IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

Bila mardhiano ya kitaifa, ikiwa ni pamoja mh lissu achiwa huru kwenye kesi ya mchongo ,mwakesha bure , Mungu yupo kazini,naongea hili kwa roho mtakatifu alie juu.

Leo ccm imeanza binafushisha chama kwa kwa matajiri ,je kweli mbele kuna nchi , ,Mungu tenda na usiniangushe mie mtoto wa kapuku.

Ccm imepiga tukio ambalo litaenda kwenye vitabu vya kumbukumbu , hii ccm haikuwahi fanya , ebo kwamba ccm kimekua chama cha wafanya biashara , magwiji ,sio wana ccm wenyewe sasa kutoka pembezoni kwa sh mia , ccm inauza nchi , wazalendo hamkeni ,

Chama sass kinamilikiwa na wenye pesa ,jembe na nyundo iko wapi sasa ,
 
Uko sahihi. Kuna taasisis moja haijafanya kazi yake!
 
Ningekua karibu na kadumu ka petrol ningewamwagia wawe majivu.
 
Urafiki wa polisi na raia wema haupo, wale muda wote wakikuona wanakuita mtuhumiwa mtarajiwa , wao kila mtu ni suspect, ingia 18 zao ndo utaona
 

tulia sindano ikuingie vzr polisi wewe! mna roho mbaya mno
 
Uhasama polisi na raia ni mkubwa sana
Hata polisi akikutwa kaanguka
Raia watamuangalia tu na kumpita

Ovs
 
Waambie, tunaishi nao mtaani hao. Wasijisahau saana.
 
Kwa kuwa wengi wanatumika kwenye uovu, nakusihi usikubali ndugu au mwanafamilia wako aoe au aolewe na polisi, itakuwa ni kuingiza laana kwenye ukoo au familia.
 
Hao mbwa wakisha vaa zile gwanda wanajiona ni miungu watu wa tofauti kabisa,wakisha na sare wanaji9naga sio wenzetu kabisa,lakini inawezekana kabisa kuishi nao kirafiki na wakashughulika na wahalifu tuu
 
Kwa kuwa wengi wanatumika kwenye uovu, nakusihi usikubali ndugu au mwanafamilia wako aoe au aolewe na polisi, itakuwa ni kuingiza laana kwenye ukoo au familia.
Hahahaaa dalali aliniletea afande kwenye nyumba yangu wakati milisha mtajia watu wambao sitaki wawe wapangaji kwenye nyumba yangu nilimfurusha na askari wake ,siwezi kupangisha watu waovu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…