IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

Wamfute kwa kosa gani sasa au kisa kasema ukweli tuache kutetea kwa mihemko yani inaonekana kabisa yule binti ni wale malaya wa Telegram ndio maana kapigwa na njemba tano lakini bado yuko fiti adi kujieleza kwakifupi yule ni kahaba sema tu video ilivuja lakini io ni kazi yake kaizoea
Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari.

Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande RPC ni mwanamke kwa jinsi yake na ameshindwa kumtetea mwanamke mwenzake angalau kupata haki zake. Hii ni aibu na imepangwa na aliyepanga kaacha matundu mengi ya kulichafua Jeshi la polisi.

Kwa maana nyingine polisi Tena wenye madaraka na vyeo wanaharakisha kulichafua jeshi la polisi hivyo IGP chukua hatua na kwa kuanzia mtumbue huyu RPC wa DODOMA.
 
Afadhali, ila angefukuzwa kabisa
 
Attachments

  • Screenshot 2024-08-19 at 11.18.44.png
    Screenshot 2024-08-19 at 11.18.44.png
    692.8 KB · Views: 2

Bado hili halijafanyiwa kazi!!
 
Bado hili halijafanyiwa kazi!!
 
Bado hili halijafanyiwa kazi!!
 
Achana na malaya bana hao huwa wanadharau sana hawana heshima kwa wake halali
Mi nimewai shuhudia mchepuko akimuweka ndan mke halali sentro sasa km uyo mke halili anaweza pata wauwaji si anauwa kbsa
 
Wamfute kwa kosa gani sasa au kisa kasema ukweli tuache kutetea kwa mihemko yani inaonekana kabisa yule binti ni wale malaya wa Telegram ndio maana kapigwa na njemba tano lakini bado yuko fiti adi kujieleza kwakifupi yule ni kahaba sema tu video ilivuja lakini io ni kazi yake kaizoea

Siku mama yako mzazi atakapoitwa na kahaba na hawa maafisa wasio na weledi uje tena na kauli yako hii. Au unafikiri ana immunity?
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-08-19 at 03.03.58.jpeg
    WhatsApp Image 2024-08-19 at 03.03.58.jpeg
    39.6 KB · Views: 2
Kahaba hana haki ya kulindwa?
Wavuta bhangi wanaruhusiwa kubaka?.
Yeye ana mamlaka ya kutoa hukumu ya kesi au kufanya upelelezi?
nimeandika kwa maneno yenye kueleweka kabisa lkn watu bado hamuelewi!, halafu mnauliza maswali ambayo nimewaambia mnapaswa kuuliza!. sijui mnavichwa gani!
 
😀 kulikua hakuna tena haja ili suala kuliongelea kwenye vyombo vya habar naona ata uko mitandaoni limeshaisha wamekuja kulifufua tena upya.
Ukishaamua kuwa upande wa uonevu haina haja ya kuleta ubabe kukaa kimya ni bora zaidi
serikali sjui inafeli wapi.
Wamelikoroga wenyewe hawa. Sisi tulishasahau. Sasa kwasababu wamelifufua this time around tutalibatiza upya
 
Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari.

Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande RPC ni mwanamke kwa jinsi yake na ameshindwa kumtetea mwanamke mwenzake angalau kupata haki zake. Hii ni aibu na imepangwa na aliyepanga kaacha matundu mengi ya kulichafua Jeshi la polisi.

Kwa maana nyingine polisi Tena wenye madaraka na vyeo wanaharakisha kulichafua jeshi la polisi hivyo IGP chukua hatua na kwa kuanzia mtumbue huyu RPC wa DODOMA.
Mteja katika upora wako. Nimependa namna ulivyoguswa
 
Back
Top Bottom