoja mpaka wawe na uhakika kuwa mashine zitafanyakazi? Wanaharakisha kununua kwa sababu kuna mkato na sikingine! Ebu Bunge liangalie mchakato ulivyokuwa kama hawatakuta ni maamuzi ya mkuu mmoja baada ya kuletewa brochures na wauzaji na kuona kuna mkato wake wa kutosha! Ni miradi mingi sana yenye natur ya aina hii. Kama ingekuwa ni local system kama ulivyoeleza wala tatizo la interconnection lisingekuwapo. Pili kuirazimisha ifanye kazi kinyume na mkataba ni kosa maana huenda ingekuwa cheap zaidi kama wangeamua kununua local system na siyo kulipa mapesa yote hayo kwa integrated system wakijua haitafanya kazi!
Mkuu tofauti ya intranet na internet ni accessibility siyo interconnection! Intranet is a closed network to members only! But can use Ttcl to connect several sites just as Internet!Kuna tofauti kati ya "intranet" and "internet". Kinachotakiwa hapo ni "intranet"
....Tido, bado tatizo lipo kuwa walichonunua walijua mahitaji yake, iweje ununue mtambo then ujiulize utafanya vipi kazi? Tumekuwa wanunuzi kwa seller based requirements kwa faida ya watu binafsi (10%) na siyo need based. Hapo ndipo Mh Magufuli amekuwa akipiga kelele na akitumbua wanapiga kelele eti hafuati sheria. Wanaangalia zaidi personal gain na siyo value for money kwa taifa. Kwanini hawakungoja mpaka wawe na uhakika kuwa mashine zitafanyakazi? Wanaharakisha kununua kwa sababu kuna mkato na sikingine! Ebu Bunge liangalie mchakato ulivyokuwa kama hawatakuta ni maamuzi ya mkuu mmoja baada ya kuletewa brochures na wauzaji na kuona kuna mkato wake wa kutosha! Ni miradi mingi sana yenye natur ya aina hii. Kama ingekuwa ni local system kama ulivyoeleza wala tatizo la interconnection lisingekuwapo. Pili kuirazimisha ifanye kazi kinyume na mkataba ni kosa maana huenda ingekuwa cheap zaidi kama wangeamua kununua local system na siyo kulipa mapesa yote hayo kwa integrated system wakijua haitafanya kazi!
Ndicho kitachofanyika kutokana na wabunge kuambatana na waandishi lakini wao tayari wamepewa Rushwa kinachofuata ni Sinema ya kushangaza sana.Mazingira ya kupatikana IGP mpya yamekamilika,sasa ni muda wowote,kwa hiyo kamati ya bunge itakuwaje?au ndio ule mchezo pale tume ya haki za binadamu inapokagua msongamano wa wafungwa,wakijua tarehe ya ziara wanawahamisha wafungwa wanabaki wachache? Je hizi machine hazitakuwa zikihamishwa kwenda mahali Tume ya bunge inapokagua
ya Lugumi imemgusa rafiki yake Kitwanga ni tofauti na Kabwe ambaye hakupata nafasi ya kumpa Tenda January Makamba amletee wachakachuaji wa mikataba na kamati za Ufundi toka Gambia, akina Lugumi wamejipanga sana wanatembeza Rushwa pia vikundi vya January vipo busy usiku na mchana kuwaokoa.Sasa kama Rais anamuweza Kabwe tu tutafanyaje? Kauli moja ya makonda ilitosha kumtumbua Kabwe jukwaani lakini jipu la lugumi mpaka makoo yanatukauka tukisema maigizo tutaambiwa cyber crime Act lakini haya ya lugumi ndiyo yanayotufanya tuamini kuwa ni maigizo! Mpaka bunge limesema lakini wapi ina maana anasubiri mpaka makonda alisemee na hili?