IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1624977291204.png
 
Mi namshauri Afande IGP kuweka Ma RCO wa rank ya ACP maana kwa kweli ma RCO kuwa na rank sawa na MaOCS kwa kweli Dah! OCD kuwa SSP sawa ila SSP kuwa RCO dah!
Unachosema kina mantiki sana. RCO ni mtu kubwa sana, sema muundo wa kipolisi umekaa vibaya. RCO ilibidi wawe nje ya kabisa ya Polisi ila cha ajabu RCO yupo chini ya RPC kiutawala. Na hapo ndio kunakosekanaga uwazi
 
Mkuu Kilwa94 nimeuliza hivyo ili nijue ni nani hasa anaepanga wa kuu wa vituo hivya chini ndani ya wilaya.

Kuna mkuu wa kituo cha Mtibwa ni mpemba "mla urojo" aliletwa kituo hiki akitokea Zanzibar. Alibadilishana vituo na mkuu wa awali aitwae Zayumba.

Sasa tangu afike kituo hiki hakuna mabadiliko yoyote uharifu mtaani umerudi upya, vijana wetu wanaporwa pikipiki na kuuawa kikatiri, rushwa pale kituoni imekithiri mahabusu hawapati haki zao za msingi.
Mtu unakamatwa na kuswekwa rumande wiki nzima bila hata chukuliwa maelezo.
Kesi za vibaka ndo za kupelekwa mahakamani.

Ukiombwa rushwa ukatoa haraka dau linapanda hata mara tatu make unaonekana una hela nyingi.
Wafugaji wavaa mashuka ndo wahanga wakuu wa rushwa.

Tunaomba mamlaka za uteuzi na wanaopanga wakifumue kituo cha mtibwa.
Pale kuna polisi wawili Baraka na Dulla waondolewe haraka sana ndo wamemshika mkuu kwa hela ya rushwa.
Pale kituoni kwa wk wachukua rushwa hata zaidi ya mil30! Imagine hizo hela zinatoka kwa wakulima watu kipato cha chini.
 
Mkuu Kilwa94 nimeuliza hivyo ili nijue ni nani hasa anaepanga wa kuu wa vituo hivya chini ndani ya wilaya.

Kuna mkuu wa kituo cha Mtibwa ni mpemba "mla urojo" aliletwa kituo hiki akitokea Zanzibar. Alibadilishana vituo na mkuu wa awali aitwae Zayumba.

Tunaomba mamlaka za uteuzi na wanaopanga wakifumue kituo cha mtibwa.
Pale kuna polisi wawili Baraka na Dulla waondolewe haraka sana ndo wamemshika mkuu kwa hela ya rushwa.
Pale kituoni kwa wk wachukua rushwa hata zaidi ya mil30! Imagine hizo hela zinatoka kwa wakulima watu kipato cha chini.
We hayo yote unayajuaje?
 
Back
Top Bottom