IGP Mstaafu Mahita: Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa

Hata kuwekwa kizuizini kunahitaji tangazo rasmi la amri ya rais, sio kusema tu mtu akamatwe kiholela.
Hata wakuu wa wilaya wamepewa uwezo wa kuweka watu ndani, ni sheria ya hovyo ambayo yenyewe inavunja katiba
 
CCM wasivyo na akili waliwahi kuweka sheria ya mgombea uraisi lazima awe na degree, nia ilikuwa kumzuia Mbowe, hata katiba haikubaliani na hiyo sheria,CCM kweli mapunga
 
CCM wasivyo na akili waliwahi kuweka sheria ya mgombea uraisi lazima awe na degree, nia ilikuwa kumzuia Mbowe, hata katiba haikubaliani na hiyo sheria,CCM kweli mapunga
Wakiacha sheria mbunge ajue tu kusoma na kuandika napo unapinga,unataka mbunge awe msomi,nyi maccchokkko mna tabu
 
Ana hospital yake pugu road,ikilindwa na ffu,muuza weed huko Mauritius,jakaya alienda kumpora magari kwake, alikua nayo mengi, jakaya 'serikali haina magari we una magari yote haya'!?..akamwachia mawili
Akiwa IGP ujambazi ulitamalaki kwenye mabenki,pakiwa na harufu ya Wana usalama kuhusika
Akiwa IGP polisi walimvunja lipumba mkono na kumsweka ndani, siyo mara moja

Akiwa IGP kawabutua sana waislam walipoandamana kwa amani
 
Vipi lile container la visu vya cuf aliletewa na wananchi ama na wanasiasa wa chama cha majambazi?
 
Wakiacha sheria mbunge ajue tu kusoma na kuandika napo unapinga,unataka mbunge awe msomi,nyi maccchokkko mna tabu
Sheria yeyote inayotungwa lazima ifuate katiba, isingekuwa hivyo wanasiasa wangejiamulia wanavyotaka, sasa katiba inasema ajue kusoma na kuandika wewe unaongeza degree, huoni makosa?
 
CDF naye atakuja kusemaje
πŸ˜„

Ova
 
Wakistaafu huwa wanapataga akili, ukichukua mawazo ya wastaafu wengi waliohudumu kwenye nyadhifa za ulinzi na usalama utaona Wana mawazo kama ya huyu but Kipindi Chao cha kuhudumu walijawa na ujinga, uoga na kukosa guts za kufanya maamuzi magumu na kuwa na misimamo...Mzee Mahita unabaki kuwa mnafiki tu kama wanafiki wengine wazee wastaafu kina Butiku..Anachoongea hakitabadilisha chochote zaidi ya maneno Tu kama ya kijiweni, Wambura nae atakuwa na mawazo ya kinafki kama Haya.
 
KWA UJUMLA CCM HAINA KITU BILA POLICE NA TUNAPOELEKEA POLICE NA WAO WATAGOMA MAANA YAKITOKEA MAANDAMANO MENGINE NAAMINI POLICE WATAPATA TABU SANA KIAS AMBACHO WATAANZA KUWAGOMEA WAKUU WAO NA HATA WATAWALA...SO SOON CCM INAZIKWA KIMOJA NA HAITAKAA INYANYUKE MILELE....WALISEMA MPKA YESU ARUDI WATATAWALA NA WAO WAKIDONDOKA NI MPAKA YESU ANARUD HAWATANYANYUKA
 
Hawa watu mbona wanazidi tu kutoture saikolojia zetu hawa.
Mkapa alipoamrisha waandamanaji wa Zenji'01, ni nani aliyekuwa IGP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…