John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
AbsolutelyHujawahi ingi
Hujawahi Ingia kwenye 18 za Police wewe tena innocently. Hawana huruma kabisa. Kwao kila tukio la Raia ni mtaji.
AbsolutelyHujawahi ingi
Hujawahi Ingia kwenye 18 za Police wewe tena innocently. Hawana huruma kabisa. Kwao kila tukio la Raia ni mtaji.
Nina KAZIA.Sijaelewa hii thread yako macho hayaoni vizuri ila kama inahusu polisi wafe tu
Bila mardhiano ya kitaifa, ikiwa ni pamoja mh lissu achiwa huru kwenye kesi ya mchongo ,mwakesha bure , Mungu yupo kazini,naongea hili kwa roho mtakatifu alie juu.Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP.
Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi.
Sijapenda. Ukiwauliza kwanini mnakuwa "wanyama" wanasema polisi wanawaonea raia ngoja Mungu awalipie.
Kama kuna polisi wanakiuka miiko/miongozo ya kazi zao, hao ni kidogo, wengi ni wazuri, tuwaombee mema katika kazi zao.
Nina uhakika polisi wanaweza kufanya kazi nzuri wakiwa marafiki wa raia wema. Tujitahidi tuwe marafiki wa Raia!
Uko sahihi. Kuna taasisis moja haijafanya kazi yake!Bila mardhiano ya kitaifa, ikiwa ni pamoja mh lissu achiwa huru kwenye kesi ya mchongo ,mwakesha bure , Mungu yupo kazini,naongea hili kwa roho mtakatifu alie juu.
Leo ccm imeanza binafushisha chama kwa kwa matajiri ,je kweli mbele kuna nchi , ,Mungu tenda na usiniangushe mie mtoto wa kapuku.
Ccm imepiga tukio ambalo litaenda kwenye vitabu vya kumbukumbu , hii ccm haikuwahi fanya , ebo kwamba ccm kimekua chama cha wafanya biashara , magwiji ,sio wana ccm wenyewe sasa kutoka pembezoni kwa sh mia , ccm inauza nchi , wazalendo hamkeni ,
Chama sass kinamilikiwa na wenye pesa ,jembe na nyundo iko wapi sasa ,
rudia tena kumsoma utampata tu.. na huo alokueleza ndo ukweli usio na shaka kbs!sijakupata
Huu uadui sio mzuri,sio kila polisi ni mbaya au mla rushwa au mkatili.Hata hao usalama,mbona wanafanya mengi mazuri tuwe makini na hizi chuki sio nzuri kwa taifa ukizingatia Tanzania tunaoa na kuolewa kila mahali bila kujali kabila.Sasa utajuaje kwamba ndio unamwacha shemeji yako au mjomba wako afie kwenye ajali kwa vile ni police
tulia sindano ikuingie vzr polisi wewe! mna roho mbaya mnoHuu uadui sio mzuri,sio kila polisi ni mbaya au mla rushwa au mkatili.Hata hao usalama,mbona wanafanya mengi mazuri tuwe makini na hizi chuki sio nzuri kwa taifa ukizingatia Tanzania tunaoa na kuolewa kila mahali bila kujali kabila.Sasa utajuaje kwamba ndio unamwacha shemeji yako au mjomba wako afie kwenye ajali kwa vile ni polisi.
Kwa kuwa wengi wanatumika kwenye uovu, nakusihi usikubali ndugu au mwanafamilia wako aoe au aolewe na polisi, itakuwa ni kuingiza laana kwenye ukoo au familia.Huu uadui sio mzuri,sio kila polisi ni mbaya au mla rushwa au mkatili.Hata hao usalama,mbona wanafanya mengi mazuri tuwe makini na hizi chuki sio nzuri kwa taifa ukizingatia Tanzania tunaoa na kuolewa kila mahali bila kujali kabila.Sasa utajuaje kwamba ndio unamwacha shemeji yako au mjomba wako afie kwenye ajali kwa vile ni polisi.
Hao mbwa wakisha vaa zile gwanda wanajiona ni miungu watu wa tofauti kabisa,wakisha na sare wanaji9naga sio wenzetu kabisa,lakini inawezekana kabisa kuishi nao kirafiki na wakashughulika na wahalifu tuuJana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP.
Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi.
Sijapenda. Ukiwauliza kwanini mnakuwa "wanyama" wanasema polisi wanawaonea raia ngoja Mungu awalipie.
Kama kuna polisi wanakiuka miiko/miongozo ya kazi zao, hao ni kidogo, wengi ni wazuri, tuwaombee mema katika kazi zao.
Nina uhakika polisi wanaweza kufanya kazi nzuri wakiwa marafiki wa raia wema. Tujitahidi tuwe marafiki wa Raia!
Hahahaaa dalali aliniletea afande kwenye nyumba yangu wakati milisha mtajia watu wambao sitaki wawe wapangaji kwenye nyumba yangu nilimfurusha na askari wake ,siwezi kupangisha watu waovu mimiKwa kuwa wengi wanatumika kwenye uovu, nakusihi usikubali ndugu au mwanafamilia wako aoe au aolewe na polisi, itakuwa ni kuingiza laana kwenye ukoo au familia.