IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

Nimetoka kapa mazima...

Ama kweli kila mtu na taaluma yake....
Just Google hivyo vyeo vipo tu But RCO (Regional Crimes Officer) kimsingi angepaswa kuwa na cheo cha kipolisi (rank) ya Assistant Commissioner of Police (ACP) then RPC (Regional Commander) at least angekuwa na cheo cha SACP ( Senior Assistant Commissioner of Police).

SSP ni Senior Superintendent of Police anakuwa na lishilingi mabegani Hawa wanakuwaga OCD wa wilaya nyingi ambazo hazina changamoto ya kipolisi.

Sasa SSP ambaye anapewa kuongoza wilaya kama OCD (Officer Commander of District) kiukweli kuwa sawa na RCO ambaye hawana tofauti sana na RPC sema sababu ya Chain of Command inabidi RPC ndio awe na Rank kubwa ya Usenior kamishna huwezi kumfananisha kwa rank wawe sawa na OCD.

Kama ndio hivyo, je staff officer atakuwa na rank gani? Polisi wananyima vyeo sana bila sababu. Mtu anapewa mkoa mzima unamuacha awaongoze SSP wenzie heshima ya kijeshi including proper chain of command inatoka wapi?

Yani ni sawa na RPC awe rank moja na RCO au Staff officer 🤷 hapo hakuna wa kumbabaisha mwenzake.

Note: RPC, RCO, OCD, OCS hizi ni administrative posts ambazo zinaongozwa na police wenye rank mbalimbali za kupishana kulingana na majukumu na chain of command.
 
Just Google hivyo vyeo vipo tu But RCO (Regional Crimes Officer) kimsingi angepaswa kuwa na cheo cha kipolisi (rank) ya Assistant Commissioner of Police (ACP) then RPC (Regional Commander) at least angekuwa na cheo cha SACP ( Senior aye anapewa kuongoza wilaya kama OCD (Officer Commander of District) kiukweli kuwa sawa na RCO ambaye hawana tofauti sana na RPC sema sababu ya Chain of Command inabidi RPC ndio awe na Rank kubwa ya Usenior kamishna huwezi kumfananisha kwa rank
Asprin says thank you Bondpost for this useful post..
 
Nauliza tu Askari wa magereza anaweza kuwajibishwa na OCD endapo atafanya kosa?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kiaskari anaweza kupewa adhabu ya kawaida ila wao Wana utaratibu wao na Sheria zao so atakuwa reported kwa wakubwa zake for records au hatua zaidi.

Askari ni askari tu, aliyekuzidi cheo ndio ana akili so akili mukichwa. Ukishaona manyota we nyenyekea tu haijalishi manyota ya jeshi au kikosi gani.
 
Salute kamanda.nimekupata balabala kabisa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Jana nimemsikiliza kamanda sirro hakika amenifurahisha sana nampa hongera lukuki,
>>wenye viti wa serekali za mtaa na wajumbe ni sehemu ya utendeja wa serekali na usalama kwa maeneo yao lakini wamejisahau kabisa.

Mjumbe ndiye ngazi ya chini kabisa inayoyakiwa kufahamu wananchi wake lakini hawafanyi hivyo kabisa,nadhani ipo haja ya wajumbe Mara unapotokea mtaani kwake kuna mhalifu amekamatwa au muuza gongo,mjumbe akawa wa kwanza kutoa maelezo ya kwanini hakutoa taarifa juu ya mtu huyo kuwepo mtaani kwake,na kwanini hakutia taarifa kwa mwenyekiti wa mtaa wake,that's allkwa hapo tutafika.<<<
 
Unachosema kina mantiki sana. RCO ni mtu kubwa sana, sema muundo wa kipolisi umekaa vibaya. RCO ilibidi wawe nje ya kabisa ya Polisi ila cha ajabu RCO yupo chini ya RPC kiutawala. Na hapo ndio kunakosekanaga uwazi
Bora Leo watu wame amka nimakosa makubwa Sana RCO kuwa chini ya RPC coz uchafu unaofanya na ma NCOs Unakuta niamri halali ya RPC Sasa hapo RCO ataiandika ukweli ambao mahakama itamuwajibisha RPC ?
 
Enzi hizo RPC alikuwa Hamduni wa TAKUKURU! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
Naona umecheka kinafiki kwa kufikiri hamduni alikua ana support maovu ya sabaya halafu amepandishwa cheo km haujui hamduni ndio Pekee alikua sabaya hamtumii kufanya uhuni wake na alikua akijua kuna aliyebambikiwa kesi na sabaya anamuachia, tafuta story ya jamaa waliokamatwa na Sabaya kwa uharibifu miundo mbinu ya reli kesi ilivyofika kwa hamduni alitoa maamuzi gani aliwatoa wote kesi hakuna
 
Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
 
Kiaskari anaweza kupewa adhabu ya kawaida ila wao Wana utaratibu wao na Sheria zao so atakuwa reported kwa wakubwa zake for records au hatua zaidi.

Askari ni askari tu, aliyekuzidi cheo ndio ana akili so akili mukichwa. Ukishaona manyota we nyenyekea tu haijalishi manyota ya jeshi au kikosi gani.
Nipe darasa kidogo kuhusu RCO na RTO... nani bosi? Je RTO anaweza kuwa RCO and vice versa?

Bosi wa usalama barabarani Tanzania anapopelekwa kuwa RPC Morogoro.. inakuwa demotion au promotion?
 
Back
Top Bottom