Hizi ni ndoto za alinacha.Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP.
Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi.
Sijapenda. Ukiwauliza kwanini mnakuwa "wanyama" wanasema polisi wanawaonea raia ngoja Mungu awalipie.
Kama kuna polisi wanakiuka miiko/miongozo ya kazi zao, hao ni kidogo, wengi ni wazuri, tuwaombee mema katika kazi zao.
Nina uhakika polisi wanaweza kufanya kazi nzuri wakiwa marafiki wa raia wema. Tujitahidi tuwe marafiki wa Raia!
sijakupataHizi ni ndoto za alinacha
sijakupata
sahihi, nimeandika kwa code, soft languageHizi ni ndoto za alinacha.
Siyo Siri hata kidogo, Polisi na Tiss ndio Maadui wakubwa zaidi wa Usalama wa Umma hapa Tanzania kwa Sasa.
Hili lipo wazi kabisa, Wala hakuna kificho, ushahidi wote kabisa upo wazi.
Chuki ni kubwa sana kupita kiasi katika jamii dhidi ya Watu hao
yes ni polisi, wamekufa na wengine wapo hospitalSijaelewa hii thread yako macho hayaoni vizuri ila kama inahusu polisi wafe tu
sawa kuna wabaya kabisa, lkn wengne ni wazuriBadala usikitike kafa m1 badala ya kufa wote we unaleta blah blah
Kama Mungu itampendeza,naombea hao waliopo hospital nao angewachukua tu.yes ni polisi, wamekufa na wengine wapo hospital
sawa kuna wabaya kabisa, lkn wengne ni wazuri
Hujawahi Ingia kwenye 18 za Police wewe tena innocently. Hawana huruma kabisa. Kwao kila tukio la Raia ni mtaji.Huu uadui sio mzuri,sio kila polisi ni mbaya au mla rushwa au mkatili.Hata hao usalama,mbona wanafanya mengi mazuri tuwe makini na hizi chuki sio nzuri kwa taifa ukizingatia Tanzania tunaoa na kuolewa kila mahali bila kujali kabila.Sasa utajuaje kwamba ndio unamwacha shemeji yako au mjomba wako afie kwenye ajali kwa vile ni polisi.
Endapo kama ungeyajua mambo yao kwa undani zaidi basi naamini kwamba usingeweza kuandika comment yako hii.Huu uadui sio mzuri,sio kila polisi ni mbaya au mla rushwa au mkatili.Hata hao usalama,mbona wanafanya mengi mazuri tuwe makini na hizi chuki sio nzuri kwa taifa ukizingatia Tanzania tunaoa na kuolewa kila mahali bila kujali kabila.Sasa utajuaje kwamba ndio unamwacha shemeji yako au mjomba wako afie kwenye ajali kwa vile ni polisi.