IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

Maisha ni hadithi tu
 
Ungemuona komandoo ungelia au ungetimua mbio.
 
Ni hivi uwe muislam uwe...uwe mkristo uwe jambazi uwe rais uwe muuwaji uwe mla rushwa uwe padre uwe shoga uwe mwema uwe na roho mbaya uwe na roho nzuri

Ni hivi kifo na uzee huwezi epuka ....kidogo uzee ukifa mapema unaepuka .

So msijafanye kama uzee ni laaana hatana ni human nature biologically tunazeeka hii haitaji kuwa ulikuwa polisi au mwanajeshi

Hata wew mwandishi uliyeandika upuuzi huo utazeeka labda uwe mapema ....pambafu
 
Mbowe mbona aliikuwa akichechemea baada ya kutandika konyagi kubwa akiwa na bibi mdogo Joyce Mukya mbona hiyo maada hukuleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…