Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Achana na malaya bana hao huwa wanadharau sana hawana heshima kwa wake halali
Mi nimewai shuhudia mchepuko akimuweka ndan mke halali sentro sasa km uyo mke halili anaweza pata wauwaji si anauwa kbsa
Sasa kwanini mkuu wa wilaya ya Ubungo alikamata akina dada poa wengi huko Riverside kwa nia ya kuwashitaki kama ukahaba sio kosa?Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari.
Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande RPC ni mwanamke kwa jinsi yake na ameshindwa kumtetea mwanamke mwenzake angalau kupata haki zake. Hii ni aibu na imepangwa na aliyepanga kaacha matundu mengi ya kulichafua Jeshi la polisi.
Kwa maana nyingine polisi Tena wenye madaraka na vyeo wanaharakisha kulichafua jeshi la polisi hivyo IGP chukua hatua na kwa kuanzia mtumbue huyu RPC wa DODOMA.
We mtu ni lofa sana...watz acheni ujinga hata namna ya kuelewa vitu kauli inasema alikuwa ni kahaba na haijasema ukimbaka kahaba sio kosa!,swala ni kwamba ametaja wasifu wa huyo mmbakwaji kama ambavyo walivyotajwa wale maasikari!.. nafikiri watu mnahitaji uyakinifu namna yakuchambua habari pia waandishi ktk maelezo huchukua maelezo yanayovutia zaidi nakuyaweka kama kichwa cha habari ili iwavute watu!.. mbona mnakuwa na fikra pungufu hivi...?
mnachotakiwa kuhoji ni ukahaba wa huyo dada na kama kweli ni kahaba basi nae anatakiwa kuchukuliwa hatua kama zipo sheria zinazokataa ukahaba kwenye jamii yetu!.
Mimi ni aina ya watu Kama JPM sija angalia video Ila nimekua msomaji na mfuatiliaji wa hii saga kupitia JF na pia redion wasafi mediaNimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari.
Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande RPC ni mwanamke kwa jinsi yake na ameshindwa kumtetea mwanamke mwenzake angalau kupata haki zake. Hii ni aibu na imepangwa na aliyepanga kaacha matundu mengi ya kulichafua Jeshi la polisi.
Kwa maana nyingine polisi Tena wenye madaraka na vyeo wanaharakisha kulichafua jeshi la polisi hivyo IGP chukua hatua na kwa kuanzia mtumbue huyu RPC wa DODOMA.
Kwa hiyo huyo mama RPC ana D mbili Tu😜Sharti moja wapo la kuwa Polisi wa Tanzania lazima uwe una division 4 Ya 28-32
Ficha aibu zako Mkuu..kukaa kimya ni busara kubwa sana.nimeandika kwa maneno yenye kueleweka kabisa lkn watu bado hamuelewi!, halafu mnauliza maswali ambayo nimewaambia mnapaswa kuuliza!. sijui mnavichwa gani!
😂 au sio nanyi kaeni kimya sasa mbona nyie kinawashinda!Ficha aibu zako Mkuu..kukaa kimya ni busara kubwa sana.
Kumhamisha haitoshiIGP kachukua hatua tayari.kamlambisha chini huyo afande uchwara anayesigina sheria
Eenhe! Afande; Kumbe binti akiwa kahaba ni ruksa kubakwa na kulawitiwa?
Kwa kuzingatia uzito wa jambo lenyewe unahis kulikuwa na umuhimu wa RPC kutamka kwamba huyo binti alikuwa kahaba? Unawezaje kuthibitisha ukahaba wa huyo binti? Tu assume dada yako ndio kahaba kupigwa mtungo sio kosa je kusambaza video yake pia sio kosa?Kosa la RPC ni kusema "alikuwa kahaba"? Kwani makahaba hawabakwi?
Wewe kubwa jinga, rekebisha kauli yako kwani wengine humu siyo watoto wa 2000 Kama wewe! Punguza ufala kwenye hoja kubwa Kama hii inayogusa maisha na utu wa binadamu wengine! Au wewe ni RPC uliyehamishwa?Mteja katika upora wako. Nimependa namna ulivyoguswa
Kwenye wallet yako!Iko wapi hiyo taarifa?
Kwani uongo? IGP asipopenda hatomgusa Wala kumuonya!Mpaka impendeze Aijipi?
Inafaa nae au Binti yake abakwe na wavuta bangeKwahiyo wavuta bangi ruksa kubaka makahaba
Huyo afande hamnazo kabisa ni empty set kichwani