IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

Watu mnapiga tu mayowe hapa jf tangu lini mwizi akamchunguza mwizi mwenzake alafu usubiri jibu zuri kwa mwizi? Hii nchi shiida
hapo ni mwizi kala na wengi zikiwemo kamati za bunge na wachunguzi wa kila Aina, Lugumi katembeza Rushwa kubwa sana pia Kitwanga amemlipa Cash January amewaletea kikundi cha Uchakachuaji mikataba na kamati za Ufundi wapo busy kuhakikisha kuwa JIPU halitumbuliwi hata kama daktari atatokea India.
 
mtuhumiwa ni boss wa igp. igp kwa nini asimsafishe? duh tutaona mengi...
 
Kuna tofauti kati ya "intranet" and "internet". Kinachotakiwa hapo ni "intranet"
 

Umebadili nyimbo toka hakuna mpaka thamani kubwa.

Umesahau kubadili chorus kuwa mikataba ya vifaa kama hivyo huhusisha mafunzo kwa watumiaji ambayo thamani yake inaweza kuwa kubwa sana kuliko kifaa.

Haya sasa kabadili chorus.
 
Jamani nimeona hapa kuna watu wanajaribu kuonyesha wao ni wataalam wa IT. Mtu akishamiliki laptop akajua kucoonect modem na kupost vitu kwenye mitandao basi naye tayari anajiona ni mtaalam IT. Kuna tofauti kati ya "intranet" na "internet". Hapa watu msijitie kujua, hakuna ulazima wa internet ku centralise data zao, bali intranet inatosha.
 
Mbona kuna taarifa ya yule msemaji wa lugumi kuwa hivyo vifaa vimechelewa kufika kufwatia kampuni iliyopewa tenda kutokukamilisha kuzitengeneza!!? Sasa tuamini taarifa hipi kati ya msemaji na IGP?
Vifaa vitakuwa vinahamishwa chapchap kila wakisikia kamati ya Bunge inakwenda wanapeleka huko wakipita inahamishiwa kwingine haraka, pia wabunge wamepewa Rushwa hata wakikuta mashine mbovu au haipo watasema mashine zipo na ni nzima hii Sinema bado mbichi kabsa.
 

Alipoulizwa mwenye jukumu la kufunga mtandao wa intaneti ni nani, IGP alijibu, “...ni TTCL (Kamuni ya Simu) ingawa sehemu nyingi ofisi zetu zimekatiwa huduma hiyo kwa kuwa jeshi halijalipa.”
 
....

.....aissehh wewe rijanja sana
 
Umebadili nyimbo toka hakuna mpaka thamani kubwa.

Umesahau kubadili chorus kuwa mikataba ya vifaa kama hivyo huhusisha mafunzo kwa watumiaji ambayo thamani yake inaweza kuwa kubwa sana kuliko kifaa.

Haya sasa kabadili chorus.
Hata Kama wangepeleka Asikari wote kusomea hizo mashine isingefika hizo gharama kubali ukatae kuwa pesa nyingi imepigwa kupitia huo mladi wa kifisadi.
 
Tido, bado tatizo lipo kuwa walichonunua walijua mahitaji yake, iweje ununue mtambo then ujiulize utafanya vipi kazi? Tumekuwa wanunuzi kwa seller based requirements kwa faida ya watu binafsi (10%) na siyo need based. Hapo ndipo Mh Magufuli amekuwa akipiga kelele na akitumbua wanapiga kelele eti hafuati sheria. Wanaangalia zaidi personal gain na siyo value for money kwa taifa. Kwanini hawakungoja mpaka wawe na uhakika kuwa mashine zitafanyakazi? Wanaharakisha kununua kwa sababu kuna mkato na sikingine! Ebu Bunge liangalie mchakato ulivyokuwa kama hawatakuta ni maamuzi ya mkuu mmoja baada ya kuletewa brochures na wauzaji na kuona kuna mkato wake wa kutosha! Ni miradi mingi sana yenye natur ya aina hii. Kama ingekuwa ni local system kama ulivyoeleza wala tatizo la interconnection lisingekuwapo. Pili kuirazimisha ifanye kazi kinyume na mkataba ni kosa maana huenda ingekuwa cheap zaidi kama wangeamua kununua local system na siyo kulipa mapesa yote hayo kwa integrated system wakijua haitafanya kazi!
 
Sasa wanawekaje vifaa vinavyohitaji internet kwenye vituo ambavyo havina internet?hapa ni jipu, aliyebuni mradi huo kabla ya kuhakikisha internet inapatikana ndio jipu lenyewe.
Halotel watamalizia sasa
 
Mkuu ni 20% ya pesa imenunua vifaa ingine 80% imepigwa Yaani wamegawana na sasa wamechangishana wamewapa Rushwa kamati ya Bunge iwasafishe subirini kuona report ya Ajabu na kushangaza sana na huenda watu wakawachukia wabunge mpaka 2020
 
Kuna tofauti kati ya "intranet" and "internet". Kinachotakiwa hapo ni "intranet"
Mkuu tofauti ya intranet na internet ni accessibility siyo interconnection! Intranet is a closed network to members only! But can use Ttcl to connect several sites just as Internet!
 
....

.....hii ngoma watacheza wengi Mkuu
 
ILA JESHI LA POLICE la Bongo kwa MOVIE halijambo!! Mara Magaidi mapango ya AMBONI TANGA!! WAPIII!!
Mara LUGUMI duuu!!!
 
Ndicho kitachofanyika kutokana na wabunge kuambatana na waandishi lakini wao tayari wamepewa Rushwa kinachofuata ni Sinema ya kushangaza sana.
 
ya Lugumi imemgusa rafiki yake Kitwanga ni tofauti na Kabwe ambaye hakupata nafasi ya kumpa Tenda January Makamba amletee wachakachuaji wa mikataba na kamati za Ufundi toka Gambia, akina Lugumi wamejipanga sana wanatembeza Rushwa pia vikundi vya January vipo busy usiku na mchana kuwaokoa.
 
Hakuna kitu hapo lugumi si next level yey mwenyewe alisha sema si kila jipu ni la kutumbua, majipu mengine hayatumbiliki. Leo nimeukubali usemi wake..
Any way hii sikendo ilikuwa ni kipimo kwa Magu lakin naona anatumbua vipele tu na sio majip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…