IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

Mimi ni IT proffesional na sizdhani kama hizo biometric system ili zifanye kazi zinahitaji internet connection wala sio kweli Mangu anaongea mambo asiyo yajua. Only LOcal area network inahitajika kwenye hiyo system. Anajaribu kutetea uovu huyu Mangu
Labda kama Wana centralised system Somewhere kwamba hizo data inabidi wazitume huko at the end
 
Mheshimiwa hiyo local area network LAN ni ya nini? Nafikiri wana centralized databank ambayo hupeleka information/data kutoka katika kila mashine au mashine zilizofungwa sehemu moja. Hiyo Internet ni kwa ajiri ya interconnection na au hata some control signals kutoka kwenye hiyo central system. Kama hiyo mashine ni moja au mbili hapo kituoni itafanya vipi kazi bila connection na central system. Pili kwa nini wanunue system ambayo wanajua hawana uwezo wa kuioperate? Maswali ni mengine kuliko majibu
halafu kwanini wafunge bomba la gesi wakati uwezo wetu wa kutumia gase majumbani viwandani na kwenye magari ni almost zero,,
 
Naona bado hawajaelewa tu.

Au ndo kusikia kwa kenge mpaka atoke damu puani?
 
Mheshimiwa hiyo local area network LAN ni ya nini? Nafikiri wana centralized databank ambayo hupeleka information/data kutoka katika kila mashine au mashine zilizofungwa sehemu moja. Hiyo Internet ni kwa ajiri ya interconnection na au hata some control signals kutoka kwenye hiyo central system. Kama hiyo mashine ni moja au mbili hapo kituoni itafanya vipi kazi bila connection na central system. Pili kwa nini wanunue system ambayo wanajua hawana uwezo wa kuioperate? Maswali ni mengine kuliko majibu
halafu kwanini wafunge bomba la gesi wakati uwezo wetu wa kutumia gase majumbani viwandani na kwenye magari ni almost zero,,
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka.

Kweli yaani Wabunge wetu wamekuwa waongo Kiasi hichi?
 
Kuna msemo wa kabila la wazigua unasema "ukiumwa na nyoka dawa yake ni NGURO je ukiumwa na NGURO utatibiwa na nini?"Sasa Polisi kazi yao ni kukamata wahalifu je Polisi akifanya uhalifu anakamatwa na nani?
Kamati ya bunge inadai mashine zilizoagizwa ni 108 zilizofungwa ni 14 pesa iliyolipwa ni bilioni 34 maana yake taratibu za manunuzi hazikuzingatiwa.Iwapo anachosema IGP kwamba mashine zote 108 zimefungwa basi bunge linatakiwa kuwaomba radhi polisi kwa usumbufu walioupata.
 
Labda kama Wana centralised system Somewhere kwamba hizo data inabidi wazitume huko at the end
lazima iwepo system ambayo inakuwa intergrated na kwenye Database,kwa ajili ya kumatch fingerprints.
Pia lazima kuwe na vifaa vta kuchukulia fingerprints katika crime scene,na kama wako more advanced pia kuna hizo mobile fingerprint reader zote hizi zina link na central database,kwahiyo internet ni muhimu
 
Si kuna kamati ndogo ya PAC imeundwa kupita kila kituo kuona kama mashine hizo zipo zilifungwa na kufanya kazi, au?

Anajihami kwa lipi ndugu IGP? Awasubirie wanakamati huko huko kwenye vituo vyake na kuwaonesha hizo mashine.

Hata kama Lugumi hakuwa amezifunga, wamwambie afanye fasta kuzifunga kabla kamati haijawafikia. Hata hivyo akumbuke tu kuwa, siku zote siku za mwizi ni 39 ya 40 ananaswa!!

Kumbe habari ya Lugumi kwenda Canada yaweza kuwa DOTs siyo?.
Yaweza kuwa Meremeta nyingine hii!
 
Mheshimiwa hiyo local area network LAN ni ya nini? Nafikiri wana centralized databank ambayo hupeleka information/data kutoka katika kila mashine au mashine zilizofungwa sehemu moja. Hiyo Internet ni kwa ajiri ya interconnection na au hata some control signals kutoka kwenye hiyo central system. Kama hiyo mashine ni moja au mbili hapo kituoni itafanya vipi kazi bila connection na central system. Pili kwa nini wanunue system ambayo wanajua hawana uwezo wa kuioperate? Maswali ni mengine kuliko majibu

Nijuavyo mimi hata kama hakuna internet kwa ajili ya kupeleka kwenye server, wangalau hiyo device ina memory ya kutunza taarifa kisha internet ikirudi itatuma hizo taarifa kwenye server kuu. Ni rahisi sana, waangalie history ya matumizi ya hiyo mashine waoanishe na tarehe rasmi toka mashine hiyo ilipofungwa kwa mujibu wa maelezo yao.
 
.....

......well said
 
Rudi kasome tena IT. Mawasiliano ya Mwanza na kituo kikuu Dar yatafanyika kwa LAN?
Tatizo unataka kujikweza tu huna IT yoyote ulichosoma ni historia ya IT.
Jamani mbona unajaribu kumsahihisha wakati wewe mwenyewe haujui haya mambo ya kitaalam!!! Ili mawasiliano ya mwanza na kituo kikuu Da yafanyike inahitajika INTRANET na sio INTERNET. Kuna tofauti kati ya hizo teknolojia mbili. Nawasilusha!
 
Huyu IGP wakushangaza sana Polisi inashindwa kununua modem ya Tshs 45 na kutumia elfu kumi kwa mwezi wakapata 6gb? kisa internet, kwa nini wafunge mitambo wakati wanajua hakuna network coverage ya internet?
 
Wewe uko sahihi kabisa kwa hilo la intranet, japo wengi wanadhani ili muweze kuwasiliana vituo vinavyoingiliana ni lazima internet. Hao wajumbe wa kamati pia wanaweza kuomba bill toka TTCL kuona mara ya mwisho kulipiwa ni lini ili kuonanisha na lini hasa zilianza kutumika na mara ya mwisho kulipia ni lini. Wahakikishe wapatiwe na barua iliyomba fungu la kulipia hiyo bill ya internet lakini hawakupata hili fungu.
 
Huyu IGP wakushangaza sana Polisi inashindwa kununua modem ya Tshs 45 na kutumia elfu kumi kwa mwezi wakapata 6gb? kisa internet, kwa nini wafunge mitambo wakati wanajua hakuna network coverage ya internet?
Mkuu ukisikia za mwizi ni 40 ndiyo hizo zinafika ndio maana hata wanacho ongea hawakijui
 
Kama ni IT professional Na hujuwi kiasi hicho basi IT professional imeingiliwa Na Makajanja bila Internet unaweza je connect kwenye database ambayo iko centre?
Kuna teknolojia inaitwa Intranet na Internet, kinachotakiwa kuconnect database na clients ni "intranet". Msivamievamie vitu msivyovijua !!
 
Watu mnapiga tu mayowe hapa jf tangu lini mwizi akamchunguza mwizi mwenzake alafu usubiri jibu zuri kwa mwizi? Hii nchi shiida
 
Kuna msemo wa kabila la wazigua unasema "ukiumwa na nyoka dawa yake ni NGURO je ukiumwa na NGURO utatibiwa na nini?"Sasa Polisi kazi yao ni kukamata wahalifu je Polisi akifanya uhalifu anakamatwa na nani?
Kamati ya bunge inadai mashine zilizoagizwa ni 108 zilizofungwa ni 14 pesa iliyolipwa ni bilioni 34 maana yake taratibu za manunuzi hazikuzingatiwa.Iwapo anachosema IGP kwamba mashine zote 108 zimefungwa basi bunge linatakiwa kuwaomba radhi polisi kwa usumbufu walioupata.
mkuu Thamani ya mashine zenyewe ni ndogo lakini wao wamepiga pesa nyingi wakagawana kinachofuata ni kuzifunga chapchap kwenye vituo kisha wabunge watapewa Rushwa hata wakikuta mashine haipo au haifanyi kazi watasema ipo na inafanya kazi, Rushwa ni Adui wa haki tusitarajie jipya hapo.
 
Back
Top Bottom