IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

CCM ni vilema wa akili ambao wanahitaji kusaidiwa kila kitu hadi kufikiria.
 
Watanzania sijui shida yetu nini?! CCM ndio matatizo ya mtanzania lakini bado watu wanaishabikia!
Shida ni fikra zetu hata huko kuona kuwa matatizo yetu ni ccm ni katika shida ya hizo fikra zetu.
 
Watanzania sijui shida yetu nini?! CCM ndio matatizo ya mtanzania lakini bado watu wanaishabikia!
Shida ni fikra zetu hata hiyo ccm ni moja ya athari ya shida katika fikra zetu.
 

Aisee hii ndo Tanzania!upuuzi ni mwingi sana.hata huyo anaehutubia anajua kafanya upuuzi
 
Ndio gharama ya kuongozwa na mazuzu, mnachukua matakataka mnayapa ofisi, lazima mjute
 
Walikosa hata uwanja wa mpira?
 
Makonda kawashika mahali pabaya chadema. Wanalalamika kila sehemu kwa maumivu wanayoyapata waliposhikwa. Na bado, watasema ......
 
Mlisema amefutwa ktk siasa,sasa katoka wapi tena.

Piga kazi Makonda wewe ni chaguo la Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…